Tulipopata GPA za upper second class and above tukutane hapa

Sijawahi kuona faida ya elimu zaidi ya kuwa wavivu na kukwepa baadhi ya kazi

Huku wenzetu wakipiga kila aina ya kazi na kupiga pesa ndefu..

Tunapoteza muda halafu tukirudi mtaani tunakuta mambo tofauti.

Binafsi nina vyeti vya kila aina one form4, form 6, 3.9 GPA udsm na

Masters of finance nje ya nchi but all in all sioni faida zaidi ya kupoteza muda tu maana maisha ni Yale Yale tu na wale waliomaliza darasa 7.
 
Heshima yenu wakuu.. tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively.. je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki??? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?

Binafsi nilipata GPS ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.

Karibuni wadau.
Mbona GPS?
 
Mradi wote tunapumua mkuu..na tun afya mengine haya mbwembwe tu...! Mie chuo sikua nakaa class kbs🤣🤣 full kuswampa kariakoo na posta..dah...those days
Mitaa ya kublatain nini, enzi na mie nipo chuo ilikuwa mitaa yangu ya kwenda kula ma msosi kule kublatain na ulojo, ila darasani ni miswaki tu.. nayakumbuka sana maisha ya posta upanga.. sie badala kusoma tunaenda Jolie club au bils enzi hizo.. ila ndio maana nimeishia kupata 2.5 tena ya huruma za ma lecture, nilikuwa natia huruma sanaaa.. 😥😥😥😥... ila wewe kichwa sanaa.. inabidi nikutafute unipe kazi haiwezekani usiwepo kitengo wakati tupe cheap labour hapa 😟
 
Heshima yenu wakuu.. tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively.. je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki??? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?

Binafsi nilipata GPS ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.

Karibuni wadau.
Wenye Gentleman tunacomment wapi?.
 
Mm sina ajira mzee baba ..! Nasubiri niolewe tu nipate kusitirika...! Hahaha joly club enzi hizo na club bils! Na sitamani ajira
 
Architecture? Its either hauko serious au umeamua kuleta mada kufurahisha genge au vyote kwa pamoja.
 
Mm sina ajira mzee baba ..! Nasubiri niolewe tu nipate kusitirika...! Hahaha joly club enzi hizo na club bils! Na sitamani ajira
Aaah! Bills kitambo hicho ya moto.. hapo Joly palikuwa pamenoga, mala moja moja home wakituma vi hela baada ya kuwadanganya umeibiwa laptop, safety booty na overkoti, unadumbukia Las Vegas pale.. 😟😟😟😟.. kweli kutesa kwa zamu .. Utatamani vipi ajira wakati unaweza ku create ajira.. 😎😎.. nipe chaka bwanaa weeee huku njaaa kitaaa si unajua 2.5 hata wanaitenga trancrip imejaaa makalai tu 😂😂😂😂😂
 
Hahahaha maisha ya las vegas dah long tym kinoma!msubiri Mama la mama Samia ajira zimeanza kutoka mkuu...
 
Umesema school of architecture.kozi gani hiyo
Wakati tuko Ardhi University 2009 - 2014, kulikua na Schools.. yani kama faculty nadhani.. yakewetu ilikua inaitwa school of Architecture and Design (SADE) enzi hizo (nimesikia sasa mambo yamebadilika)...na bachelors degree inaitwa BACHELOR OF ARCHITECTURE.
 
Mademu wa dar tech wachovuu kama wa SUA😀😀! Sijui siku hizi...! Lazima ucheke...
Ila walikuwaga wachache sana, ilikuwa inatulazimu kuwaona wazuri tu hata mama wabaya, maana wa CBE na IFM walikuwa wanajiona sanaaaa... kuna mmoja wa CBE nilimtoaga out, nimenlewesha kinoma, akaja jamaa akamchukua alafu demu akajidai ananikataaa .. nikaondoka kwa uchungu sana.. next day demu ananiambia yule ni kaka yake 😂😂😂😂
 
Heshima yenu wakuu.. tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively.. je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki??? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?

Binafsi nilipata GPS ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.

Karibuni wadau.
Kuanzia mtoa uzi mbaka na baadhi ya wachangiaji ninamashaka na hivyo vyuo vyenu vilivyowatunuku hizo GPA.
 
Back
Top Bottom