DASM
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,400
- 2,942
GPA ni kigezo mojawapo . Kwahiyo at least unakuepo umekidhi hicho kigezo kimojaNa mpaka uitwe kwenye hiyo interview unadhani wanachuja kwa vigezo gani?
GPA ni kigezo mojawapo . Kwahiyo at least unakuepo umekidhi hicho kigezo kimojaNa mpaka uitwe kwenye hiyo interview unadhani wanachuja kwa vigezo gani?
Nilipata GPA ya 4.2 dip, 4.4 bachelor na masters 4.2
Upande mmoja najutia,
ila nikikaa nikatulia nikatafakari kwa makini kabla ya hapo najikuta sijutii kabisa.
Dahh kumbe una masters.Nilipata GPA ya 4.2 dip, 4.4 bachelor na masters 4.2
Upande mmoja najutia,
ila nikikaa nikatulia nikatafakari kwa makini kabla ya hapo najikuta sijutii kabisa.
Tungoje jamaa hawa wakimaliza.
Hakuna nilichoharibu, labda kama hujaelewa maana ya "kukosa kazi"Hapa ndo ulioharibu.
Umetia juisi yako mavi
Ni ujinga tu ndiyo unaojadiliwa.Hahahahaha mmetoka kwenye divisheni mmeingia kwenye GPA
Ndio maana huna akiliWenye GPA za 4.3 gonga like hapa.
Heshima yenu wakuu.. tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively.. je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki??? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPS ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
Mm sina ajira mzee baba ..! Nasubiri niolewe tu nipate kusitirika...! Hahaha joly club enzi hizo na club bils! Na sitamani ajira

Nilipata ya 3 lakini imenisaidiaHeshima yenu wakuu.. tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively.. je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki??? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPS ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
🤣🤣🤣Ndio maana huna akili
Kuku tu 3 matetea🥰🥰Nilete Ng'ombe ngapi madam?![]()
Weak!!! SmhNdio ujue hapo kuna shida, taasisi kubwa kama ARU haiwezi kutoa GPA kubwa kama hiyo tena kwa kozi kubwa kama hiyo kwa mtu ambaye yuko very week..
Kuku tu 3 matetea![]()