KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 86
Ndo maana walioko hapa JF wanajadili ni wapi tulipokosea ili tutafute suluhisho la kudumu kama kila member atatoa constuctive opinions bila kukaa kiudaku udaku na kuleta mzaha.
Pia ndio maana tukajadili kwa kina list ya mafisadi 11 wa nchi kuliko yule aliyepoteza muda kukaa chini na kuja kiudaku udaku kuleta ishu ya mafisadi wa JF katika jamvi serious kama hili.Pia mind kama hizo ndizo zilipotufikisha hapa tulipo.
Naam baadhi ya watu wamekataa tamaa na hawajali tena kupoteza muda wao amabao wangeweza kufanya kitu muhimu kwa taifa kama kutoa michango ya maana kwenye mada kama hii bila kuleta unazi wa kisiasa na mizaha
huoni sababu hiyo hiyo inaweza ikawa ndio sababu hiyo hiyo wanayotumia watu tunaowasema hapa kuingia kwenye siasa tanzania??