Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa..

KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
3,204
Points
2,000
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
3,204 2,000
Daaah pole san.

Kumbikumbi nimewala san, nadhan usichokijua ww ni kwamba kumbikumbi hawaliwi hivihivi na ukiwala ivoivo bila chchte basi ule kdg san, ukizidisha kitakupata ulichokipata siku hiyo.

Mm binafsi kuna siku nikiwa mdg nlikuwa naumwa malaria. Bahat mbaya sikupelekwa hospitali kwa sabab ziko mbali na tulipokuw tunaishi ni kijijini san.

Asbh km kawaida wazee waliondoka kwenda shamba, mm huku nyuma nikazidiwa, nilianza kuharisha san na kutapika. Baada ya muda niliishiwa nguvu, nikaendelea kufanya vyote palepale. Mama aliporud saa sita kupika alinikuta niko hoi san, ndipo ikawa hamna namna zaid ya kupelekwa hospitali.

Mzee baba ukawa umetulia unashusha tu
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
3,990
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
3,990 2,000
Huu uzi sikumbuki Kama nilishawahi kuchangia
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
3,990
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
3,990 2,000
Mimi kaburi liliniita kabisa.
Kifo kilitaka kunimeza...

Kipindi nasoma tulikuwa na masomo ya jioni ...tukitoka saa8 mchana muda wa lunch ,tunaingia saa 10 ,,hapo kutoka saa12..
Nilikua na utararibu wa kurudi nyumbani kwenda kula chakula ili kupunguza gharama za kula shule.
Pia nyumbani ilikua karibu sana Kama dk 5 tu kwa gari nakuwa nimefika.
Kwa hiyo kwenda na kurudi nilitumia sh300.
Nikawa napumzika then saa 10 kasoro narudi shule.

Ikafika siku yangu..
Kama kawaida yangu..wakati narudi shule niligongwa na gari katika harakati za kuvuka barabara....
Ilitokea gari iliovertake ghafla ikaja kunipiga..nilikuwa naelekea mwisho kabisa ..ilinipiga ikanitoa nje kabisa.
Ilikwapua mguu wangu ,,ikaondoka na soksi...nguo zote chakachaka..na zilikuwa mpya maana ilikua mwanzo wa mwaka tu.
Nilijipiga kichwa chini...nikachika Mdomo,Kuna kipande Cha jino kilikatika na juu ya jicho.
Jamani ajali isikie kwa Mtu..isiwe kwako.
Nilizima pale chini dk chache,,

kulikuwa Kuna gari ya magereza pembeni..wakanibeba wakisaidiana na baadhi ya wanafunzi wenzangu.
Kwenda hospital damu zinanimwagika tu pale...nikapitilizishwa kwenye msaada wa haraka.
Kusafisha vidonda yaani niliona dunia inafika mwisho...Yale maumivu niliyoyapata.
Wakaniuliza km nakumbuka namba za ndugu zangu.
Nimeksriri namba ya mama kuliko nyingine zote..nikataja..
Kumpigia mama anastuka anashangaa.,na mama yangu alikua akiishi wilayani huko,huku nilikua naishi na dada.wakamwambia mwanao yupo hsp ya rufaa...
Mama akampigia dada..dada kupanda gari..akajua niliumia kidogo..akawa anaenda shule..
Haijafika mbali akakuta mama anamwambia eti mtoto Yuko rufaa
Alishuka hakumlipa konda nauli

Kufika pale Niko hoi bin taaban nasubiri kwenda x Ray..wapige kichwa mkono na mguu.
Na kipindi hicho madaktar walikuwa na mgomo,shemeji alikua anafahamiana na mtu wa x-ray..hatukupata shida...

sikulazwa nilirudi home..
Kule wazaz wakafunga safari kuja.
Jamani kuugua vidonda usiombe

Baada ya siku 2 walikuja wale walionigonga..walienda kuuliza shule wakaelekezwa.
Walikuwa bega kwa bega na wazaz Hadi nilipo pona

Ila namba niliisoma vema.
Mwezi mzima sili,sitembei,sioni,siongei.
Kiuno kiliteguka,mguu haufunction,usoni ndio usiseme... nilikua km yule mama kwenye Avatar ya Zero IQ

12.02.2012 hii siku siisahau
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
41,020
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
41,020 2,000

