Say something boss
Pele mamy una bahati ulikutana na wastaarabuKiwa na miaka kama mitatu Nliwahi potea baada ya wenzangu kushindwa kuenda sambamba nami nkaachwa nyuma wakatoweka na mitaa siijui... Nkaanza kuwatafuta kumbe naelekea kwingine kabisa nkaja tokea barabara kuu ya lami mbali kabisa hukoo...nkakaa pembeni ya kingo za barabara nalia.. Sentimita chache mbele yangu magari yanapita kwa spidi..
Bahati kuna mkaka alikua anafanya biashara pembeni akanichukua.
Nabembelezwa nyamaza mama anakuja mi nabetua kichwa huku napewa karanga.. Mamangu mwenyeqe hamjui kwenu wapi nanyoosha kidole,miaka hiyo simu anasa.nlikaa kwenye kibanda asubuhi hadi jioni
Sijui ilikuaje ghafla anaambiwa kuna mama anamtafuta mwanae..ndo ikawa pona yangu
Pele mamy una bahati ulikutana na wastaarabu
Umenikumbusha nikiwa mtoto bwana nililia kumbikumbi acha zidakwe nikaangiwe Nile, acha nianze kutapika had nikaishiwa nguvu kabisa, tangu siku hyo sipendi kumbi kumbi, kisa kingine nilikuwaga mtundu niliye kubuhu acha nitumbukie kisimani nikiwa mtoto sijui hili wala lile nikaja kuokolewa na wenzangu. Aisee kikubwa mimi nimepitia mengi na kunusurika kifo mara nyingi sana. Namshukuru Mungu dunia hii siji kuondoka had niwe mbibi na mkongojo
Niko kawaida tu mkuuunavo onyesha ni mtundu mpaka leo
Mkuu pole sana, me pia imeshawahi nitokea kitu kama yako hiyo kuumwa na tumbo siku ambayo ndugu yangu kabisa akiwa hospital anafanyiwa operation ya tumbo pia nilishangaa sana af kweli baada ya muda likaacha kuuma, ila Maumivu yalikua makali sana cku hiyo.Kuna siku niliumwa tumbo nikiwa alone nikasema leo nakufa nikawa naomba toba kimoyomoyo tena ukifkiria sku hiyo hiyo nilikua na mgonjwa ndugu yang hosp anafanyiwa operation ya tumbo.
Baada ya kumaliza kuomba nikajisemea kimoyo moyo liwalo naliwe nkapanda kitandan baada ya masaa 2 likapoa. Nilishukuru sana
Sijui kuna uhusiano gan aiseMkuu pole sana, me pia imeshawahi nitokea kitu kama yako hiyo kuumwa na tumbo siku ambayo ndugu yangu kabisa akiwa hospital anafanyiwa operation ya tumbo pia nilishangaa sana af kweli baada ya muda likaacha kuuma, ila Maumivu yalikua makali sana cku hiyo.
Niloenda hospital kutoa jino... Niligongwa sindano 3 za ganzi zote zikagoma ..jamaa wakaanza kungoa kibishi nikawaambia naskia maumivu... Wakaforce kulitoa nilipata maumivu hatar... Hayo yalikuwa cha mtoto sasa ile nafika home nilianza kuhisi maumivu ambayo hayaelezeki...(nikafungulia redio ..volume mpaka mwisho) Na utu uzima wangu wote huu nililia sana yani nilipiga kelele sana nilihisi kufa hiyo siku ..
Nilkuwa katika hii ajali mwaka jana mwezi wa 12. Niltoka bila hata mchubuko. View attachment 946027
Asante ... Sasa jino bovu tunalifanyeje maana dawa ya jino ni kulichomoa tu...[emoji848][emoji848][emoji848]Hahaaaaa pole mkuu imebidi nicheke tu jiuno huuma vibaya. Hafu kwanini haushiki ganzi. Hafu siku hizi watu hawatoi meno.
Sorry mana comment yako imenichekesha sana