Tumheshimu Rais wetu Kikwete

Tumheshimu Rais wetu Kikwete

Mkuu Mjenga nitakujibu baadaye nini awafanyie maana hawataki kuona hata kusikia.......labda awaoe ndio waridhike.
Wewe Ms.. umeona matokeo ya form four? Matokeo ya udhaifu wa huyo mume wenu. Rais akiwa dhaifu kila idara ya serikali inakuwa hivyo hivyo. Hivi taifa la kesho litakuwaje? Acheni ujuha, a spade is a spade!
 
Dhaifu ni tusi? We sema naogopa tu bani lakini ni $$$$m****)))n****g
 
Huwezi kuwa rais na ukapata heshima ya urais isiyoendana na matendo. Ndiyo maana wengine wanaitwa dikteta, dhaifu, n.k. kufuatana na jinsi wanavyotekeleza wajibu wao.

baeleze bana... Kulikuwa na Mwalimu, akafuata Mzee ruksa , Kukawa na Mzee wa ukweli na uwazi, na Baadae DHAIFU... ipi mbaya..
 
Back
Top Bottom