Tume ya mabadiliko ya katiba

Tume ya mabadiliko ya katiba

Kama hakuna uwiano wa sawa sawa na Muungano uvunjike.

Hii ndiyo orodha kamili ya Wajumbe wa Tume ya Katiba Mpya.

1.Ally Salehe........................ .............................. ....MWISLAMU
2. Fatma Said Ali,.......................... ..........................MWIS LAMU
3. Omar Sheha Mussa,........................ ......................MWISLAMU
4. Raya Salim Hamadi,....................... .......................MWISLAM U
5. Awadh Ali Said,......................... ...........................MWI SLAMU
6. Ussi Khamis Haji.......................... .........................MWISL AMU,
7. Salma Maoulidi,..................... .............................. .MWISLAMU
8. Nassor Khamis Mohammed,..................... ................MWISLAMU
9. Simai Mohammed Mshamba,...................... ..............MWISLAMU
10. Kibibi Mwinyi Hassan,....................... .....................MWISLAMU
11. Suleiman Omar Ali,.......................... .....................MWISLAMU
12. Salama Kombo Ahmed......................... ..................MWISLAMU
13. Abubakar Mohammed Ali........................... ..............MWISLAMU.
14.Yahya Msulwa, M/Kiti Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)........................ .........................MWISL AMU,
15. Esther Mkwizu,....................... .............................. .....MKRISTO.
16. Riziki Mngwali,...................... .............................. ......MWISLAMU
17. Richard Lyimo,........................ .............................. ....MKRISTO.
18. John Nkolo......................... .............................. ........MKRISTO.
19. Jesca Mkuchu,....................... .............................. .....MKRISTO.
20. Humphrey Polepole,..................... .............................. MKRISTO.
21. Maria Kashonda na .............................. .....................MKRISTO.
22. Mwantumu Malale........................ .............................M WISLAMU.
22. Said El Maamry, .............................. .........................MWISL AMU
23. Al-Shaymaa Kwegyir,Mbunge wa Viti Maalumu.................MWISLA MU
24. Joseph Butiku-Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF)......................... ......MKRISTO
25. Profesa Palamagamba Kabudi-M/Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)...????
26. Dr. Sengondo Mvungi........................ .............................. .....MKRISTO????
27. Salim Ahmed Salimu........................ .............................. .......MWISLAMU
28. Prof. Mwesiga Baregu........................ .............................. ....MKRISTO????
29. Joseph Sinde Warioba- Mwenyekiti.................... .....................MKRISTO.
30.Augustino Ramadhan- M/Mwenyekiti.................... ....................MKRITO/MWISLAMU?
31.Asaa Ahmad Rashid Katibu Mtendaji...................... ....................MWISLAMU
32.Casmir Sumba Kyuki N/Katibu........................ ............................MK RISTO.

Isije tu baadaye ikaonekana kuwa kuna AGENDA YA SIRI YA KUINGIZA MAHAKAMA YA KADHI NA MASWALA YA OIC KWENYE KATIBA MPYA. Maana kama Kamati itapiga KURA KWA SWALA LOLOTE KUHUSIANA NA MAHAKAMA YA KADHI AU OIC BASI WAISLAMU WATASHINDA. HILI NAFIKIRI RAIS KIWETE NA WASHAURI WAKE HAWAKULIONA AU LIMEFANYWA MAKUSUDI ILI KUTETEA HAYO MASWALA 2 AMBAYO YAMEKUWA YAKIPIGIWA KELELE SANA NA WAISALMU KWA MUDA MREFU.
 
Last edited by a moderator:
Feedback,
Wewe kama mwana Chadema na unaungana na mzee Mtei basi ujumbe kweli umefika maana watu wanasema Chadema imejaa Wachagga na wakristu uongozi wa juu, kuna ukweli mkubwa ktk uundwaji wa uongozi ikiwa Mtei ndiye muasisi wa chama na ana fikra kama hizi au sio? Hivi kweli Chadema itaweza kukijenga chama Zanzibar kwa fikra kama hizi?
 
