Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Kama kupunguza majeshi Gaza ndio kuacha Vita.

Kwanini idadi ya vifo inaendelea kuzidi huko ktk ukanda wa GAZA?

Leo wameingia KHAN YOUNIS wanaendelea kukinukisha.
Khan younis washauliwa wanajeshibwa IDF 6 mpaka sasa na Hamas wanajibu mashambulizi.
Kama bajeti imeanza kukata kwa Israel hivi hujui kama itawawia ngumu kuendesha vita kama mwanzo?
Vifo vinavyoongezeka ni vya raia sio vya hamas kijana mdogo.
 
Umemaliza au bado unaongea?
Hadi sasa hivi, Jeshi la Israel linamiliki zaidi ya 85% ya Gaza,jeshi la Israel Tayari limejua walipofichwa mateka,wapo chini ya mahandaki,na magaidi ya HAMAS yametishia kuwaua wote endapo nguvu itatumika kuwaokoa.
Kwa sasa jeshi Takatifu la Israel lipo Al Yunus baada ya kuwaua HAMAS Gaza kama mbu,Iran aliyekuwa kawatuma HAMAS na wewe ulikuwa ukishinda humu kumshangilia,kaufyata mkia, Wapalestina wamekufa kama inzi kwa upumbavu wao wa kuyahifadhi magaidi ya HAMAS.
Tunaua nyoka wa HAMAS na mashimo yao tunayachoma moto na kuyafukia,kwa hiyo basi yoyote aliyemo ndani ya mashimo ya nyoka wa HAMAS lazima afe.
Hiyo %85 imetoka wapi hali yakuwa Israel imeanza kupoteza hata udhibiti wa maeneo ambayo alikuwa amesha yateka hapo mwanzo hasa huko gaza kaskazini?

Huko kusini Majeshi ya Israel mpaka sasa yameshindwa kupenya na kuingia katikati ya mji wa Khan yunus baada ya kuona ngoma ngumu jana wamejaribu kupita Magharibi mwa gaza na penyewe wakapewa kichapo na kurudishwa nyuma.

Kubalini hilo jeshi lenu teule ni takataka.
 
Huwenda kiingereza hujui.
Hapo ni makubaliano ya usitishwaji vita hayo makubaliano hajamshawishi Israel.
Usijifanye unafaamu english. yeyote aliye pendekeza TRUCE ndiye mwenye kutaka kusitishwa kwa vita.

Netanyahu kasema ngoma inaweza kutoboa hadi 2025.
 
Unaona sasa ulivyo kua mpumbavu? Vitoto kama wewe vinafikiri matatizo ya Israel na Palestina yameanza october 7

Mchukue mumeo nenda kwa Papa mkabarikiwe coz Papa ameruhusu,hii mada ni kubwa kuliko uwezo wako wa akili.
Bila matusi huwezagi kujenga hoja
Usitumie nguvu kubwa sana kwa vitu visivyokua na impact ya moja kwa moja kwako

Israel ina wabunge mpaka warabu na kuna warabu waislamu wana-uraia wa israeli
 
Hilo unaloleta kama madai Israel wameshindwa kuthibitisha madai.
Maana kwa hao raia waliowaua hakuna hamas au silaha yake iliopatikana.
Hamas wapo Northern Gaza IDF inapiga central na South kutafuta nini?
Mkuu Hamas ni idealogy yoyote palestine nii hamas ndio maana wanapewa support na moja ya mbinu ni kupiga na kukimbilia kwa raia
 
Pia kumbuka Israel anatumia hunger kama weapon of war hivyo lazima Hamas awe mpole kwaajili ya raiavwa Gaza.

Kwenye vita hakuchagui silaha.

KWanini ungoje adui yako ashibe ili mpigane vizuri? hapana apigane ivyo ivyo akiwa na njaa maana vita aliitaka yeye.
 
Lengo la Israel sio "KUIWEZA HAMAS"

Wanafahamu kabisa kuwa HAMAS ni IDEALOGY.

Kimsingi wanalenga zaidi KU_MAKE STATEMENT.

