Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Unaona sasa ulivyo kua mpumbavu? Vitoto kama wewe vinafikiri matatizo ya Israel na Palestina yameanza october 7

Mchukue mumeo nenda kwa Papa mkabarikiwe coz Papa ameruhusu,hii mada ni kubwa kuliko uwezo wako wa akili.
Sio vitoto pekee nivijinga pekee vinavyodhania kwamba tatizo la hapo lilianza mwaka jana October 7
 
yoyote anayeidharau na kuipuuza israel na wayahudi ( taifa teule ) la Mungu hana akili na huenda akawa anaugua uwendawazimu bila ya yeye kujua au kujijua

long live israel, jews and hebrews
Yeyote anaesapoti taifa lile la mashoga na kuliona taifa teule hana akili na huenda akawa anaugua wazimu bila kujijua
 
PApa katoa Ruhusa mbarikiwe, Nakushauri nenda na Basha wako anekupumulia kisogoni mpaka anakutoa haja kubwa , ukabarikiwe , halafu muda ukifika utaolewa
Mbarikiwa ni wewe unayeomba ukiwa umetegesha
 
Niliwaambia tokea mwanzo kuwa Israel hawaiwezi Hamas kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuifuta Hamas jee wamefanikiwa?

Malengo yalikua ni kuiteka Gaza yote kwa muda wa wiki tatu tu kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuweka utawala wao Gaza na kuwafurusha wapalestina wote jee wamefikia malengo?

Malengo yalikua ni kuwaokoa mateka? Hakuna hata mateka mmoja ameokolewa!! Na wanajiita jeshi bora

Kama intelijensia ya Mossad imefeli kwenye eneo la Gaza lenye Size ya nusu ya Kigamboni jee wataziweza nchi nyingine?

Unajua inashangaza sana, ajabu kweli Kweli jeshi linalopewa kila kitu kupigwa na Hamas ambao wanatumia silaha dhaifu?

Gaza ambayo imekua chini ya ukaguzi na mzingiro mkali wa Israel 24 hrs 7 days kwa miaka 17 sasa kuanzia angani hadi ardhini wameshindwa kabisa kumuokoa hata mateka mmoja?

Walichofanikiwa ni kuuua raia tu makambini na kulipua mahosptali
Saivi vita iko na miezi mingi duh
 
Huna akili sina haja ya kuendelea kubishana na ww.
Aliesema mnalindwa na majini sio mimi ni Allah , kwa hiyo unasema allah aliensema ni...hana...

Allah anasema
, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
 
Dunia imebadilika. na tushukuru electorate ya Marekani imebadilika, maana kama ingekuwa miaka 25 iliyopita, Gaza ingekuwa mchanga..Wamarekani hawako susceptible to propaganda kama miaka ya nyuma, majority walipinga vita ya Ukraine pamoja na media zote kupiga porojo, na majority hawakubali ujinga anaofanya Israel sasa hivi. America ndio wafadhili wakubwa wa Israel, If the polling showed otherwise kungekuwa na vita sasa hivi amini hivyo
Unaongea ujinga tu ,kwani huyo mmarekani hatoi silaha na wanajeshi / mercenaries kwenye hiyo vita ya Gaza ?
Au hukuona shehena za silaha alizotuma huko Israel na ambazo anaendelea kutuma na ndio zilizotumika na bado zinatumika kwenye hiyo vita ? Kuangamiza wazee na watoto ?
 
Dunia imebadilika. na tushukuru electorate ya Marekani imebadilika, maana kama ingekuwa miaka 25 iliyopita, Gaza ingekuwa mchanga..Wamarekani hawako susceptible to propaganda kama miaka ya nyuma, majority walipinga vita ya Ukraine pamoja na media zote kupiga porojo, na majority hawakubali ujinga anaofanya Israel sasa hivi. America ndio wafadhili wakubwa wa Israel, If the polling showed otherwise kungekuwa na vita sasa hivi amini hivyo
Kiufupi ni kwamba Hamas wamekuwa mwiba
 
