Nigeria: Tinubu atangaza Ongezeko la Mishahara huku wafanyakazi wakijiandaa kwa Mgomo usio na Kikomo

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Rais Bola Tinubu, ametangaza ongezeko la Dola 32 za Marekani sawa na takriban Tsh. 80, 320 Kwa mshahara wa kima chini kwa muda wa Miezi 6 wakati ambao Wafanyakazi nchini humo wakijiandaa kuanza mgomo usio na kikomo.

Ongezeko hilo linapelekea Mshahara wa kima cha chini wa kila Mwezi kuwa $70 sawa na takriban Tsh. 175,700 tuu, huku Vyama vya Wafanyakazi vikitaka mshahara uongezwe hadi Tsh. 640,050 ili kusaidia kukabiliana na ongezeko kubwa la gharama za maisha tangu Rais Tinubu aondoe ruzuku ya Mafuta

Hata hivyo, Vyama Vikuu vya Wafanyakazi Nchini humo (NLC) na (TUC) vimesema wataendelea na mgomo usio na kikomo kuanzia Jumanne, Oktoba 3, 2023

..........



Nigeria's President Bola Tinubu has announced a six-month increase to the minimum wage as workers are set to start an indefinite strike. Unions want the monthly wage to be raised to $255 (£210) to help deal with the sharp rise in the cost of living since Mr Tinubu took office in May.

The president's $32 increase only brings a monthly minimum salary to $70. He also pledged to speed up the rollout of cheap gas-powered buses to help with the recent tripling of fuel prices. This was prompted by Mr Tinubu's removal of a fuel subsidy that had kept the price of petrol low for decades in Africa's largest economy.

In June, the country also abandoned its currency peg allowing it to trade freely, leading to one of the biggest falls in the naira's history. This has made life difficult for struggling Nigerians as already high inflation has soared due to an increase in the cost of imports. How an ad-lib by Nigeria’s new president fuelled chaos

The main labour unions - Nigeria Labour Congress (NLC) and the Trade Union Congress (TUC) - said they would proceed with the planned indefinite strike from Tuesday. The union leaders insisted the government had failed to address the suffering caused by the removal of fuel subsidy

The government had appealed to them to suspend the strike to allow more time for negotiations.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom