Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,240
- 1,478
Heshima yenu wakuu..
Tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively. Je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPA ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.