Semeni yote musemayo yeye ndio Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Mkinuna, mkikataa haituhusu. Kama ikikuuma sana jinyonge au kunywa sumu ufe. Rais MAO Tse Tung aliwahi sema "Ukiwa Kiongozi na ukafikiri watu wote wanakupenda basi we utakuwa mjinga" Hata katika familia zenu hampendani nyote sembuse Mtu baki? JK we ni jembe hata baba Yao Mbowe alikupigia magoti na kukumwagia sifa lukuki sembuse hawa wafuasi. Mungu akupe afya njema utimize uliyoahidi na ifikapo 2015 tuwapige mchana kweupe.Na hakika wazee wa laptop hapo Kinondoni ndio utakuwa mwisho wenu wa kupata ridhki. Kidumu chama tawala.