Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Poa basi jioniMie ndio naingia kulala sasa 😂😂😂😂
Poa basi jioniMie ndio naingia kulala sasa 😂😂😂😂
Poa basi jioni
GPA za MUHAS ni kipengele sana mkuu... mfumo wao ni tofauti sana na UDSM.Nilikuwa Muhimbili, kozi naomba iwe confidential.
Umande wa miaka 4 nimeukanyaga haswa hapo MUHAS
Kubwa sana hiyo, tulio na ndogo tumechafua sana Uzi hapaTulio na 3.4 tunaruhusiwa kuchangia
Ahsante sana mkuu.GPA za MUHAS ni kipengele sana mkuu... mfumo wao ni tofauti sana na UDSM.
Hongera hata kwa kumaliza hiyo miaka mi4
Sijawahi kuona faida ya elimu zaidi ya kuwa wavivu na kukwepa baadhi ya kazi
Huku wenzetu wakipiga kila aina ya kazi na kupiga pesa ndefu..
Tunapoteza muda halafu tukirudi mtaani tunakuta mambo tofauti.
Binafsi nina vyeti vya kila aina one form4, form 6, 3.9 GPA udsm na
Masters of finance nje ya nchi but all in all sioni faida zaidi ya kupoteza muda tu maana maisha ni Yale Yale tu na wale waliomaliza darasa 7.
Uko kundi moja na wenye 2.6. Una daraja la chini la ufaulu subiria uzi wenu unakuja.Tulio na 3.4 tunaruhusiwa kuchangia
Moderator wenye GPA kali tunabughuziwa humuNdio maana huna akili
Kusaidiwa na ufaulu uliopata inategemeana na malengo yako!Kwa nini ulifaulu hivyo?Lengo lako lilikuwa nini?Kuna wengine walifaulu hivyo lengo lao likiwa ni kuhifadhi ushahidi tu kwa familia zao na watoto zaoHeshima yenu wakuu..
Tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively. Je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPA ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
Hahahah shule ya niliyosoma Mimi tulikuwa 290 hivi nafasi zangu Ni 30 Hadi 40 Kati ya hio idadi Ila one nilipiga[emoji1787]kha! No 3 tena jamani ? wengine madarasa yetu yalikuwa na watu 400, ukiwa hata wa hamsa unapeleka na report home kifua mbele.. ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi [emoji31][emoji31][emoji31]
Nilifanikiwa kupata GPA ya 4.2 kwenye degree ya elimu. Kilichonisaidia hasa kupata ufaulu huo kiukweli ni jumla ya mambo mengi ukizingitia kila mwalimu alikuwa na philosophy yake ya namna ya kufundisha na kutunga maswali, ilinipasa kuwa flexible ili kuweza kuwa na ufaulu nzuri kwa almost kila course.
Kimsingi suala la GPA kukusaidia ama kutokukusaidia katika fursa za ajira ni complex sana, Leo unaweza ona Kama GPA yako haina maana lakin itatokea siku ikaja kukusaidia, ni suala la muda tu.
Kuna sehemu ambazo bila GPA kubwa huwezi fanya kazi kama kuwa lecturer chuoni, mtafiti, kufundishia shule za private zenye sifa kubwa n.k.
Cha msingi ukubwa wa GPA inabidi uendane uwezo wako kutatua changamoto fulani, Kama una GPA kubwa basi hii inamaanisha lazima uwe smart upstairs.
Mara nyingi huwa nawaza tofauti na watu wengine, always naamini kama mimi nina ufaulu mkubwa basi nahitajika kubuni kitu ambacho kinaweza kunikwamua kimaisha na naweza kukiita ni mafanikio mbali na kutegemea kuajiriwa.
Ni suala la muda tu naamini ninaloliwaza litatimia kwa uwezo wake Muumba
Overrated sana? Kivipi?GPA ni overrated sana labda kwy kada ya ualimu