Tulipopata GPA za upper second class and above tukutane hapa

Nilifanikiwa kupata GPA ya 4.2 kwenye degree ya elimu. Kilichonisaidia hasa kupata ufaulu huo kiukweli ni jumla ya mambo mengi ukizingitia kila mwalimu alikuwa na philosophy yake ya namna ya kufundisha na kutunga maswali, ilinipasa kuwa flexible ili kuweza kuwa na ufaulu nzuri kwa almost kila course.
Hongera sana kaka
 
GPA ni overrated sana labda kwy kada ya ualimu

Simply useless kwy kada tofauti na accademic! In fact ni asilimia ndogo sana tunayosoma chuo tunayafanyia kazi on daily basis kwy procedure ni tofauti sana na mambo ya shule! Mfn hesabu km integration,differention,cycle,geometric nk was simply time westing! TZ inatumia curriculum za hovyo sana! Mfumo wetu unahitaji reform kubwa sana
 
GPA kubwa inaweza isikusaidie sana kupata unachotaka, lakini ikakusaidia kupata ulichostahili. Kwasababu inaweza kukufanya uwe na ujasiri endapo tu uliipata kwa halali. Ila kama ni ya magumashi hapo lazima uone haina faida.
Well said...
 
Heshima yenu wakuu..

Tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively. Je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?

Binafsi nilipata GPA ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.

Karibuni wadau.
4.3 GPA HAPA
 
Nimemaliza hapo hapo, course hiyo hiyo , GPA. 4.2 ; na sasa ni Tycoon mjini, sifanyi nilichosomea , labda kwa 10% tu.
 
Miaka ile yetu kuna kozi hata kama mtu alifanikiwa ku- graduate kwa GPA ya karai binafsi nilikuwa nampigia salute!
 
GPA kubwa inaweza isikusaidie sana kupata unachotaka, lakini ikakusaidia kupata ulichostahili. Kwasababu inaweza kukufanya uwe na ujasiri endapo tu uliipata kwa halali. Ila kama ni ya magumashi hapo lazima uone haina faida.
wengi inawagalimu kwasababu wanakua arrogant makazini mwishowe wanaishia kuwa fix mfumo hautaki GPA kubwa
 
Back
Top Bottom