Israel anakubali proposal zao kwasababu ana nia ya kuokoa raia wake walio mateka tu na wala sio kingine. ukiwa unapigana na kichaa aliyenyakua mtoto wako unatakiwa kwenda kwa akili, sometimes jifanye unataka kupatana naye hadi pale utakapompata mtoto wako, ukienda kichwakichwa anaweza kuchinja mtoto wako hivyo hata kama wewe utamfyeka yule adui lakini utakuwa umepoteza mtoto wako. ndicho kinachoendelea kule. hamas silaha yao kubwa ni mateka na wanajua israel wanapenda sana raia wao, hamas hawapendi ndio maana hata wapalestina wanaokimbia maeneo ya vita hamas walikuwa wanawashambulia kwa risasi kwasababu walipenda wabaki pale ili wawe kama ngao.
Propaganda kazini 🤣😀🤣
 
Hamas wamejiandaa na hii mbungi hata kama itafika mwaka 3100
Wazayuni acheni kulia lia kakomboeni magaidi wenu wa kizayuni waliotekwa huko na wanaume
Nasoma comment za hawa wayahudi wa Buza nabaki kucheka tu.
Imagine mtu anakwambia Hamas ndio wameanza ilhali kila siku taarifa hutolewa walowezi wa kiyahudi wakishambulia wapalestina mashambani.
Huyo huyo anakuja kukwambia two state solution hamas hawaitaki ilhali Netanyahu ndio amepinga kuundwa kwa taifa la Palestina na habari zipo kila kona.
Hawa jamaa wanashangaza sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Wavumilieni tu.
 
Yeyote anaesapoti taifa lile la mashoga na kuliona taifa teule hana akili na huenda akawa anaugua wazimu bila kujijua
Hata mimi nawashangaa aisee.
Maana hata mataifa ya kikristo yaliilaani Israel na yalitamka kuwa tatizo halijaanza october 7.
Spain,Belgium,Colombia,Cuba,Brazil,Chile kote wamenena kuwa tatizo halijaanza october 7 mpaka wengine wakavunja mahusiano ya kidiplomasi na Israel kasoro Belgium tu.
Na mswahili wa nantumbo anakuja kushadadia akijiona ana akili na upembuzi kuliko hata viongozi wa hayo mataifa hapo juu.
Yani ni wanashangaza hawa jamaa.
 
Unaongea ujinga tu ,kwani huyo mmarekani hatoi silaha na wanajeshi / mercenaries kwenye hiyo vita ya Gaza ?
Au hukuona shehena za silaha alizotuma huko Israel na ambazo anaendelea kutuma na ndio zilizotumika na bado zinatumika kwenye hiyo vita ? Kuangamiza wazee na watoto I

Subliterate
 
Hata mimi nawashangaa aisee.
Maana hata mataifa ya kikristo yaliilaani Israel na yalitamka kuwa tatizo halijaanza october 7.
Spain,Belgium,Colombia,Cuba,Brazil,Chile kote wamenena kuwa tatizo halijaanza october 7 mpaka wengine wakavunja mahusiano ya kidiplomasi na Israel kasoro Belgium tu.
Na mswahili wa nantumbo anakuja kushadadia akijiona ana akili na upembuzi kuliko hata viongozi wa hayo mataifa hapo juu.
Yani ni wanashangaza hawa jamaa.
Kwani ww unashabikia Hamas ukiwa wapi?
 
Aliesema mnalindwa na majini sio mimi ni Allah , kwa hiyo unasema allah aliensema ni...hana...

Allah anasema
, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
We zombi wahi kwa mwamposa ukajichukulie kijiko kimoja cha mchanga kwa buku kumi. PUMBAFU
 
Katika kitu ambacho ni kigumu ni ku instil fear kwa jamii za waarabu.
Uharibifu Gaza haujaanza leo japo wasasa ni mkubwa zaidi.
Ila ungeona raia wanavyosema kheri kufa kuliko kunyanyasika.
Ndiyo wanauwawa ili wasiendelee kunyanyasika sasa
 
Alafu hamna hata nchi moja yenye waislamu wengi kwenye zile kumi zenye gdp kubwa
Na hakuna hata moja kwenye member wa kudumu wa security council
Sawa ila nchi za kiislam ndio nyingi zinaongozwa kwa GDP per capita mathalan Qatar,kuwait n.k.
Na hela za mataifa ya kiislam ndio zina thamani kubwa kuliko zote.
Ukiwa na Oman rial moja sawa uwe na dola 3 kasoro.
Pia mataifa ya kiislam ndio miongoni mwa mataifa yenye idadi ndogo ya masikini kwa kuwepo system ya baytul maal.
 
Back
Top Bottom