Kachemka nini kwani sio kweli, ujumbe umeshafika kwa mlengwa haya mengine ni ziada tu.

Mkuu wewe ng'anga'na na kwani sio kweli kuridhisha nafsi yako................
Lakini wenye akili zao ndani ya chama wameona hii ni mbaya kwa afya ya chama na ndio maana mbio wamekuja kumruka futi mia.

Umewahi kusikia CDM wanatoa tamko kumnawa memba yeyote kiongozi wa CDM humu JF? wameandika mangapi? why Mtei?
Sumbua kichwa hata kidogo na utoke nje ya box

Take your time and go through bandiko la Myika, utajua wanamaanisha nini.......
Na kwa taarifa yako usifikiri Mnyika alikurupuka kutoa bandiko lile, NOPE.........Jopo la uongozi lilitafakari kabla ya kuja na hilo tamko
 
Haya mambo sio ya Simba na Yanga, wewe endelea na ligi huwezi kutofautisha Chadema na Mtei...ndio maana John Mnyika, kaja humu JF kuweka wazi sababu msimamo wa Chadema kuna watu wakisema hayo maneno hakuna tatizo lakini kasema Mtei nembo ya Chadema.
 
Feedback,
Wewe kama mwana Chadema na unaungana na mzee Mtei basi ujumbe kweli umefika maana watu wanasema Chadema imejaa Wachagga na wakristu uongozi wa juu, kuna ukweli mkubwa ktk uundwaji wa uongozi ikiwa Mtei ndiye muasisi wa chama na ana fikra kama hizi au sio? Hivi kweli Chadema itaweza kukijenga chama Zanzibar kwa fikra kama hizi?

Mkuu Mkandara CDM wanajua wana kazi ya ziada kupata kura za waislam 2015, wamelitambua hilo mapema kuwa tamko la Mzee Mtei halina afya kwa chama hasa ukizingatia tuhumu inazobebeshwa CDM za udini na ukanda, na ndio maana wamekuja na tamko la kumnawa mapesa sana

Nililisemea hili la kuwa iwapo Mtei ndio wenye chama wenyewe na wanajua wanavyo tuhumiwa kwa tuhuma hizi anazoituhumu tume haoni anapingana na yale anayo jaribu kuwaaminisha wapiga kura wasiangalie dini wala ukanda badala ya sera, au ndio anatuaminisha kuwa ni kweli CDM ni wadini na wakanda?

Kama kuna chama ambacho kwasasa kinahitaji kuupiga vita udini kwa mustakabali wa kupata kura bila kujali misingi ya udini basi ni CDM,
sio jambo la busara kuanza kuuchokonoa udini kwani haya ndio yatakuwa sehemu ya kampeni za CCM dhidi ya CDM kuhakikisha hawapati kura za waislam
 
Feedback,
Wewe kama mwana Chadema na unaungana na mzee Mtei basi ujumbe kweli umefika maana watu wanasema Chadema imejaa Wachagga na wakristu uongozi wa juu, kuna ukweli mkubwa ktk uundwaji wa uongozi ikiwa Mtei ndiye muasisi wa chama na ana fikra kama hizi au sio? Hivi kweli Chadema itaweza kukijenga chama Zanzibar kwa fikra kama hizi?
Mkuu control Ur temper, Mzee Mtei uzee nao unamsumbuwa, ila ametumia haki yake ya kutoa maoni kama Mtanzania kama utakumbuka Kanisa Katoliki limekuja kuikana kauli ya Askofu Kilaini mwaka huu wakati ilishatuletea madhara Watanzania, kitu muhimu na cha msingi CHADEMA kama chama kimetoa tamko lake, nadhani hilo ndilo muhimu na kwa kila mtu mwenye akili timamu anajuwa kwamba CHADEMA imedhamiria kitu gani.
 
