Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Umeshavimbiwa makande asubuhi yote hii, sasa umeamuwa kuja kujambajamba hapa!!
View attachment 83852
View attachment 83852
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu
Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.
Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.
Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!
kama anakosolewa kistaarabu na yeye hajifunzi,unadhani ni njia gani mbadala ya kuitumia zaidi ya hii?Umesema kweli mkuu.Mara nyingi hata kama mtu kakosea (hata kama sio rais) njia bora ya kumkosoa ni kwa kutumia busara. Hapo ndipo anapoweza kuiona hoja yako na hata kuitafakari na ikibidi kuchukua hatua.Lakini mtu unapotumia lugha za matusi, dhihaka na kejeli; si tu kwamba unakuwa unajidhalilisha, kumdhalilisha kiongozi wako hivyo kulidhalilisha taifa lako lakini pia unasababisha hoja yako ambayo inakuwa imejificha ndani ya lugha chafu uliyoitumia kuyeyuka kama barafu.
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu
Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.
Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.
Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!
Kwa tafsiri ya vitabu vitakatifu vya Mungu neno dhaifu ni kutokamilika, je ni nani kati yetu aliyemkamilifu hadi kumwita Rais wa nchi dhaifu?Umeshavimbiwa makande asubuhi yote hii, sasa umeamuwa kuja kujambajamba hapa!!
View attachment 83852
Katika mjina yote ila hili la Mr Fastjet kiboko!! Sielewi ni kumchoka au ndiyo watu wa mtandao kutaka kufurahisha nasfi zao!!!
Naunga mkono hoja!
kama anakosolewa kistaarabu na yeye hajifunzi,unadhani ni njia gani mbadala ya kuitumia zaidi ya hii?
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu
Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.
Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.
Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!
unaunga mkono hoja ya kugegedana au, manake si unaona user name ya mtoa hoja!!!!
Is too late huwezi kuzuia mvuwa, huu upepo wa mabadiliko huwezi kuuzuia kwa kukaa nyuma ya keyboard na kuwekewa bando kuanza kutetea upuuzi.Hizi ndizo gharama za kuwapa watu uhuru. Mbona haya hayakuwepo enzi za MKAPA? hivi vimtandao vya kishenzi ambavyo kazi yake ni kuongelea watu visingekuwepo.