Baada ya mauaji na uharibifu wanao ufanya GAZA sidhani kama patatokea na Oktoba 7 nyingineyo.

They instill FEAR of whats to come if you JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala with them again.
Jeshi linalo tegemea mbinu unayo isema ww basi hilo halina sifa ya kuitwa jeshi bali ni kikundi cha wahuni.
 
Usikimbilie matusi.

Tumia hoja kama kweli una hoja.

Mafala ni wale wanao unga mkono wabakaji na wauaji walio vamia nchi ya watu oktoba 7 kwa kisingizio kuwa ni wapigania uhuru.
Unaonekana mtoto sana kuhusu huu mzozo.
Hivi unajua kuwa unayosemea hayo yalikosa ushahidi kuwa Hamas walifanya ubakaji??
Israel aliambiwa na ICC alete ushahidi alikosa ushahidi.
Pia kabla ya October 7 unajua Israel waliwafanyia nini wapalestina??
Unajua kama kila mwaka Israel hukamata watoto wa kipalestina chini ya miaka 14 na kuwafunga pasi na sababu maalum??
Hujui mengi kijana
 
Punguza mihemko na jazba na ufikirie kwa makini kabla ya kuhemka na kuandika kwa kuwawazia magaidi.
Jiulize Hamas pamoja na kusaidiwa na magaidi wenzao wahuth, hizballa wao wamewafanya nini Waisrael.
Wamekufa watoto wa magaidi wangapi? Wake zao wangapi? Dada zao wangapi, wazazi wao wangapi?
Kwa taarifa yako Israel inatambua wote waliopo gaza ni magaidi na ndio maana wanawaua bila kujali umuri wala jinsia. Wao wameua Waisrael wangapi?
Nchi za wafia dini mnaongozwa na jazba ndio maana mkigonganishwa vichwa mnauana wenyewe kwa wenyewe na kubakiza nchi zenu magofu, angalia Syria, Iraq, Afghanistan, Libya, nk hazitokuja kusimama kamwe.
Kuna mpuuzi anapanga kuja kukupinga ktk hili.
 
Huwenda kiingereza hujui.
Hapo ni makubaliano ya usitishwaji vita hayo makubaliano hajamshawishi Israel.
Pia kumbuka Israel anatumia hunger kama weapon of war hivyo lazima Hamas awe mpole kwaajili ya raiavwa Gaza.
Huwezi mchagulia adui yako silaa hayo yatakua maigizo mara hunger weapon of war sasa ulitaka atumie nini
 
Kwenye vita hakuchagui silaha.

KWanini ungoje adui yako ashibe ili mpigane vizuri? hapana apigane ivyo ivyo akiwa na njaa maana vita aliitaka yeye.
Una uhakika mzozo ulianza 2023 October??
😂😂😂😂😂Mbona unachekesha kijana?
Unazuia raia wasipate vyakula kwa kosa gani???
Hamas hawana shida ila raia wamelipuliwa vyanzo vya maji,wamelipuliwa maghala ya chakula na bado wamezuiliwa kupata msaada wa vyakula.
 
Bila matusi huwezagi kujenga hoja
Usitumie nguvu kubwa sana kwa vitu visivyokua na impact ya moja kwa moja kwako

Israel ina wabunge mpaka warabu na kuna warabu waislamu wana-uraia wa israeli
Kwahiyo wewe hapa ndio umejenga hoja? Huyo mpumbavu hujaona kua kaingiza issue ya udini? Au umeamua tu kujizima data? Au ndio double standard?
 
Punguza mihemko na jazba na ufikirie kwa makini kabla ya kuhemka na kuandika kwa kuwawazia magaidi.
Jiulize Hamas pamoja na kusaidiwa na magaidi wenzao wahuth, hizballa wao wamewafanya nini Waisrael.
Wamekufa watoto wa magaidi wangapi? Wake zao wangapi? Dada zao wangapi, wazazi wao wangapi?
Kwa taarifa yako Israel inatambua wote waliopo gaza ni magaidi na ndio maana wanawaua bila kujali umuri wala jinsia. Wao wameua Waisrael wangapi?
Nchi za wafia dini mnaongozwa na jazba ndio maana mkigonganishwa vichwa mnauana wenyewe kwa wenyewe na kubakiza nchi zenu magofu, angalia Syria, Iraq, Afghanistan, Libya, nk hazitokuja kusimama kamwe.
Sasa ww mbona ndo umeongea kwa jaziba na mihemko?
 
