Tumheshimu Rais wetu Kikwete

Tumheshimu Rais wetu Kikwete

Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!

siyo dhaifu ni alshabab
 
we kuwa na busara, niache kuombea baba na mama yangu wawe na maisha marefu, nimuombee baba rizwan awe na hekima ili aneemeshe familia yake, itakuwa ni upumbav
 
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!
Wewe unayetutangazia na kutufundisha heshima humu ndani, Je umetuheshimu sisi Kaka na Baba zako humu ndani; mbali hawa dada na mama zako waliokuwa hapa jamvini kwa kututangazia kuwa WEWE NI BIKIRA!!???

JIHESHIMU ILI UHESHIMIWE.
 
Akitaka aheshimika aachie ngazi aseme kashindwa! Hawezi kuheshimika kwa haya madudu yanayofanyika chini yake?!!
 
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!

Wewe unayetutangazia na kutufundisha heshima humu ndani, Je umetuheshimu sisi Kaka na Baba zako humu ndani; mbali hawa dada na mama zako waliokuwa hapa jamvini kwa kututangazia kuwa WEWE NI BIKIRA!!???

JIHESHIMU ILI UHESHIMIWE.
 
kauli za wazee wetu ni kwamba jiheshimu, ueshimiwe sasa sijui kauli hii ipo appplicable hapa?
 
Kamwambie aache UDINI na kutoa udini katika uendeshaji wa serikali. Yeye ndo mzizi wa haya yote tunayoyaona leo!!

Watu wapiga risasi wenzao hadharani, wanasmea eti aaaah huyo alikuwa mtunza fedha kwa hiyo alivamiwa wachukue hela. Mengine yakazuka, bla bla... sasa wakafanya kweli!!!!

Rais wako ameweweseka kwa maneno, yamemtoka meeeeengi kama chiriku, eti ooooh na mashirika ya nje pia yatachunguza, mara oooooh watapatikana!!!

Hajiheshimu, na pia watu wake hawatamshemu, ni sawa na mfalme juha tu...
 
Kwenye vikao vya bunge kuna dua ya kuiombea nchi yetu na kumwombea rais awe na hekima/busara ili afanye maamuzi sahihi lakini wapi!! Dhaifu ni janga la kitaifa! Ametufikisha Pabaya na Anatupeleka pabaya zaidi akitumia redio Imaan na gazeti la Al nuur(gazeti mfu)
 
Amtoe Babu Seya na familia yake Gerezani kwani aliwafunga kimaonezi sana kwa sababu ana madaraka!
 
Mbona aling'ang'ania sana!!! mwache yampate kwa yeye mtoto?
Kama anaona shida.....let him go....akaendeshe shamba lake ...huko...
 
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!

Ubikira wako ndiyo naona unakupeleka mrama. Una siku nne tu humu mada yako pumba kwasababu nchi hii kila mtu anajua pabovu wapi lakini wewe bado upo safi.....
 
Muheshimu mwenyewe na familia yako.

Mtu anaye diriki kuchochea wanazuoni wa kiislam kufanya vurugu na mauaji ndiyo aheshimiwe? Amesha kosa uhalali wa kuongoza. Hafai kabisa, nimekubali msemo usemao "ngoma ikivuma sana kweli hupasuka"
 
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!

Tupendekezee jina mbadala litakalo endana na namna ya utendaji wake na aina ya maamuzi afanyayo...........
 
Mbona aling'ang'ania sana!!! mwache yampate kwa yeye mtoto?
Kama anaona shida.....let him go....akaendeshe shamba lake ...huko...

Hii inanichekesha kidogo. Siku za nyuma alipoenda kufungua kisima kwenye shamba lake na kuchota maji akawaambia wale walinzi mbona humu kisimani kuna mwanamke mzuri ananichekea. Wakamwambia huyo si mwanamke ni kivuli chako, kimyaaaaaa mze wa watu kaumbuka na mpaka leo hajarudi tena shambani kwake.
 
Ubikira wako ndiyo naona unakupeleka mrama. Una siku nne tu humu mada yako pumba kwasababu nchi hii kila mtu anajua pabovu wapi lakini wewe bado upo safi.....

Usimlaumu mkuu, huyu ni Ridhiwani Kikwete anaomba baba yake apewe heshima. Hata kama ungekuwa wewe nafikiri ungefanya hivyo au?:yo:
 
Back
Top Bottom