Tumezidi ushamba

Hapana. Nadhani sheria za mikopo ni tofauti na ishu ya huyu mzungu,huyu mzungu hatukumkopa,tulimtaifisha .kwahiyo nadhani haiwezi kutumika sheria ya hiyo mikopo ya mortgage.

Hujaelewa. Hujanielewa.

Ngoja niulize kivingine.

Ushawahi kudaiwa hela, iwe na mtu binafsi au taasisi?
 
Noma sana!
Wengine waloandamana nimewaona wamebeba mabango ya sijui kwamba sisi tuliwasaidia hao Wasauzi enzi wakipigania haki zao.
Kwa hiyo kama tuliwasaidia, huo msaada unahusiana nini na tatizo lililopo?
Tumezidi ushamba.
Nazidi kuona aibu aisee!! Yaani inafika mahali utajificha kila utakapo kutana na mgeni wa nchi tofauti, maana kwenye story anaweza kuchomeka maswala ya ndani ya nchi yako, ukaishia kupata aibu,

Hii ishu iliyopo sasa hivi ni la kisheria zaidi, hii ndege ingekuwa imekamatwa kwa bila sababu yoyote ningeunga mkono maandamano...
 
Kwa kweli sisi tumezidi ushamba sasa!

Yaani huko kushikiliwa kwa ndege moja tu ndo imekuwa nongwa hadi majitu yanaenda kuandamana?

Kushikiliwa kwa ndege kumekuwa ndo gumzo la taifa sasa! Mengine yote yamesahaulika!

Mimi si mshabiki sana wa haya mashirika ya ndege ya taifa. Najua yapo dunia nzima. Napendelea zaidi mashirika binafsi ndo yafanye hizo biashara za anga kama ilivyo Marekani.

Hii ya ndege moja kukamatwa na watu kuanza kutoa mapovu hadi kufikia kuandamana mbele ya ubalozi wa nchi inakoshikiliwa ndege hiyo ni ushamba.

Nishawahi kusema humu kuwa maamuzi ya kununua hayo madege yalikuwa ni ya papara. Na haya yaliyotokea ndo ushahidi wa papara yenyewe sasa.

Yaani ndege moja tu kukamatwa ndo ifanye watu wazima waache shughuli zao waende kuandamana mbele ya ubalozi?? Hawana shughuli za kufanya au?

Tumezidi ushamba.
Naangalia kichwa cha thrd yako na maelezo uliyotoa, hakuna uhusiano. Ushamba una uhusiano gani na maandamano, na ununuzi wa ndege? Kwa maoni yangu walioandamana wanatuamusha tunaojidai kupiga kelele hapa JF bila kujulikana. Africa kusini haikustahili kabisa kukamata ndege ya TZ kwa kisingizio cha mahakama, wakati walishindwa kumkamata Al Bashir bila kujali amri ya mahakama. Ukishatazamia kufanya tukiola aina hiyo, tegemea matatizo ya kidiplomasia maana hiyo siyo ndege ya muuza gongo.

Tunaojidai kujua mbinu za kuendesha serikali, tuko bize mtandaoni kwa matusi na kuzomea, wakati wachuuzi wanajaribu hata kuandamana.
 
Wajemeni. Ikhiiiiiiiii. Tupie hata kapicha kahuko SA, ili walau tujue kama bado ipo, isije tokemezewa New Zealand tukabaki midomo wazi
 
Sio poa hata kama tunadaiwa,huu mtindo wa kuzuia ndege ni kama utekaji.ina maana sheria zinaruhusu kuzuia ndege pale nchi daiwa inaposhindwa kulipa deni? Na bora deni tungekuwa na tumekopa fedha hivi karibuni kwa masuala ya maendeleo,sasa deni la miaka 37 iliyopita,si unajua awamu hiii inajitahidi kufanya hili na lile ili tuweze kusonga mbele kiuchumi,bila kujali mapungufu ya hapa na pale.kwahiyo hili la ndege yetu kuzuiwa halijakaa poa,linaumiza,

Kuhusu kuandamana ,si jambo baya wala ushamba,kuandamana ni namna tu ya kufikisha ujumbe sehemu husika.kila mtu ana haki ya kufanya jambo anavyojisikia,ahakikishe tu havunji sheria.

Serikali hii huwa haikubali kuandamana na jeshi la polisi huwa linatamba kwamba litapiga waandamanaji mpaka wachakae? Je huwa ni sawa kusema kuwa 👮 huwa wanatumikia siasa chafu?
 
Noma sana!

