Tumheshimu Rais wetu Kikwete

Tumheshimu Rais wetu Kikwete

Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!
ulichoboronga ni kusema kutomtii kikwete ni sawa na kutomtii Mungu
 
kama anastahili heshima zitakuja tu ahata akimaliza muda wake. kuita mtu dhaifu sio tusi. ukitaka watu waseme zaidi ya hapo watamtukana. ila binafsi huwa sifurahii kushutumu mtu kwa dini yake. mwacheni kikwete kama yanayosemwa ni kweli historia itamhukumu. ila naye kikwete ajue kwamba tanzania ipo katika mpito wa mageuzi, atupeleke kwa amani kama mwinyi alivyotupeleka kwenye mageuzi kwa amani. asikandamize demokrasia kwa kutumia vyombo vya dola
 
Nyerere aliitwa majina mengi kama MCHONGA MENO,MUSA, HAAMBILIKI NK.SASA na mkuu wetu wetu mwache nae aitwe. Hiyo ndio sifa ya kuwa STAR.
 
Watu wanahangaika kumponda mleta mada wakati amejiita bikira Mimi bikira siku hizi zinapatikana primary hivo mtoto mdogo imani yake ni kuwa mkubwa HAKOSEI,kadri anavyokua atakuja kubaini kumbe siyo,ukiwa darasa la kwanza utafundishwa 1-5=haiwezekani,lakini ukifika la tano jibu linabadirika inakuwa 1-5=-4,kwa hiyo ndivo ilivo siku bikra ikimkimbia ndiyo ataanza kuuona ulimwengu halisi usivokuwa na adabu,kumbuka heshima haiko kama jua kwamba ufanye kazi au usifanye lenyewe litachomoza na kuzama,la hasha,heshima inakuja kutokana na ulilofanya katika jamii.
 
Last edited by a moderator:
Tumheshimu rais wetu tusimwite dhaifu
 
Hata Yule aliyekuzaa ni dhaifu sana ndio maana umepatikanika weeeeeee

sanna tu mkuu na wewe vivyo hivyo kama wazazi wako walifanya tendo la kukuleta wewe duniani kama hawakufuata njia stahiki ni dhaifu sanaaaaaa tu, uliza wazazi wako kwanza kuliko kuwasemea wazazi wa wenzio kabla hujapigwa ban hapa, ni mawazo yangu na maoni yangu sio kila mawazo ya mtu yakufurahishe wewe na kila mtu ana mawazo yake kwanini ushadadikie dushelele ambao haijakuvua chupi? usitoe povu hovyo hovyo kama huwezi humu jf umeniona mimi tu sio? kwanini ulete wazazi humu mjinga sana wewe hakikisha unaenda chooni na maji au toileth paper maana umejaza nywele nyingi uvivu wa kuzinyoa. jiheshimu utaheshimiwa sana
 
Na bado tutashuhudia mengi sana mwaka huu.>.......!!!!!!!
 
Mtasema sana lakini jamaa anapeta tu, mnyika anamwita Rais dhaifu wakati yeye mwenyewe hana mbele wala nyuma.anaendeshwa kwa remote na Nape bila hata ya kujijua.
 
Umesema kweli mkuu.Mara nyingi hata kama mtu kakosea (hata kama sio rais) njia bora ya kumkosoa ni kwa kutumia busara. Hapo ndipo anapoweza kuiona hoja yako na hata kuitafakari na ikibidi kuchukua hatua.Lakini mtu unapotumia lugha za matusi, dhihaka na kejeli; si tu kwamba unakuwa unajidhalilisha, kumdhalilisha kiongozi wako hivyo kulidhalilisha taifa lako lakini pia unasababisha hoja yako ambayo inakuwa imejificha ndani ya lugha chafu uliyoitumia kuyeyuka kama barafu.


kinachonishangaza mambo yametokea ZNZ ila hautaona Shein anatatwa .. ni JK tu hii inadhihirisha kuwa tatizo sio wanaomtukana tatizo anajitukana yeye na mambo yake anayoyafanya yakimatusi matusi.
 
Tumheshimu rais wetu tusimwite dhaifu

sasa huyo ni original dhaifu ... sasa tukisema shupavu si yeye mwenyewe atatushangaa ... ataona kumbe na siye watanzania niwadhaifu kama yeye....
hivi mtoto akipata maksi za chini kwenye remark mwalimu akampa --- anajitahidi aongeze bidii.. wewe mzazi utajisikiaje? si utamwona mwalimu ni dhaifu
 
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!

dhaifu alimwita Mnyika tena bungeni
mimi namuita bwana maendeleo kama alivyotaka nimuite!
 
rais kajiwekea historia yake kwa kuonesha jinsi alivyo dhaifu na kutusababishia mfarakano wa kidini,hamna jema atakalotuachia zaidi ya udini,ukabila na ukanda.
 
Kwa mtazamo wangu mtu yoyote anayekuzidi umri si busara kumtukana hadharani,kumdhihaki,kumdharau,kumbeza na kumchokonoa kiundani mambo yake binafsi ambayo hayausiani kabisa na majukumu mliompa.

Utu uzima dawa na ndio maana wale wote wanaofanya hivyo haiyumkiniki ni vijana tu na pengine hata familia/majukumu hawana wao kila kukicha ni starehe na fedha zinapowaishia waanza lawama kwa watawala.

Kiukweli kuna vitu ambavyo si sawa katika mfumo lakini kumdhalilisha kiongozi eti kwa sababu kuna makosa fulani katika
mfumo hii si sawa.Hivi kama Rais akiweka mambo sawa kwa yale ambayo watu wanafikiri si sawa je wale wanaontukana/kumdhihaki wataomba radhi kwa njia ile ile waliyotumia kumdhalilisha?
 
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!

bikira una point
 
rais kajiwekea historia yake kwa kuonesha jinsi alivyo dhaifu na kutusababishia mfarakano wa kidini,hamna jema atakalotuachia zaidi ya udini,ukabila na ukanda.


Sasa unavyosema haya,hivi ni nani ambaye mimi na wewe tunaweza kumwamini kurejesha katika hali zake yote hayo uliyoyaorodhesha?

Facts;
Ukabila,ukanda na udini umetokana na matokeo ya utandawazi na msuguano ulipo sasa duniani.Nenda sehemu zote duniani mambo haya yapo tena kwa wingi kuliko tunavyodhani yalivyo ndani ya nchi yetu.

Leo hii kumekuwepo na mashindano ya utajiri miongoni mwa jamii zetu na dunia kwa ujumla kiasi cha kutufanya kugombania fursa kikabila,kidini na kikanda.

Hivyo kumtukana Rais si suluhisho lililo zuri la kukabiliana na matatizo ya jamii zetu,cha msingi ni kuhakikisha kuwa tunatimiza wajibu wetu sisi kama taifa ili hatimaye yule tunayemlaumu naye atimize wajibu wake kwetu sisi kama taifa lake.
 
Back
Top Bottom