Bora hata angekuwa Farasi.
hivi tulozaliwa tar 32/13 tuko nyota gani??
Hopefuly...
nimesema hatuyafuti but kuna siri behind.....
Kumbuka alipozaliwa kristo mamajus walifuata nyota!
Waislam wanafunga na kufungua wakifuata mwandamo wa mwezi!
Kuna watu uchizi unawapanda mwezi ukiwa mchanga!
nyota yako inaitwa mapanga.......
Kila kilichomo duniani kimeandikwa katika maandiko matakatifu(quran & bible)uko sahihi mkuu. Haohao waliotuletea hadith za kina J na M walikuwa wanafahamu na hii elimu nyingine pia. Ndiyo maana kwa huo mfano wako wa nyota kila kitu kinaeleweka. Ila kwa vile kila mtu na mawazo yake, watakataa baadhi.