Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,974
- 8,115
Wapandie wapiSi ajabu hata hawajahi kupanda ndege kweli....
Wapandie wapiSi ajabu hata hawajahi kupanda ndege kweli....
Safi wambie na wasukuma wenzio akina Bashite waache kick za kishambaKwa kweli sisi tumezidi ushamba sasa!
Yaani huko kushikiliwa kwa ndege moja tu ndo imekuwa nongwa hadi majitu yanaenda kuandamana?
Kushikiliwa kwa ndege kumekuwa ndo gumzo la taifa sasa! Mengine yote yamesahaulika!
Mimi si mshabiki sana wa haya mashirika ya ndege ya taifa. Najua yapo dunia nzima. Napendelea zaidi mashirika binafsi ndo yafanye hizo biashara za anga kama ilivyo Marekani.
Hii ya ndege moja kukamatwa na watu kuanza kutoa mapovu hadi kufikia kuandamana mbele ya ubalozi wa nchi inakoshikiliwa ndege hiyo ni ushamba.
Nishawahi kusema humu kuwa maamuzi ya kununua hayo madege yalikuwa ni ya papara. Na haya yaliyotokea ndo ushahidi wa papara yenyewe sasa.
Yaani ndege moja tu kukamatwa ndo ifanye watu wazima waache shughuli zao waende kuandamana mbele ya ubalozi?? Hawana shughuli za kufanya au?
Tumezidi ushamba.
Sio poa hata kama tunadaiwa,huu mtindo wa kuzuia ndege ni kama utekaji.ina maana sheria zinaruhusu kuzuia ndege pale nchi daiwa inaposhindwa kulipa deni? Na bora deni tungekuwa na tumekopa fedha hivi karibuni kwa masuala ya maendeleo,sasa deni la miaka 37 iliyopita,si unajua awamu hiii inajitahidi kufanya hili na lile ili tuweze kusonga mbele kiuchumi,bila kujali mapungufu ya hapa na pale.kwahiyo hili la ndege yetu kuzuiwa halijakaa poa,linaumiza,
Kuhusu kuandamana ,si jambo baya wala ushamba,kuandamana ni namna tu ya kufikisha ujumbe sehemu husika.kila mtu ana haki ya kufanya jambo anavyojisikia,ahakikishe tu havunji sheria.
Unajifanya hukumbuki wanaijeria walifanya nini kwa wasauzi. Napongeza vijana walioandamana
Kumbuka hawa ni vijana wa mtaani na ni haki yao! Hata wewe umetoka shamba hivyo sote ni washamba maana wa mjini ni watoto wa wenye ukoma wanaozaliwa mjini. Hii inaonesha jinsi Magufuli na sera zake anavyopendwa mitaani ingawa wapuuzi wa JF wanaona hapendwiKuandamana dhidi ya uhalifu ni jambo jingine kabisa.
Lakini kuandamana kwa sababu ndege yenu imeshikiliwa kwa sababu hamjalipa deni, ni ujinga na ushamba.
Mnaandamania nini hasa?
Kenge hawezi kuandikaAlo shika adabu kenge wewe
Unakumbuka bifu lake na Mzigua90 kuhusu huyu mshamba mwenzanguTafadhali bana.
Huyo ni binti yangu.
Usimlinganishe na takataka.
Yaani kwa aibu niliyonayo sasa hivi, hata nikisafiri nje natamani nisijitambilishe uraia wangu. Kwa ushamba huu! We acha tu.Noma sana!
Wengine waloandamana nimewaona wamebeba mabango ya sijui kwamba sisi tuliwasaidia hao Wasauzi enzi wakipigania haki zao.
Kwa hiyo kama tuliwasaidia, huo msaada unahusiana nini na tatizo lililopo?
Tumezidi ushamba.
Mtu anayemshabikia TL ni mufilisi, huwezi kuwa unajielewa ukajadiliana naye PoleKila siku wapinzani wakitaka kuandamana si kuonyesha kutotengewa haki si huwa mnaponda? Je ni kipi kinawafanya muone maandamano haya ni sawa? Nadhani sasa mmeona madhara ya kushabikia hujuma.
Kunaweza kuwa na sababu mbalimbali zilizosababisha kushindwa kulipa deni kwa wakati,tuna madeni mengi tu kama nchi,si hilo tu la huyo mkulima wa kizungu, but kuzuia ndege sidhani kama ni sahihi,labda tu kama sheria za huko south zinaruhusu kukamata mali za mdaiwa,hii sio poa.Deni la miaka 37, umesema.
Kwa nini halijalipwa miaka yote hiyo?
Hiyo hainisumbui, sitafuti cheap popularityNimekupokonya like, utansamehe
KKunaweza kuwa na sababu mbalimbali zilizosababisha kushindwa kulipa deni kwa wakati,tuna madeni mengi tu kama nchi,si hilo tu la huyo mkulima wa kizungu, but kuzuia ndege sidhani kama ni sahihi,labda tu kama sheria za huko south zinaruhusu kukamata mali za mdaiwa,hii sio poa.
We are small minded.
Tunaweza tu today.. and within limited boundaries.
Yaani tunaweza mtaa wa pili.... hatuwazi boundaries beyond Ilala Temeke na Ilala
So tunakimbilia media in local dialext telling over shit we don't understand ourselves.
Usenge tu.
Hapana. Nadhani sheria za mikopo ni tofauti na ishu ya huyu mzungu,huyu mzungu hatukumkopa,tulimtaifisha .kwahiyo nadhani haiwezi kutumika sheria ya hiyo mikopo ya mortgage.Ushawahi kuchukua mkopo wa mortgage au mkopo wa kununulia gari?
You are right, watz tumekuwa very very PRIMITIVE, yaani watu wanaadama bila hata kuelewa kwa nini ndege imesikiliwa, hii ndege haitaachiliwa mpaka tz ilipe ile deni ya pounds 33m ambazo yule mkulima anadai tz, hata watu waadamane aje, wavue nguo mpaka suruali, wavuje ubalozi au waamurise ubalozi ufungwa NGO ndege haitaachiliwa mpaka deni ilipwe PERIOD, niliona hao watz wenzetu wanatutia aibu kubwa sana mbele ya macho ya dunia, lakini ni ukosefu wa elimu bora miongoni wa watz wengi.Kwa kweli sisi tumezidi ushamba sasa!
Yaani huko kushikiliwa kwa ndege moja tu ndo imekuwa nongwa hadi majitu yanaenda kuandamana?
Kushikiliwa kwa ndege kumekuwa ndo gumzo la taifa sasa! Mengine yote yamesahaulika!
Mimi si mshabiki sana wa haya mashirika ya ndege ya taifa. Najua yapo dunia nzima. Napendelea zaidi mashirika binafsi ndo yafanye hizo biashara za anga kama ilivyo Marekani.
Hii ya ndege moja kukamatwa na watu kuanza kutoa mapovu hadi kufikia kuandamana mbele ya ubalozi wa nchi inakoshikiliwa ndege hiyo ni ushamba.
Nishawahi kusema humu kuwa maamuzi ya kununua hayo madege yalikuwa ni ya papara. Na haya yaliyotokea ndo ushahidi wa papara yenyewe sasa.
Yaani ndege moja tu kukamatwa ndo ifanye watu wazima waache shughuli zao waende kuandamana mbele ya ubalozi?? Hawana shughuli za kufanya au?
Tumezidi ushamba.