Mm nilidhani naongea na mtu mwenye akili kumbe aongea na kilaza?
Mpinzani gani huyo anaye amini kuwa Wayahudi wana takiwa kuuawa wote ?
Kwanza una elimu gani nisiwe naongea na tahira hapa ?,labda ngoja nikupe elimu kidogo ikusaisidie kutoa ujinga ulio jaa kichwani mwako.
Kwanza kuna vitu vitatu ambavyo ww kwa akili zako za kirokole unadhani ni kitu kimoja hali ya kuwa ni vitu tofauti na havina uhusiano wowote navyo ni, taifa la Israeli,watu wenye asili ya Uyahudi, na dini ya kiyahudi hivi ni vitu vitatu tofauti kabisa.
Si kila raia wa Israel ni myahudi, wala si kila myahudi ni raia wa Israel ,na si kila myahudi ana amini kwenye dini ya kiyahudi.
Hamas wanapigana na taifa la Israel sio Wayahudi hicho ndo unacho takiwa kujua.