Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Kwahiyo wewe hapa ndio umejenga hoja? Huyo mpumbavu hujaona kua kaingiza issue ya udini? Au umeamua tu kujizima data? Au ndio double standard?
Nimeshakuona kwenye nyuzi nyingi una-overeacting sana na wako wameshakujua ndo maana wanakuchokoza
kwani akiingiza swala la udini wewe inakupunguzia nini kwenye maisha yako ya kila siku
Usiwe na emotion sana
 
Wanamgambo wa HAMAS walivyoingia Israel oktoba 7 walienda kigana na raia au na jeshi la Israel.
Waliua wanajeshi wengi sana wa israel.
Raia walokufa ni matokeo ya maroketi waliorusha Hamas ila hawakuuawa kwa risasi.
Na wakabeba mateka kama optional ya majadiliano na Israel.
 
Wayahudi sio wakristo wenzetu.

Mungu wetu ni Mungu wa Upendo, ndio maana alituachia ujumbe kuwa Tupendane kama alivyo tupenda (tuwapende hata maadui zetu ambao ni hao Jews).

Hukumu ni ya Mungu, Mwanadamu hana mamlaka ya kumhukumu mwanadamu mwingine kwa kosa alilofanya.
Ni sawa kweli imani yako kudhihakiwa huku ukimkumbatia mdhihaki wa imani yako?!!!
 
Mtu yyt mwenye Imani kuwa akizini , akiua akilawiti, kala rushwa, akibaka kisha weekend akaenda kanisani na kumkabidhi DHAMBI ZOOOTE HIZO YESU basi uwezo wa kuelewa kitu chochote kibaya kuhusu wayahudi HAIWEZEKANI.

Yaani Piga ua.

Hata akimkuta myahudi analawiti mwanae atasema "TAWILE BWANA " mtoe majini .

Toka lini Taifa teule LIKAKOSEA?
[emoji1787][emoji1787]
Waislamu huwaga mnavibweka sana
 
Maandiko ilibidi yatimie kuwa mwana wa Adam ni lazima auawe.

Sasa ulitaka auawe na WAMAKONDE?

Kuunga mkono mauaji ya Kristo haiwezi kuwafanya tuache kuwaonyesha UPENDO.

Yesu alisema pendaneni kama NILIVYOWAPENDA.
Ila ikitokea watu wanawaua "wauaji wa yesu wenu" ,mnakasirika?
 
Religious ni minor and minor factor.
Hapo ni ethnic violence ndio major factor kijana.
Kaufuatilie huu mzozo vizuri maana una mengi huyajui.
Huwezi kunipa somo juu ya Uislamu na Wayahudi.

Wayahudi wangekuwa waislamu ambao wametangaza kuanzisha taifa lao basi wale Gazans wasinge shindwa kukubali kuishi under the regime ya kiislamu.

Kwakuwa Taifa la kiyahudi limefanyika, basi ni haramu kuishi miongoni mwao kwasababu Allah aliwaagiza kuwa ni lazima jews wote wauwawe na waislamu.
 
Huo ndo ukweli wayahudi na waislamu wangekua na ideology moja hivyo vita visingekuwepo
 
Wayahudi huyo yahweh hawamtambui kaka.
Wayahudi walikua wale wa zamani sio hawa wasasa wamchongo bro.
Hiyo umesema wewe kama biblia tunatumia moja ya agano la kale kwanini wasimtambue

Ushauri wangu usipende kujifariji kwa mambo ambayo hayakuongezei chochote mfano unavyolazimisha wayahudi na wakristo kwamba Mungu wao sio mmoja unapata nini hakuna wewe jikite na dini yako ya uislamu na mapokeo yake
 
Ni sawa kweli imani yako kudhihakiwa huku ukimkumbatia mdhihaki wa imani yako?!!!
Inategemea na Mungu anaye abudiwa.

Mungu wetu ni wa haki, atahukumu kwa wakati wake. wala haitaji binadamu amsaidie kutoa haki.
(Huu unaitwa Upendo)

Kuna dini zingine Mungu wao amewaambia kuwa wanajukumu la kumsaidia kutoa haki hata kama siku ya hukumu haijawadia.
 
Huwezi kunipa somo juu ya Uislamu na Wayahudi.

Wayahudi wangekuwa waislamu ambao wametangaza kuanzisha taifa lao basi wale Gazans wasinge shindwa kukubali kuishi under the regime ya kiislamu.

Kwakuwa Taifa la kiyahudi limefanyika, basi ni haramu kuishi miongoni mwao kwasababu Allah aliwaagiza kuwa ni lazima jews wote wauwawe na waislamu.ttt
Tttttt unasikitisha sana kijana.
Kuna regime nyingi tu za kiislam ziliishi na wakristo pamoja na hakukuwa na shida.
Hao wayahudi mazayuni waarabu waliwakubali na kuwapokea kwa moyo mmoja 1947 na mipaka ya mataifa mawili ikachorwa ila 1948 Israel ilianza uvamizi wa upanuzi ardhi sio tu Palestina mpaka Syria na Egypt.
Una mengi huyajui.
 
Niliwaambia tokea mwanzo kuwa Israel hawaiwezi Hamas kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuifuta Hamas jee wamefanikiwa?

Malengo yalikua ni kuiteka Gaza yote kwa muda wa wiki tatu tu kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuweka utawala wao Gaza na kuwafurusha wapalestina wote jee wamefikia malengo?

