KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,510
- 88,975
Hicho ndicho sikiwezi mdomo ni kwaajili ya kula,kuongea na kubusu sometimes unapozidiwa unautumia kama siraha.. mtu kakutia kabali moja matata na umefanya mbinu za kutoka umeshindwa then ki mkono chake kimeukaribia mdomo au wale wanaopiga kabali anakuweka nyuma ya mgongo wake! Hapo ndo utajua meno pia ni muokozi wa maisha yako😂😅[emoji23][emoji23][emoji23] moja ya part ya kwenye kwich kwich.
It pays off
Sent using Jamii Forums mobile app
Salute kwa meno ni mtetezi muaminifu..👍