Mm ndio mwalimu wao job hao wenye GPA kubwa[emoji123],kila kitu wanauliza,hata cha kujiongeza tu utaulizwa,"flani hapa tunafanyaje,ikiwa hv inakuaje n.k na hapo tumeajiriwa mwaka mmoja[emoji85]
Kwa vyuo vyetu TZ na utoaji wa elimu vyuoni ulivyo, kuna mazingira huwa nakosa connection ya gpa vs utendaji kazi/maarifa ya mwenye hiyo gpa kubwa...
Gpa pia hutegemea umesoma chuo gani,kuna vyuo vinagawa hizo gpa kama njugu(no ku-fail kwenye mitihani,no sup,no carry over kwa wanafunzi,hata kama watakuwepo wanahesabika,haswa private institutions mf. vyuo vya kidini...