Tuliozaliwa March 21-April 20(Aries)

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375
Aries..Punda...Kondoo
Wataalamu wa nyota(astrology &horoscope) mnatudefine vipi...
Born on 16th April na haka ka teen lulu nako eti on 17th April..inanitisha
 
Ukiisha kuwa na nyota ya punda,we utakua wa matatzo tu,c unaona hata huyo malaya wenu lulu yaliyomkuta?
 
Inkoskaz habari yako?? Bahati mbaya sina mchango wowote hapa.... Nimevutiwa na kutochoka kwako kuruka.
 
Hivi wakuu huwa mnategemea hii miongozo ya nyota kwenye maisha yenu?
Nijuzeni tu...
 
Hatuitegemei..lakini ina kitu ndani yake...
Hata mungu unamuamini lakini humjui na peponi au jehanam ni kusadikika
 
Si kweli, huwezi kusema kuwa hatumjui Mungu, au kuwa ni wa kusadikika. Hebu tuache hayo, kimsingi haya masuala ya nyota ni ushirikina, ila kwa vile ni wa Mashariki ya Kati na Ulaya, unakuta hata wasomi wanayakumbatia, wasomi hao hao ambao hawataki kusikia kitu kuhusu ushirikina wa Kiafrika.
Leo nikipost humu kuwa nimerogwa, utaona mwitikio wa wasomi, watajifanya hawana habari na hayo mambo ingawa mambo ya astronomies za ki-Sheikh Yahya hazina tatizo kwao na wako positive nazo.
Haya yote ni mazao ya yule mwovu (kama unaiamini BIBLIA), na ni machukizo kwa Mungu hivyo hatutakiwi kuyakumbatia kwa afya yetu ya kiroho.
Sawasawa?
 
nimesema hatuyafuti but kuna siri behind.....
Kumbuka alipozaliwa kristo mamajus walifuata nyota!
Waislam wanafunga na kufungua wakifuata mwandamo wa mwezi!
Kuna watu uchizi unawapanda mwezi ukiwa mchanga!
 
Positive. . .
Adventurous and energetic
Pioneering and courageous
Enthusiastic and confident
Dynamic and quick-witted

Negative. . .
Selfish and quick-tempered
Impulsive and impatient
Foolhardy and daredevil
 
Back
Top Bottom