Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Wangari Maathai .. naona jf umeanza unyanyapaa kwa sie ambao elimu zetu za mashaka mashaka dah!
Hahhahaa mm haina mashaka mkuu...haina kbsWangari Maathai .. naona jf umeanza unyanyapaa kwa sie ambao elimu zetu za mashaka mashaka dah!
Karibu sana mjumbe mwalikwaNawatakia mkutano wenye mafanikio.
😓😓 Basi nimebaki mie mwenyewe na 2.5 yangu.. acha niwatazame wasomi ..Hahhahaa mm haina mashaka mkuu...haina kbs
Hapana usikatize tusikilize kiyoyozi cha kileleni kama kitamu au lahaya na sie wenye 2.5 acha tukatize zetuu
hapa mmeitana maguru tu, mlianza kutunyanyapaa kule kwenye one, sasa mmekuja kwenye GPA .. poa bana yote maisha 😓Hapana usikatize tusikilize kiyoyozi cha kileleni kama kitamu au la
Wenye lower second tunacomment wapi,Au sis tuendelee na hustle kitaa ,Ila maisha hayana formula aiseeHeshima yenu wakuu.. tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively.. je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki??? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPS ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
Halafu tunagongea jero ya maji kwenu.hapa mmeitana maguru tu, mlianza kutunyanyapaa kule kwenye one, sasa mmekuja kwenye GPA .. poa bana yote maisha [emoji29]
Hawa jamaa wabaguzi sanaaa.. nahisi wanatamani hata wanatamani wawe na foruma yao ya wenye one na second uperHoly Man leo umewakosea nini hawa?
hapa hatutakiwi tunajipendekeza tu, na ndio tuna dhihirisha na ukilaza wetu wa kutofata maelekezo 😀😀😀Wenye lower second tunacomment wapi,Au sis tuendelee na hustle kitaa ,Ila maisha hayana formula aisee
Inawezekana ....maana nimeona humu had elimu ya awali wanavimba...hahaa....sijawah fika no 3!😓😓 Basi nimebaki mie mwenyewe na 2.5 yangu.. acha niwatazame wasomi ..
kha! No 3 tena jamani ? wengine madarasa yetu yalikuwa na watu 400, ukiwa hata wa hamsa unapeleka na report home kifua mbele.. ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi 😫😫😫Inawezekana ....maana nimeona humu had elimu ya awali wanavimba...hahaa....sijawah fika no 3!
Hahhahaa...mie nimeshikaga nafasu ya 3 niliugua pumu toka feb...may nikarudi shule nikashika namba3!kha! No 3 tena jamani ? wengine madarasa yetu yalikuwa na watu 400, ukiwa hata wa hamsa unapeleka na report home kifua mbele.. ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi 😫😫😫
Una akili sana mkuu.. from home to namba 3.. mie hata sijui yani sikumbuki ila nacho jua sijawahi shika hata nafasi ya 100.. chuo penyewe ndio nilikuwa naongoza kwa suplementary kila semester nilikuwa naondoka sup zangu nne hadi tano.. nikirudi sepeter conference na kitita cha sup 😣😣😣😣.. ila Mungu haya acha aitwe MunguHahhahaa...mie nimeshikaga nafasu ya 3 niliugua pumu toka feb...may nikarudi shule nikashika namba3!
Mitihani ya mock nilikua napata 148 out of 150! Sijui nyie ss hv masomo yenu inakuwaje .ila sisi tulikua na masomo jumla ma3..kila somo 50mrks...walikua wanayeweka hivyo...secondary nilikua mzuri sana wa hesabu n the like ila bookkeeping naondoka na D! arghh sijui tu!
Nishazeeka hata sielewi tena nawaza tu hela mm hapa
Mradi wote tunapumua mkuu..na tun afya mengine haya mbwembwe tu...! Mie chuo sikua nakaa class kbs🤣🤣 full kuswampa kariakoo na posta..dah...those daysUna akili sana mkuu.. from home to namba 3.. mie hata sijui yani sikumbuki ila nacho jua sijawahi shika hata nafasi ya 100.. chuo penyewe ndio nilikuwa naongoza kwa suplementary kila semester nilikuwa naondoka sup zangu nne hadi tano.. nikirudi sepeter conference na kitita cha sup 😣😣😣😣.. ila Mungu haya acha aitwe Mungu