Binafsi mmuunga mkono Mtei kwa alivyosema, ni ukweli ulio wazi kuwa 1. Zanzibar yenye watu 1.5m iwakilishwe sawa na bara yenye watu zaidi ya 40mil. 2. Tume ina waislamu 23 na wakristo 11 na huo ni ukweli kila mtu anaona.

Tatizo watu wanasema kwanini kasema wazi, mimi ndio nawashangaa wanaosema kwa nini kasema, walitaka anyamaze kuendeleza woga, eti akisema atakiharibia chama si kweli, alichoangalia yeye Mtei si chama bali mstakabali wa nchi ndio maana chama kimetoa tamko lake. Kwa kitendo hiki vile vile kinaonyesha kumbe ndani ya CDM kuna uhuru wa kutoa maoni na kwa upande mwingine chama hakiongopi kupingana na mwasisi wake. Hivi ni vitu vipya vya kujifunza ndio maana watu mnashangaa havipo ndani ya CCM.

Mwisho alikuwa anafikisha ujumbe.
 
Mzee mtei anapaswa kupongezwa kwa kuelezea ukweli wa yale ambayo siku zote hupingwa na wenzake.
 
Binafsi mmuunga mkono Mtei kwa alivyosema, ni ukweli ulio wazi kuwa 1. Zanzibar yenye watu 1.5m iwakilishwe sawa na bara yenye watu zaidi ya 40mil. 2. Tume ina waislamu 23 na wakristo 11 na huo ni ukweli kila mtu anaona.

Tatizo watu wanasema kwanini kasema wazi, mimi ndio nawashangaa wanaosema kwa nini kasema, walitaka anyamaze kuendeleza woga, eti akisema atakiharibia chama si kweli, alichoangalia yeye Mtei si chama bali mstakabali wa nchi ndio maana chama kimetoa tamko lake. Kwa kitendo hiki vile vile kinaonyesha kumbe ndani ya CDM kuna uhuru wa kutoa maoni na kwa upande mwingine chama hakiongopi kupingana na mwasisi wake. Hivi ni vitu vipya vya kujifunza ndio maana watu mnashangaa havipo ndani ya CCM.

Mwisho alikuwa anafikisha ujumbe.

Feedback pole sana, zanzibar ni nchi na ina haki ya kuwakilishwa kwa uwiano sawa. kuna madai mengi sana ya zanzibar ambayo wanatakiwa wawe na nguvu sawa na mbia mwenzao tanganyika ili kuyatolea maamuzi.
hiyo idadi ya 23 waislam umeitoa wapi?
znz=15
tanganyika=4
na secretariet=1
jumla 20 au nimekosea?
na wagalatia
tanganyika=11
secretariet=1
mwenyekiti na makamu=2
julma 14
kwa hiyo ni 20 kwa 14 mkuu
 
Binafsi mmuunga mkono Mtei kwa alivyosema, ni ukweli ulio wazi kuwa 1. Zanzibar yenye watu 1.5m iwakilishwe sawa na bara yenye watu zaidi ya 40mil. 2. Tume ina waislamu 23 na wakristo 11 na huo ni ukweli kila mtu anaona.

Tatizo watu wanasema kwanini kasema wazi, mimi ndio nawashangaa wanaosema kwa nini kasema, walitaka anyamaze kuendeleza woga, eti akisema atakiharibia chama si kweli, alichoangalia yeye Mtei si chama bali mstakabali wa nchi ndio maana chama kimetoa tamko lake. Kwa kitendo hiki vile vile kinaonyesha kumbe ndani ya CDM kuna uhuru wa kutoa maoni na kwa upande mwingine chama hakiongopi kupingana na mwasisi wake. Hivi ni vitu vipya vya kujifunza ndio maana watu mnashangaa havipo ndani ya CCM.

