Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Njaa ibakie tumboni ikihamia kwenye ubongo ni hatari sana..
Khaa wewe vipi? mbona unaleta hoja za kitotototo? Kama nyeusi sema nyeusi kama nyeupe sema nyeupe na sio unabaki kujiumauma tu. BTW Im freeman :bored:
 
Tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,
Hivi Mh Nasari, hata kama Mh Sugu angemvunja huyo policcm meno yote ya mbele, si kwamba Mh Sugu alikuwa kwenye eneo la kinga ya kibunge? Naomba muongozo


Sugu kajibu mapigo baada ya kupigwa ngumi. We ukipigwa na mtu utakaa kimya? Kwanza walimkandamiza aketi kwenye kiti, hapo ndipo tafrani ya mike kuvunjika ikaanza. Si kwamba aliivunja kwa makusudi.

Walipoona hakubali kukandamizwa ndipo wakaamua kumtoa nje!
 
hapo kama sikosei utakuwa unakunywa CHANG'AA, siyo akili yako!
Khaa!! umekosea sana. Mie nipo fit kote mind and body. Tena kubwa kabisa ni mtu huru. Wewe ndiyo unaonekana ni mtumwa :bored:
 
Huna akili timamu wewee unamchana live nani?? , nenda milembee
Khaa!! sasa mbona unatokwa na povu wakati hakuna anayechanwa live? Swali la kijinga hilo. Sikiliza kama tukilealea huu upumbavu basi sheria na taratibu zitakuwa hazifuatwi. Tumeanza huko kesho akisimamshwa na trafik atarusha ngumi. Kama vipi anapenda sana kurusha ngumi atafute mfadhili akutanishwe na bondia Cheka wa Morogoro tuwaangalie huku tukinywa soda.
 

Tunaomba mumlinde kwa ukaribu na umakini mkubwa ili wale jamaa wa 😛ainkiller: wasije waka mjeruhi kama kwa nyenzo zao kama hizi :fencing:
 
Uso ukiwa na nyama ya k unapata matatizo ya kupenda kuguswa guswa usoni.
Khaa!! sasa nani yuko hivyo? Funguka bana. ni Sugu? maana topic ya hapa inahusu ujinga aliyofanya Sugu. Au wewe mwenyewe?? :bored:
 

Ngoja akatafsiriwe na wanasheria mahakamani ndo atajua
 
kumbe nlichojibu hakihusiani na topic au kwa vile sijataja neno Sugu?
chanzo cha yote hayo ni nani? sio naibu spika?
kama angetumia weledi na hekima Sugu angeburuzwa? Ngumi zingepigwa?
hata hivo kupigana kwa wabunge sio hoja, hoja ni kwanini imetokea nani kasababisha na kwanini?Think out of the box man usiwe mbumbumbu wa kupanaua mawazo
Tatizo la maCCM wanashabikia kila kitu kinachofanywa
na mwenzao hata kama ni cha kipumbavu,,, huu ni ujinga.
endelea kubaki na roho yako mbaya lakini mwanga wa ukombozi uko karibu.
nugu yeni Ezekieli Maige kaeleza kwa uzuri madudu ya Ndungai wewe unajifanya huyaoni.


 
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari

Ni ujinga na uhuni pia kwa naibu spika kufukuza wabunge wa upande mmoja tu...wakati tunaona upande wa pili wakivunja taratibu...
 
Non sense, your great liar. howcomes upigane na wapiga debe na majambazi wakupore wewe tu? Bungeni kila mtu anasehemu yake ya kukaa sasa kama kila mtu atakaa kwake hakuna namna ya kupigana. hata wewe ni myonge tu ndio maana unataka kuporwa au wapiga debe wanakugombania wewe tu! Hakuna self defence ya namna ile, bora brain ikose frequency kuliko kuwa mtumwa kama wewe unayelazimika kusifia hata ujinga ili kuwafurahisha mabwana zako. Waambie ukweli hata kama ni mchungu wataendelea kukupenda tu!

Sasa hapa unaonyesha tofauti gani na wale waliokuwa wanadumisha fikra za mwenyekiti? na utajitoa vipi kama na wewe sio mnafiki wakati dalili zote za unafiki unazo.

 

Pamoja daima,mlivyofanya big up ila na Ndugai mngerushia viatu,makabrasha etc ili nae ashike adabu yeye hao mambulula wenzie.
 
Yote kwa yote bwana sugu alikosea angesubir mbowe afanye maamuzi yake ata kama kaonewa na kiti cha spka tusibariki uhuni kwa sababu ya itkadi zetu za vyama ata nchi au wagen waliopo nchini kwa ule uhuni wa sugu tunazalilika utafkr bunge la somalia sugu kakosea full stop..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…