Unajua maana halisi ya gaidi??
Una uhakika gani kama walioko Gaza wote magaidi?
Unajua sababu za Hamas kuivamia Israel??
Unaonekana kama mtoto uandikaji wako pia huna point ya maana ya kuandika .
Kaa ujifunze.
 
Niliwaambia tokea mwanzo kuwa Israel hawaiwezi Hamas kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuifuta Hamas jee wamefanikiwa?

Malengo yalikua ni kuiteka Gaza yote kwa muda wa wiki tatu tu kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuweka utawala wao Gaza na kuwafurusha wapalestina wote jee wamefikia malengo?

Malengo yalikua ni kuwaokoa mateka?Hakuna hata mateka mmoja ameokolewa!! Na wanajiita jeshi bora

Kama intelijensia ya Mossad imefeli kwenye eneo la Gaza lenye Size ya Kigamboni jee wataziweza nchi nyingine?

Unajua inashangaza sana, ajabu kweli Kweli jeshi linalopewa kila kitu kupigwa na Hamas ambao wanatumia silaha dhaifu??

Gaza ambayo imekua chini ya ukaguzi na mzingiro mkali wa Israel 24 hrs 7 days kwa miaka 17 sasa kuanzia angani hadi ardhini wameshindwa kabisa kumuokoa hata mateka mmoja?

Walichofanikiwa ni kuuua raia tu makambini na kulipua mahosptali
yoyote anayeidharau na kuipuuza israel na wayahudi ( taifa teule ) la Mungu hana akili na huenda akawa anaugua uwendawazimu bila ya yeye kujua au kujijua

long live israel, jews and hebrews
 
Israel kitu kikubwa ilichofanikiwa ni kuuwa watoto wachanga, kuuwa kina mama na wazee, pamoja na kulipua makaburi tu basi.

Mengine yote ya msingi yaliowapeleka Gaza wameyashindwa. Kuna namna Marekani iache kuwasaidia silaha hawa wajinga, maana hawajui namna ya kuzitumia.
 
yoyote anayeidharau na kuipuuza israel na wayahudi ( taifa teule ) la Mungu hana akili na huenda akawa anaugua uwendawazimu bila ya yeye kujua au kujijua

long live israel, jews and hebrews
Ni taifa la Mungu yupi? Yule waliyemuua? Unaandika vitu ambavyo hata huvielewi, Judaism haikubaliani na ukristo au hata hilo hulijui pia?
 
yoyote anayeidharau na kuipuuza israel na wayahudi ( taifa teule ) la Mungu hana akili na huenda akawa anaugua uwendawazimu bila ya yeye kujua au kujijua

long live israel, jews and hebrews
Israel unayoisemea imeshambulia kanisa september 2023 na wanasema hawamtambui Yesu.
Pia mzozo wa Middle east sio wa kidini.
Occupied East jerusalem kila leo makanisa yanavunjwa kupisha ujenzi wa masinagogi na kupanua makazi ya Israel settlers.
Udini ukiuendekeza utakutoa akili.
 
Unaonekana mtoto sana kuhusu huu mzozo.
Hivi unajua kuwa unayosemea hayo yalikosa ushahidi kuwa Hamas walifanya ubakaji??
Israel aliambiwa na ICC alete ushahidi alikosa ushahidi.
Ulitaka Israel wawapige picha za sehemu za wahanga waliofanyiwa vitendo vya ubakaji ili wakaprove statement huko ICJ?

Israel wamekwisha waka-categorize hamas kuwa ni magaidi tu. ICJ wakubali au wasikubali.

By the way hao Israel wala hawahofii chochote kuhusu ICJ kwasababu sheria zao haziwezi kuwakaba koo.

Kwani proceeding za case zinaendeleaje hivi sasa?
 
Back
Top Bottom