Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Ukisikia bahati ndo mimi sasa nna bahati!karibu sana my future husband!..🥰🥰Hahaha,imeisha hiyo mchumba.kesho mapema sana nawaleta ukweni.
Ukisikia bahati ndo mimi sasa nna bahati!karibu sana my future husband!..🥰🥰Hahaha,imeisha hiyo mchumba.kesho mapema sana nawaleta ukweni.
Ukisikia bahati ndo mimi sasa nna bahati!karibu sana my future husband!..[emoji3059][emoji3059]
Ukoo mzima watahamia kwetu my babe!Sawa my future wife wangu[emoji7]
Ila dada yangu leo nimejikuta nacheka sana kukuta huu uzi wa wenye GPA kali wakutane. Ukiukwepa huu uzi wa GPA unakutana na ule wa ONE... yaani moto kotekote. Yaani ni full kubaguana. Ila fresh inachangamsha... mimi kwenye ofisi yangu kuna dogo aliyemaliza la saba kwa mbinde huwa yuko vizuri kwenye majukumu yake hadi marafiki zangu huwa wanampa kazi za part time. Na kuna rafiki yangu yuko tayari amwachishe kijana mwenye degree kazi ampe huyo dogo.Mm sina ajira mzee baba ..! Nasubiri niolewe tu nipate kusitirika...! Hahaha joly club enzi hizo na club bils! Na sitamani ajira
Ukoo mzima watahamia kwetu my babe!
Tunalo ss ambao hatukupasua!mradi pumzi tu!Ila dada yangu leo nimejikuta nacheka sana kukuta huu uzi wa wenye GPA kali wakutane. Ukiukwepa huu uzi wa GPA unakutana na ule wa ONE... yaani moto kotekote. Yaani ni full kubaguana. Ila fresh inachangamsha... mimi kwenye ofisi yangu kuna dogo aliyemaliza la saba kwa mbinde huwa yuko vizuri kwenye majukumu yake hadi marafiki zangu huwa wanampa kazi za part time. Na kuna rafiki yangu yuko tayari amwachishe kijana mwenye degree kazi ampe huyo dogo.
Hahahahhaaa nytsSio ukoo tu babe,hadi huu uzi tunahama nao [emoji38][emoji38][emoji38]
Naona umeninyima kitengo mkuu 😎😎..Achana kbs na mademu wa cbe na ifm..watamu sana!ila alikudharau sana aise🤣! Hahahaaa...tafuta hela wewe!
Utazikumbuka pale tu utakapohitaji kusoma postgraduate, ndo utakapojuwa kumbe GPA zina umuhimu wakekitengo cha ofisi nilichomo kuna gpa aina zote ila mishahara na vyeo tunalingana, mkuu wa kitengo ana lower second.
pia Kuna watu wenye waluosoma nje na gpa ni nzuri ila wanaripoti kwangu na kuna watu wana gpa za ajabu [emoji16] naripoti kwao ndio supervisors wangu.
huku makazini mpango mzima ni mishahara, posho, kuoandishwa vyeo, n.k hizo gpa tupa kule [emoji706][emoji706]
Njoo tuandae mashamba nxt yr tulime sisal..toa upuuz wa kuajiriwa dogoNaona umeninyima kitengo mkuu 😎😎..
CV yangu ukisikia shavu nipe mwanaa..
Masters : Status: Pending.. 😺😺.. Nifanyie mishe tu..
- Bacher of Eng in Electrical Engineering
- Bacherol of science in informationTechnology
- Ordinary Diploma in Mechanical Engineering
NB: zote GPA utopolo yaani jamani 👴👴👴
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Gpa haikusaidii kutafuta kaz, inakupa kujiamin kutafuta kazi.Heshima yenu wakuu.. tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively.. je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki??? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPS ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
Hayo mashamba tuandalie wapi mkuu wangu 👴👴👴 na mazao gani 😎😎.Njoo tuandae mashamba nxt yr tulime sisal..toa upuuz wa kuajiriwa dogo
Sisal~kataniHayo mashamba tuandalie wapi mkuu wangu 👴👴👴 na mazao gani 😎😎.
nakuja PM tuyajenge basiSisal~katani
Nadhani wanajaribu kuchalengi kwani wengi wanaopata GPA nzuri mtaani wanachemka sanaAsilimia kubwa wanaponda gpa au shule kuwa hazina msaada kimaisha...Je watoto wenu wako shule au wako nyumbani???
Ntakujia mm later...ndo naamka ati🤭nakuja PM tuyajenge basi
Mie ndio naingia kulala sasa 😂😂😂😂Ntakujia mm later...ndo naamka ati🤭