Daah pole sana mdogo wangu hakuna kitu naogopa kama ajali
 
syllae

syllae

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Messages
1,672
Points
2,000
syllae

syllae

JF-Expert Member
Joined May 29, 2015
1,672 2,000
Nakumbuka matukio kam mawili ivi enzi izo naishi mbeya

1. Nilikua mdogo san japo nakumbuka vizur ilivokua.kuna siku tunatoka mitaa ya uzunguni kupitia njia iliyo kati kati ya benki ya stanbic na kanisa flan maarufu (wakazi wa mbeya watakua wanapafahm vizur) iyo njia ukinyoosha inaunganisha na njia ya tra ya mbeya.sasa apo kuna mteremko mkal saan kam unatokea uzunguni.
Mzee wangu alikua anaendesha gari na kutokana na uwingi wa watu ikabid mimi nikae nyuma kweny body, sasa kuendeleza utoto wangu kuna bomba flan kam mpira nikawa naongea uku najickia (yaan nimeunganisha kutoka mdomon kwenda sikion? Na nafanya yote ayo natembea tembea kweny gari bila kujishika mahali.
Gari ikafunga brake ghafla nikawa nimeenda mbele kwa speed,baada ya mda akaanza kuondoka kwa speed sas kutokana sikua nimeshika mahali na kuna mteremko mkal nikapitiliza mpak nje nikaenda kuangukia kichwa kweny rami(asikwambie mtu rami inauma balaa,aliewah kupata ajali alaf akapona anaelewa hii hali aisee).
Nikawa nasikia makelel kwa mbali watu wanasema umeuwaaaaaaaa, pia kutokana na mahal apo ni makutano ya barabara nne kuna gari ikawa inakuja usawa wangu (nahisi mungu alikua upande wangu) kuna jamaa alikuja kunivuta kwa harak san pemben ndo ikawa pona yangu ila mpak mda huo sielewi elew naona maluelue tu.
Dah sitasahau iyo kitu

Inaendelea
 
syllae

syllae

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Messages
1,672
Points
2,000
syllae

syllae

JF-Expert Member
Joined May 29, 2015
1,672 2,000
hii sasa ilikua funga kazi japo mwanzo wake ilikua kam utan na kwa waliosoma shule ya msingi mbata mbeya mjin watakua wanakumbuka (hasa mtot wa meya wa mbeya enzi izo (meya alikua anaitwa kapunga) ndo alikua msaada kwangu kwan tulikua tunakaa mtaan mmoja uitwao nonde

Ilikua siku ya ijumaa na kwa taratibu za shule waislamu wanaruhusiwa kwenda kuswali na wengine vipindi vinaendelea kam kawaida

Tuendelee

2.Kuna mwalimu alikua mkal san sasa akawa amekuja kupiga biti na akawa anasema "leo adhabu ntakazowapa hamatakuja sahau" kwan kuna makosa tulifanya jana yake (ila sikumbuki ni makosa gan).baada ya hapo akawa ametoka kwenda kutafuta fimbo

Basi bwana ujuaji mwingi + utundu nikaruka dirisha ili nitoroke zangu. Yaan ata sielewi kilitokea nin kwan mpak kesho nashindwa kueleza vizur ila nilipokuja kutua chini nikawa nimekatika ulimi na kubaki kipande kidogo san kinachounganisha (apa niweke sawa, kam ushawahi kata nyama basi unakata alaf hautenganishi kabisa yaan unaacha kipande kimoja cha nyama kiungane na kingine)

Ninachokumbuka kidogo ni kuna kitu chenye ncha kilinichoma kidevuni ila kidg saan na nikajigonga kidevun pia .kutokana na kujigonga meno yakaenda kung'ata ulimi na kuchana kabisa

Wakati kitendo kinatokea kumbe yule mtot wa meya aliniona na alikua mkubwa kidg kwangu ndo kwenda kutoa taarifa om.

Basi nikapelekwa hospital iliopo karibu apo apo inaitwa 'kiwanja mpak' (wenyeji wanaifahm).ila wakasema tatiz ni kubwa nikapelekwa moja kwa moja hospitl ya rufaa ya mbeya. Kila daktari alishangaa imekuaje ila hawakuweza kupata jibu kwan muhusika siwezi kuongea kwa wakati huo.

Kumbuka ulimi umekatika kiasi kwamba nikifumbua mdomo basi lazima ulimi nishike na mikono kwan kipande kilichobaki kimeshikwa na ngozi ndogo san (alaf cha kushangaza sikua nasikia maumivu yoyote yale)...kila daktari akawa ansema wazi wazi ili tatizo kubwa na anaweza akawa bubu kabisa apo mama analia balaa kwan mim ndo jembe lake la kwanza.