Malengo yalikua ni kuwaokoa mateka? Hakuna hata mateka mmoja ameokolewa!! Na wanajiita jeshi bora

Kama intelijensia ya Mossad imefeli kwenye eneo la Gaza lenye Size ya Kigamboni jee wataziweza nchi nyingine?

Unajua inashangaza sana, ajabu kweli Kweli jeshi linalopewa kila kitu kupigwa na Hamas ambao wanatumia silaha dhaifu?

Gaza ambayo imekua chini ya ukaguzi na mzingiro mkali wa Israel 24 hrs 7 days kwa miaka 17 sasa kuanzia angani hadi ardhini wameshindwa kabisa kumuokoa hata mateka mmoja?

Walichofanikiwa ni kuuua raia tu makambini na kulipua mahosptali
haiwawezi kwa vipi, acha kujitoa ufahamu. sasaivi ikifanyika ceasefire, hamas wanarudi kuishi kwenye mashimo kama panya, hakuna nyumba iliyosimama, maiti kibao zipo kwenye rubbles hadi sasaivi. basi tukufariji kwamba hamas wameshinda. hapo sasa utakuwa umefurahi. unaanzisha ugomvi na mtu halafu unakimbilia shimono kujificha, unachomoza sura unarusha jiwe unajificha, huku juu adui yako anafuta nyumba yako, barabara zako, shule zako kila kitu wewe unabaki shimoni na kujifariji kwamba kwasababu hajanikamata nimemshinda, hiyo akili au matope?
 
Screenshot_2024-01-23-00-43-24-111_com.instagram.android.jpg
 
Hiyo umesema wewe kama biblia tunatumia moja ya agano la kale kwanini wasimtambue

Ushauri wangu usipende kujifariji kwa mambo ambayo hayakuongezei chochote mfano unavyolazimisha wayahudi na wakristo kwamba Mungu wao sio mmoja unapata nini hakuna wewe jikite na dini yako ya uislamu na mapokeo yake
Kaka shida ninyi mnapenda ufia dini utawalemaza.
Hata sisi waislam tunawakubali wayahudi ila sio hao wayahudi wasasa wazayuni.
Hao wazayuni wanatamka wazi Israel hawana fungamano na yesu wala ukristo.
Kuna video kibao zinarushwa ila huwa hamfuatilii habari.
Nimemaliza mjadala na wewe kwaheri.
 
Tttttt unasikitisha sana kijana.
Kuna regime nyingi tu za kiislam ziliishi na wakristo pamoja na hakukuwa na shida.
Hao wayahudi mazayuni waarabu waliwakubali na kuwapokea kwa moyo mmoja 1947 na mipaka ya mataifa mawili ikachorwa ila 1948 Israel ilianza uvamizi wa upanuzi ardhi sio tu Palestina mpaka Syria na Egypt.
Una mengi huyajui.
Hakuna sio kweli hizo caliphate ziliwalazimishe wakristo walipe sadaka na kuwafanyia fujo za kila aina ndo maana mpaka leo hii middle east ina wakristo wachache sana wengi walikimbilia europe

alafu mwaka 1947 hao warabu walikua chini ya wakoloni kwa hiyo kuishi na wayahudi ilikua ni lazima sio option
 
Mpinzani wa kijeshi mwenye kuamini kuwa Wayahudi wote duniani wanapaswa kuuwawa (kwasababu allaha ameagiza hivyo) wala hupaswi kupigana nae mwa mbinu za kijeshi ambazo ni conventional.
Mm nilidhani naongea na mtu mwenye akili kumbe aongea na kilaza?
Mpinzani gani huyo anaye amini kuwa Wayahudi wana takiwa kuuawa wote ?

Kwanza una elimu gani nisiwe naongea na tahira hapa ?,labda ngoja nikupe elimu kidogo ikusaisidie kutoa ujinga ulio jaa kichwani mwako.

Kwanza kuna vitu vitatu ambavyo ww kwa akili zako za kirokole unadhani ni kitu kimoja hali ya kuwa ni vitu tofauti na havina uhusiano wowote navyo ni, taifa la Israeli,watu wenye asili ya Uyahudi, na dini ya kiyahudi hivi ni vitu vitatu tofauti kabisa.

Si kila raia wa Israel ni myahudi, wala si kila myahudi ni raia wa Israel ,na si kila myahudi ana amini kwenye dini ya kiyahudi.

Hamas wanapigana na taifa la Israel sio Wayahudi hicho ndo unacho takiwa kujua.
 
Inategemea na Mungu anaye abudiwa.

Mungu wetu ni wa haki, atahukumu kwa wakati wake. wala haitaji binadamu amsaidie kutoa haki.
(Huu unaitwa Upendo)

Kuna dini zingine Mungu wao amewaambia kuwa wanajukumu la kumsaidia kutoa haki hata kama siku ya hukumu haijawadia.
Hakuna dini Mungu anasaidiwa.
Ila kama hakuna mizani ya kumuadabisha mtu anapokosea basi mizani ya haki na ustaarabu haiwezi kuwepo katika jamii husika.
 
Kaka shida ninyi mnapenda ufia dini utawalemaza.
Hata sisi waislam tunawakubali wayahudi ila sio hao wayahudi wasasa wazayuni.
Hao wazayuni wanatamka wazi Israel hawana fungamano na yesu wala ukristo.
Kuna video kibao zinarushwa ila huwa hamfuatilii habari.
Nimemaliza mjadala na wewe kwaheri.
Sio hawana fungamano na yesu kristo wanaamin hajaja bado
 
Back
Top Bottom