Wengine waloandamana nimewaona wamebeba mabango ya sijui kwamba sisi tuliwasaidia hao Wasauzi enzi wakipigania haki zao.

Kwa hiyo kama tuliwasaidia, huo msaada unahusiana nini na tatizo lililopo?

Tumezidi ushamba.
Kama wazo nimetoka kwa homeboy wako bashite unategemea nini? U born town? Au huo ulioutaja? Mipango mkakati wa asiye na akili na mshamba ni kuyokuwa na akili na ushamba!
 
Naangalia kichwa cha thrd yako na maelezo uliyotoa, hakuna uhusiano. Ushamba una uhusiano gani na maandamano, na ununuzi wa ndege? Kwa maoni yangu walioandamana wanatuamusha tunaojidai kupiga kelele hapa JF bila kujulikana. Africa kusini haikustahili kabisa kukamata ndege ya TZ kwa kisingizio cha mahakama, wakati walishindwa kumkamata Al Bashir bila kujali amri ya mahakama. Ukishatazamia kufanya tukiola aina hiyo, tegemea matatizo ya kidiplomasia maana hiyo siyo ndege ya muuza gongo.

Tunaojidai kujua mbinu za kuendesha serikali, tuko bize mtandaoni kwa matusi na kuzomea, wakati wachuuzi wanajaribu hata kuandamana.

Hayo maandamano yameratabiwa na state organ, ingekuwa maandamano yanaruhusiwa wapinzani wametaka kuonyesha hisia zao, lakini polisi huwa wanatumwa na viongozi wa kisiasa wanaoendesha uonevu kusambaratisha maandamano yao.
 
Washamba na malimbukeni wametuabisha kweli, yaani donor country mnaandamana badala ya kulipa deni tu dola millioni 33 kwa donor country mbona ni vijisenti tu.
 
Naangalia kichwa cha thrd yako na maelezo uliyotoa, hakuna uhusiano. Ushamba una uhusiano gani na maandamano, na ununuzi wa ndege? Kwa maoni yangu walioandamana wanatuamusha tunaojidai kupiga kelele hapa JF bila kujulikana. Africa kusini haikustahili kabisa kukamata ndege ya TZ kwa kisingizio cha mahakama, wakati walishindwa kumkamata Al Bashir bila kujali amri ya mahakama. Ukishatazamia kufanya tukiola aina hiyo, tegemea matatizo ya kidiplomasia maana hiyo siyo ndege ya muuza gongo.

Tunaojidai kujua mbinu za kuendesha serikali, tuko bize mtandaoni kwa matusi na kuzomea, wakati wachuuzi wanajaribu hata kuandamana.

Okay.

Ahsante kwa maoni yako.
 
Kwa kweli sisi tumezidi ushamba sasa!

Yaani huko kushikiliwa kwa ndege moja tu ndo imekuwa nongwa hadi majitu yanaenda kuandamana?

Kushikiliwa kwa ndege kumekuwa ndo gumzo la taifa sasa! Mengine yote yamesahaulika!

Mimi si mshabiki sana wa haya mashirika ya ndege ya taifa. Najua yapo dunia nzima. Napendelea zaidi mashirika binafsi ndo yafanye hizo biashara za anga kama ilivyo Marekani.

Hii ya ndege moja kukamatwa na watu kuanza kutoa mapovu hadi kufikia kuandamana mbele ya ubalozi wa nchi inakoshikiliwa ndege hiyo ni ushamba.

Nishawahi kusema humu kuwa maamuzi ya kununua hayo madege yalikuwa ni ya papara. Na haya yaliyotokea ndo ushahidi wa papara yenyewe sasa.

Yaani ndege moja tu kukamatwa ndo ifanye watu wazima waache shughuli zao waende kuandamana mbele ya ubalozi?? Hawana shughuli za kufanya au?

Tumezidi ushamba.

Unadhani Watu wengine tunapokuwa tunaukana ( tunajilipua ) Utanzania Wetu hasa pale tukiulizwa na Wageni huwa tunakosea? Kwa matukio ya Kipuuzi yanayotokea sasa Tanzania yawezekana ukijinasibu mbele ya Wageni nao wanaweza kudhani nawe ni Mwendawazimu kama wengineo.
 
Aisee najisikia aibu sana kuwa mtanzania..sipati picha tukifika huko ahera tutakavyochekana kwamba "na wewe ulikua mtanzania kumbe hahahaha"
Usijiskie aibu, tatizo Ni umaskini ulioletwa na ccm,ukiwauliza madini yanachangia kiasi gani ktk bajet ya taifa wanasema wewe huono
 
Back
Top Bottom