Tumezidi ushamba

Tumezidi ushamba

πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€¨πŸ˜πŸ˜‘πŸ—πŸ—πŸ—πŸ—
 
Mkuu sio tu ushamba, bali hata imefikia kiwango cha uzuzu. Unawezaje kutangua utekelezaji wa amri ya mahakama kwa njia ya maandamano ama huruma za kisiasa!
 
Mauaji yanahusiana nini na ndege?
Pole nilikuwa nataka kueleza kuwa gadhabu za watu wa nchi moja huonesha kwa kuandamana katika ubalozi wao. Wanaija walifanya huko kwao kuonesha kusikitishwa na mauaji ya wanaija na sie vijana wapo Sawa maana ndege yao imeshikiriwa sauzi hivyo kuandamana mbele ya ubalozi wa sauzi ni kutoa ujumbe (voice of the voiceless). Una jengine?
 
Kwa kweli sisi tumezidi ushamba sasa!

Yaani huko kushikiliwa kwa ndege moja tu ndo imekuwa nongwa hadi majitu yanaenda kuandamana?

Kushikiliwa kwa ndege kumekuwa ndo gumzo la taifa sasa! Mengine yote yamesahaulika!

Mimi si mshabiki sana wa haya mashirika ya ndege ya taifa. Najua yapo dunia nzima. Napendelea zaidi mashirika binafsi ndo yafanye hizo biashara za anga kama ilivyo Marekani.

Hii ya ndege moja kukamatwa na watu kuanza kutoa mapovu hadi kufikia kuandamana mbele ya ubalozi wa nchi inakoshikiliwa ndege hiyo ni ushamba.

Nishawahi kusema humu kuwa maamuzi ya kununua hayo madege yalikuwa ni ya papara. Na haya yaliyotokea ndo ushahidi wa papara yenyewe sasa.

Yaani ndege moja tu kukamatwa ndo ifanye watu wazima waache shughuli zao waende kuandamana mbele ya ubalozi?? Hawana shughuli za kufanya au?

Tumezidi ushamba.
Tatizo tumefanya ununuzi wa ndege hizo kama moja ya mafanikio makubwa ya awamu hii. Hatujiulizi jirani zetu Kenya wanazo ngapi na kama wanapata faida.

Ni ile Ile mentality ya mifugo mingi isiyo na faida lakini wamiliki wanajisikia ni matajiri wakubwa.
 
Nimetizama Yale majinga yalivyokua yanaimba Yani unajua tuuh kichwani Ni upepo tuuh ,Yani unaweza tamani kuyanasa makelebu tuuh afu Ni wajinga 30 wanakuzwa Kama halaiki ya watu 10000,ule Ni ushuzi mtupu mngh!!!
 
Nadhani wana akili kukuzidi
 
Pole nilikuwa nataka kueleza kuwa gadhabu za watu wa nchi moja huonesha kwa kuandamana katika ubalozi wao. Wanaija walifanya huko kwao kuonesha kusikitishwa na mauaji ya wanaija na sie vijana wapo Sawa maana ndege yao imeshikiriwa sauzi hivyo kuandamana mbele ya ubalozi wa sauzi ni kutoa ujumbe (voice of the voiceless). Una jengine?

Kuandamana dhidi ya uhalifu ni jambo jingine kabisa.

Lakini kuandamana kwa sababu ndege yenu imeshikiliwa kwa sababu hamjalipa deni, ni ujinga na ushamba.

Mnaandamania nini hasa?
 
Hiiiii bhabha watch your words they might bite your ass someday
 
Tatizo tumefanya ununuzi wa ndege hizo kama moja ya mafanikio makubwa ya awamu hii. Hatujiulizi jirani zetu Kenya wanazo ngapi na kama wanapata faida.

Ni ile Ile mentality ya mifugo mingi isiyo na faida lakini wamiliki wanajisikia ni matajiri wakubwa.

Zamani [sina hakika siku hizi mambo yakoje] huko Usukumani watu walikuwa wanashindana kumiliki idadi ya ng’ombe!

Mwenye mang’ombe mengi ndo alikuwa anaonekana ni bonge la tajiri.
 
Kwa kweli sisi tumezidi ushamba sasa!

Yaani huko kushikiliwa kwa ndege moja tu ndo imekuwa nongwa hadi majitu yanaenda kuandamana?

Kushikiliwa kwa ndege kumekuwa ndo gumzo la taifa sasa! Mengine yote yamesahaulika!

Mimi si mshabiki sana wa haya mashirika ya ndege ya taifa. Najua yapo dunia nzima. Napendelea zaidi mashirika binafsi ndo yafanye hizo biashara za anga kama ilivyo Marekani.

Hii ya ndege moja kukamatwa na watu kuanza kutoa mapovu hadi kufikia kuandamana mbele ya ubalozi wa nchi inakoshikiliwa ndege hiyo ni ushamba.

Nishawahi kusema humu kuwa maamuzi ya kununua hayo madege yalikuwa ni ya papara. Na haya yaliyotokea ndo ushahidi wa papara yenyewe sasa.

Yaani ndege moja tu kukamatwa ndo ifanye watu wazima waache shughuli zao waende kuandamana mbele ya ubalozi?? Hawana shughuli za kufanya au?

Tumezidi ushamba.
Zingatia haya wala usishangae sana:
 
Pole nilikuwa nataka kueleza kuwa gadhabu za watu wa nchi moja huonesha kwa kuandamana katika ubalozi wao. Wanaija walifanya huko kwao kuonesha kusikitishwa na mauaji ya wanaija na sie vijana wapo Sawa maana ndege yao imeshikiriwa sauzi hivyo kuandamana mbele ya ubalozi wa sauzi ni kutoa ujumbe (voice of the voiceless). Una jengine?
Naw ni ndge yako?
 
Back
Top Bottom