Mwisho alikuwa anafikisha ujumbe.
Mkuu wangu lazima utazame na kupima vitu kwanza kabla ya kukubaliana na mawazo ya mzee Mtei. Hili ni Taifa linalopiga vita Ukabila, Udini, na kuvunja Muungano wetu sasa wewe nambie ktk mawazo yake hayo yeye alitaka iwe vipi?..Mbona Chadema hatuna uuwiano sawa na hayo anayoyadai? Je, ukweli huo unaukubali na mnafanya nini kuuondoa maana nakuona siku zote unampiga vita Zitto na watu wanasema kwa sababu yeye ni Muislaam, Je nao wanasema kweli kama unavyouona hapa?
 
Binafsi mmuunga mkono Mtei kwa alivyosema, ni ukweli ulio wazi kuwa 1. Zanzibar yenye watu 1.5m iwakilishwe sawa na bara yenye watu zaidi ya 40mil. 2. Tume ina waislamu 23 na wakristo 11 na huo ni ukweli kila mtu anaona.

Tatizo watu wanasema kwanini kasema wazi, mimi ndio nawashangaa wanaosema kwa nini kasema, walitaka anyamaze kuendeleza woga, eti akisema atakiharibia chama si kweli, alichoangalia yeye Mtei si chama bali mstakabali wa nchi ndio maana chama kimetoa tamko lake. Kwa kitendo hiki vile vile kinaonyesha kumbe ndani ya CDM kuna uhuru wa kutoa maoni na kwa upande mwingine chama hakiongopi kupingana na mwasisi wake. Hivi ni vitu vipya vya kujifunza ndio maana watu mnashangaa havipo ndani ya CCM.

Mwisho alikuwa anafikisha ujumbe.

Kumbe Mtei ndio alisema hayo maneno na hizo hesabu ulizoandika...I see..
 
Mkuu wewe ng'anga'na na kwani sio kweli kuridhisha nafsi yako................
Lakini wenye akili zao ndani ya chama wameona hii ni mbaya kwa afya ya chama na ndio maana mbio wamekuja kumruka futi mia.

Umewahi kusikia CDM wanatoa tamko kumnawa memba yeyote kiongozi wa CDM humu JF? wameandika mangapi? why Mtei?
Sumbua kichwa hata kidogo na utoke nje ya box

Take your time and go through bandiko la Myika, utajua wanamaanisha nini.......
Na kwa taarifa yako usifikiri Mnyika alikurupuka kutoa bandiko lile, NOPE.........Jopo la uongozi lilitafakari kabla ya kuja na hilo tamko
Unaweza kuniambia tatizo la tamko la Mtei ni nini, labda tuanzie hapa, nitakujibu.
 
Mkuu control Ur temper, Mzee Mtei uzee nao unamsumbuwa, ila ametumia haki yake ya kutoa maoni kama Mtanzania kama utakumbuka Kanisa Katoliki limekuja kuikana kauli ya Askofu Kilaini mwaka huu wakati ilishatuletea madhara Watanzania, kitu muhimu na cha msingi CHADEMA kama chama kimetoa tamko lake, nadhani hilo ndilo muhimu na kwa kila mtu mwenye akili timamu anajuwa kwamba CHADEMA imedhamiria kitu gani.
Sina temper isipokuwa napoona watu wanamshabikia Mzee Mtei badala ya kumkosoa..Yale ya kanisa katoliki hayahusiani na kanisa, Askofu kilaini amezungumzia swala nje ya kanisa hivyo ni mawazo yake lakini kama angesema Ushoga ni halali basi athari yake ingekuwa kubwa zaidi ya maneno yale. Mtewi ni kiongozi muasiosi wa Chadema hakutakiwa kabisa kuyasema aloyasema hata kama anafikiria kulitakiwa kuwepo uuwiano kwa sababu fikra hizi ndizo tunazozipiga vita Chadema mpya. Tulichukua Chadema iliyokuwa na malengo ya upinzani na CCM tukaibadilisha na kuwa chama kinachotaka kutawala na ndio tukaingia Zanzibar na mikoani na hata kumsimamisha mgombea Urais. Huyu Mzee kachemsha na haitakiwi kabisa kumuunga mkono kwa lolote kuhusiana na makala yake.
 
