Tumheshimu Rais wetu Kikwete

Tumheshimu Rais wetu Kikwete

tutafutie jina mbadala la huyo promota wa Diamond na wa bwia unga aka dr dr dr dr dr dr dr dhaifu..
 
Mwache Kikwete na genge lake wavune walichopanda. Ameingia Ikulu kupitia dirishani. Hastahili kuheshimiwa kwa tikitaka zake!

ee mungu baba umbariki raisi wetu mapepo yaondoke asianguke tena jukwaani umzidishie nguvu na upendo na huu uzaifu aliouonyesha umtoke baba babaaaa .............tunakulilia........shabarabarakalawakakatalalwwwww........
 
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!

......

weak
/wik/ Show Spelled [week] Show IPA
adjective, weak·er, weak·est. 1. not strong; liable to yield, break, or collapse under pressure or strain; fragile; frail: a weak fortress; a weak spot in armor.

2. lacking in bodily strength or healthy vigor, as from age or sickness; feeble; infirm: a weak old man; weak eyes.

3. not having much political strength, governing power, or authority: a weak nation; a weak ruler.

4. lacking in force, potency, or efficacy; impotent, ineffectual, or inadequate: weak sunlight; a weak wind.

5. lacking in rhetorical or creative force or effectiveness: a weak reply to the charges; one of the author's weakest novels.

Source.Dictionary.com

"Nadhani kuitwa dhaifu hakuna maana ya kukashifu maana kila mwanadamu anao udhaifu wake,tunachotofautiana ni kiwango cha udhaifu.

Mwal Nyerere wakati anaondoka ktk moja ya hotuba zake alisema.... kunamazuri tumefanya na yapo mengine ni mabaya(hapa anakiri eneo la udhaifu wake) na akatuasa tuyachukue mazuri na mabaya yake au madhaifu yake tuyaache"

Mamlaka kuwekwa na Mungu haimaanishi haina mapungufu/udhaifu. Tunao Maaskofu na Mashehe wanaudhaifu wao mkubwa tu ingawa wao ndo hasa tunaamini wamechaguliwa kwa misingi ya Mungu.

Mimi naamini mtu akinieleza udhaifu wangu nitautafakari na kuona kama kuna ukweli ili nijirekebishe kuliko kukataa kuwa sina udhaifu,hiki ni "kiburi cha uzima"

Rais ni taasisi na unapotokea udhaifu na watu wakauona na wakasema,hii ina maana lipo tatizo la kimfumo. Ukisoma vizuri tafsiri ya hapo juu utaelewa maana halisi ya neno hili
 
sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais jk hadharan na kumwita majina ya ajabu

kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii mungu.

Rais kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!

.......

Mkuu naona unaomba rasmi kuorodhoshewa majina ya huyu dr.fastjet anaishi airport hana muda wa kusoma hata mafile ofisini "what a worst president do we have in tz"""????
 
Kifaransa Noblesse Oblige. Kiswahili Ukubwa gunia la lawama.

Ndiyo maana Kiranga kwa kujua anajiheshimu hataki hata ukatibu kata.

Akitaka kuheshimiwa ajiheshimu.

Watu ambao hawana uwezo kama yeye waliojiheshimu hawajataka kuji expose kwa kutaka ofisi za umma.

Waswahili wamesema "Mtaka nyingi nasaba, hupata mingi misiba".

Kutaka urais wa nchi ni kutaka nasaba na kila mwananchi, vivyo msiba wa kila mwananchi ni msiba wako.

Kwa hivyo, si kazi kukuta rais akipewa majina lukuki, hususan kama wananchi wake wana vijimambo na mambo lukuki.

Kukataa hili ni kama nyumba kukataa kiwanja ilichojengwa juu yake!

.......

Hayo maneno ni ya hekima sana, sio tu kwa Rais wetu, bali kwa kila mtu anayewania kuchukua nafasi katika ofisi za umma. Umma unataka mengi kutoka kwao wanaoona wanastahili kuongoza. Tusijiangushe chini wenyewe na kuishia kulaumu watu wengine....
 
Wanao mkashifu wengi wao wale wanaotaka kuingia msituni wakishindwa uchaguzi 2015.
 
hebu na wewe verify hili jina lako kwanza bikira mimi

haya ni mambo ya kufikiri na hasa ukija hapa kwa gt. Mzee Mwinyi alikili mwenyewe kuwa dhaifu kwa Mwalimu lakini hakuitwa majina mengi. Mkapa hakuwahi kutamka jukwaani kuwa aitwe Mr. Clean lakini aliitwa hivyo.
Cha ajabu mkulu kasimama jukwaa na kujiita 'Bwana Maendeleo' lakini hawataki wamuite hivyo.
Hivyo hata kama mamlaka inawekwa na Mungu lakini ni kupitia watu na watu ndio 'wabatizaji'! Kubali yaishe
 
hapana shaka wewe ni mwanae maana nae anasemekana kuwa na watoto kibao,
twende kwenye hoja, siku zote ukweli unauma lakini kwa mtu makini lazima uukubali na kuufanyia kazi, kwa mfano mh. Jk angejiuliza naswali kwa nini wananiita mimi dhaifu?
kwa nini wananiita mimi fastjet?
..... na maswali mengine mengi
akiweza kupata majibu sahihi na si majibu mepesi kama wananionea wivu! atakuwa amepata pia kujua afanye nini.
 
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!
kujiuzuru ndio jambo pekee la kulinda heshima yake otherwise alinde heshima ya waliomweka hapo magogoni kwa kuwasikiliza vilio vya wapiga kura wake.
 
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!

Huwezi kuwa rais na ukapata heshima ya urais isiyoendana na matendo. Ndiyo maana wengine wanaitwa dikteta, dhaifu, n.k. kufuatana na jinsi wanavyotekeleza wajibu wao.
 
Hawa ndo wale wale walioajiriwa na ritz kulete hoja uchwara huku...heshima huja kwa kuonyesha ukomavu ktika utatuzi wa matatizo ya raia.
 
ee mungu baba umbariki raisi wetu mapepo yaondoke asianguke tena jukwaani umzidishie nguvu na upendo na huu uzaifu aliouonyesha umtoke baba babaaaa .............tunakulilia........shabarabarakalawakakatalalwwwww........
ampe hekima maana imemwishia angekuwa nayo hata kidogo angeweza kukemea haya tunayoyaona.maya be amwezeshe kufanya maamuzi magimi ya kuachia ngazi.
 
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!

Wewe umemwita HIVYO halafu unataka kutusingizia sisi! Tunajua weye ndo unamwita hivyo...sisi hatumwiti hivyo ila tunamwona hivyo.
 
Kikwete ni dhaif hauwezi kumvunjia heshima mtu kwa kumweleza ukwel hata mi naunga hoja aitwe mheshimiwa rais dhifu kikwete na sio kumwita dr jk, labda kama ni dokta wa mambo ya udhaif
 
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!

Wote tunamheshimu raisi wetu kipenzi cha watanzania ila kutokana na utendaji wake basi ni lazima aitwe dhaifu, kutokana na kupenda kupanda ndege ni lazima aitwe fast jet, kutokana na kupenda kuzurura ni lazima aitwe Vasco da Gama na kutokana na kupenda kupiga picha na wasanii wa bongo flava ni lazima aitwe msanii. Nadhani hapo hatujamkosea heshima ila tumempa heshima yake anayostahili.[/B]
 
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!
Hivi kumbe huitwa dhaifu!? nilikuwa sijaipata hiyo, leo wewe ndio umenifundisha!
 
Back
Top Bottom