Kuna mama mmoja (daktari ) akasema najitolea kumshona ila tuwe tayar kwa chochte kitakachotokea kwan hajwah kutana na kitu kam icho (huwa namshukuru mpak kesho yule daktar). Nikashonwa na kupona kabisa ila effect yake nikawa na saut ndogo saan ukilinganisha na umri wangu.

Nashukuru nimepona kabisa saiz nipo fresh san
 
Daah pole sana mkuu
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
41,020
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
41,020 2,000
Daah mpaka nimeshikilia ulimi wangu pole sana

Hii kitu mpak kesho wanaonifaham wanahisi ni bubu mpak wakawa wananijaribu kuongea na mimi.hii ishu ilitangazwa hadi shule.
Ila utoto mda mwingine bhan yaan tunapita kweny mambo ambayo mtu mzima anashindwa kuelewa elewa.
 
K

Kiwarhoapandenga

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
261
Points
250
K

Kiwarhoapandenga

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2019
261 250
Poleee sana,

Kwa upande wangu, kuna simbilis moja almanusra inifanye nipak vitu vyangu niondoke duniani, shenzi sana, mapenzi haya

Anyway.. tuyaache hayo

miaka ya Nyuma kidogo hapo, nikiwa kama standard three hv au two, nikiwa kwa babu mzaa mama moshi vijijin huko, siku moja nimepanda juu ya mti wa mmerez, (kwa wanao ifahamu hii miti ukiwa umekomaa n mrefu sana) nilikua naupunyua matawi, bwana wee huku na huko nimekata tawi lina kama V hv, hiyo V si ikaja ikanivaa shingon kama tai hv... nilijaribu kulivua weee lakn wapi, huku na huko wapi (nilikua bado mdogo, chini ya miaka 10) so uamuz wa haraka ukanijia nijiachie tu nidondoke nalo, nikaachia panga likatangulia kwanza... Yaan ilitokea kama miujiza vile, ile nataka kujiachia tu likanivuka lenyewe, niko hoi bin taaban hapo, nguvu zenyewe zalisha anza kuisha, nikashuka nikaenda kulala
Duuu nimecheka japo inasikitisha nakumbuka enzi hizoo nikiwa mdogo nilitengeneza kamba ya mgomba nikaisuka vizuuri nikaenda funga kwenye mti kwa ajili ya bembea basi wee watoto bembeea kumbe tawi la mti lilikuwa tepetepe nakumbuka nilipiga makalio chini nilikaaa chini kama nusu saa kusubiri mawasiliano ya viungo yarudi utoto Mungu anatulinda na mengi
 
xtaper

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
3,358
Points
2,000
xtaper

xtaper

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
3,358 2,000
Duh yan mpaka ulimi wangu umesisimka
hii sasa ilikua funga kazi japo mwanzo wake ilikua kam utan na kwa waliosoma shule ya msingi mbata mbeya mjin watakua wanakumbuka (hasa mtot wa meya wa mbeya enzi izo (meya alikua anaitwa kapunga) ndo alikua msaada kwangu kwan tulikua tunakaa mtaan mmoja uitwao nonde

Ilikua siku ya ijumaa na kwa taratibu za shule waislamu wanaruhusiwa kwenda kuswali na wengine vipindi vinaendelea kam kawaida

Tuendelee

2.Kuna mwalimu alikua mkal san sasa akawa amekuja kupiga biti na akawa anasema "leo adhabu ntakazowapa hamatakuja sahau" kwan kuna makosa tulifanya jana yake (ila sikumbuki ni makosa gan).baada ya hapo akawa ametoka kwenda kutafuta fimbo

Basi bwana ujuaji mwingi + utundu nikaruka dirisha ili nitoroke zangu. Yaan ata sielewi kilitokea nin kwan mpak kesho nashindwa kueleza vizur ila nilipokuja kutua chini nikawa nimekatika ulimi na kubaki kipande kidogo san kinachounganisha (apa niweke sawa, kam ushawahi kata nyama basi unakata alaf hautenganishi kabisa yaan unaacha kipande kimoja cha nyama kiungane na kingine)

Ninachokumbuka kidogo ni kuna kitu chenye ncha kilinichoma kidevuni ila kidg saan na nikajigonga kidevun pia .kutokana na kujigonga meno yakaenda kung'ata ulimi na kuchana kabisa

Wakati kitendo kinatokea kumbe yule mtot wa meya aliniona na alikua mkubwa kidg kwangu ndo kwenda kutoa taarifa om.