Mkuu wangu lazima utazame na kupima vitu kwanza kabla ya kukubaliana na mawazo ya mzee Mtei. Hili ni Taifa linalopiga vita Ukabila Udini na kuvunja Muungano wetu sasa wewe nambie ktk mawazo yake hayo yeye alitaka iwe vipi..Mbona Chadema hatuna uuwiano sawa na hayo anayoyadai? Je, ukweli huo unaukubali na mnafanya nini kuuondoa maana nakuona siku zote unampiga viota Zitto na watu wanasema kwa sababu ni yeye ni Muislaam je nao wanasema kweli kama unavyouona hapa?
Achana na mambo ya Zitto that is different story, tujadili tamko la Mtei na impact yake.

Mtei alitaka kufikisha ujumbe kuwa hicho kitu tumekiona na usifikiri yuko peke yake ni wengi wameona lakini wanaogopa kuwa labeled na udini kama mnavyom label sasa na usishangae baadae ukija kuona hoja yake inapata msukumo.
 
Achana na mambo ya Zitto that is different story, tujadili tamko la Mtei na impact yake.

Mtei alitaka kufikisha ujumbe kuwa hicho kitu tumekiona na usifikiri yuko peke yake ni wengi wameona lakini wanaogopa kuwa labled na udini kama mnavyon lable sasa na usishangae baadae ukija kuona hoja yake inapata msukumo.
Wengi kina nani ikiwa Chama chako kimetoa tamko lake rasmi?..wewe na nani mmeliona hilo..Na hujanijibu wengi wanaosema Chadema ni chama cha Kaskazini na wakristu kuna ukweli maana namba zinajieleza wazi vile vile! halafu Mtei amekuja thibitisha fikra na mtazamo wake kuna ushahidi zaidi ya huu? eeeh mkuu wangu bado huoni athari ya makala ya Mtei ati ni ukweli mbona ktk tume hiyo hakuna Mkerewe hata mmoja nami niseme nini?
 
Achana na mambo ya Zitto that is different story, tujadili tamko la Mtei na impact yake.

Mtei alitaka kufikisha ujumbe kuwa hicho kitu tumekiona na usifikiri yuko peke yake ni wengi wameona lakini wanaogopa kuwa labled na udini kama mnavyon lable sasa na usishangae baadae ukija kuona hoja yake inapata msukumo.
Mkuu achana na utetezi huu wa Mzee Mtei, hizi ni Idara za kina Mtikila angejikalia kimya huyu Mzee nina uhakika Mtikila angekuja na same statement.

Pls thread za kuchangia ziko nyingi unaweza kuipotezea tu, aje mwenyewe Mzee Mtei kujibu hoja siyo anaanzisha hoja halafu yeye anakaa shambani kwake kunywa mbege, Wazee wanaposhindwa kuzisoma alama za nyakati wanapaswa kunyooshewa vidole, mambo ya wakristo wangapi na waislamu wangapi waachiwe kina Sheikh Bahsaleh na Kakobe na Mtikila aliyesema Kikwete anataka kuwasilimisha Watanzania.
 
Wengi kina nani ikiwa Chama chako kimetoa tamko lake rasmi?..wewe na nani mmeliona hilo..Na hujanijibu wengi wanaosema Chadema ni chama cha Kaskazini na wakristu kuna ukweli maana namba zinajieleza wazi vile vile! halafu Mtei amekuja thibitisha fikra na mtazamo wake kuna ushahidi zaidi ya huu? eeeh mkuu wangu bado huoni athari ya makala ya Mtei ati ni ukweli?
Naona una lengo lako nafikiri endelea kujadili nitakusoma, good bye.
 
Unaweza kuniambia tatizo la tamko la Mtei ni nini, labda tuanzie hapa, nitakujibu.
Mkuu mimi nadhani ungefuata ushauri huu apa chini ingekuwa vyema zaidi, vinginevyo unaonekana kituko

Back
Top Bottom