Basi nikapelekwa hospital iliopo karibu apo apo inaitwa 'kiwanja mpak' (wenyeji wanaifahm).ila wakasema tatiz ni kubwa nikapelekwa moja kwa moja hospitl ya rufaa ya mbeya. Kila daktari alishangaa imekuaje ila hawakuweza kupata jibu kwan muhusika siwezi kuongea kwa wakati huo.

Kumbuka ulimi umekatika kiasi kwamba nikifumbua mdomo basi lazima ulimi nishike na mikono kwan kipande kilichobaki kimeshikwa na ngozi ndogo san (alaf cha kushangaza sikua nasikia maumivu yoyote yale)...kila daktari akawa ansema wazi wazi ili tatizo kubwa na anaweza akawa bubu kabisa apo mama analia balaa kwan mim ndo jembe lake la kwanza.

Kuna mama mmoja (daktari ) akasema najitolea kumshona ila tuwe tayar kwa chochte kitakachotokea kwan hajwah kutana na kitu kam icho (huwa namshukuru mpak kesho yule daktar). Nikashonwa na kupona kabisa ila effect yake nikawa na saut ndogo saan ukilinganisha na umri wangu.

Nashukuru nimepona kabisa saiz nipo fresh san
 
xtaper

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
3,358
Points
2,000
xtaper

xtaper

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
3,358 2,000
Kuna siku nilikua nimemwaga maji chini sasa mopa ilikua nje nikawa naona uvivu nikaenda next room nikachukua nguo chafu nikafuta (nikaona maji ni mengi sitaweza futa kwa nguo kama nilivotarajia) nikasema ngoja niitundike hii hapa kwenye bomba la stand fan (imechomekwa kwenye socket lakini haijawashwa) nikachukue mopa afu hii nguo nkailoweke nikimaliza kufuta. Sasa ile naiweka tu ile nguo mbich pale nilihisi baridi la gafla na joto kwa mpigo (kumbuka nguo nayoweka ni mbichi na chini nimekajaga maji) aise niliruka kama chura nikarukia kwenye kochi nikaganda kama dk 2 sielewi chochote. Baada ya akili kurudi ndio nkakumbuka nimepigwa shoti ya umeme nikajiona ningekufa kizembe kwa upumbav wangu (na nilikua peke yangu ndani so ningekufa bila mtu kujua).

Siku ya 3 baada ya tukio hilo nikiwa nachomeka chaja ya simu kwa kubetua ( chaja ya pini mbili, socket matundu matatu) bila kujua kumbe nikashika kipini kimoja kwa kidole wakat kingine kimeshaingia (kimeshagusa umeme ndan ya socket) nikapigwa kashot kadogo tena
 
syllae

syllae

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Messages
1,672
Points
2,000
syllae

syllae

JF-Expert Member
Joined May 29, 2015
1,672 2,000
Duh yan mpaka ulimi wangu umesisimka
Noma na nusu mkali.ungeniona usingetaman kula nyama wiki nzima kwan kila daktari hadi wa kiume waliogopa kishenzi.
Ila ndo mapito mkuu, utoto shida sana
 
syllae

syllae

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Messages
1,672
Points
2,000
syllae

syllae

JF-Expert Member
Joined May 29, 2015
1,672 2,000
Kuna siku nilikua nimemwaga maji chini sasa mopa ilikua nje nikawa naona uvivu nikaenda next room nikachukua nguo chafu nikafuta (nikaona maji ni mengi sitaweza futa kwa nguo kama nilivotarajia) nikasema ngoja niitundike hii hapa kwenye bomba la stand fan (imechomekwa kwenye socket lakini haijawashwa) nikachukue mopa afu hii nguo nkailoweke nikimaliza kufuta. Sasa ile naiweka tu ile nguo mbich pale nilihisi baridi la gafla na joto kwa mpigo (kumbuka nguo nayoweka ni mbichi na chini nimekajaga maji) aise niliruka kama chura nikarukia kwenye kochi nikaganda kama dk 2 sielewi chochote. Baada ya akili kurudi ndio nkakumbuka nimepigwa shoti ya umeme nikajiona ningekufa kizembe kwa upumbav wangu (na nilikua peke yangu ndani so ningekufa bila mtu kujua).

Siku ya 3 baada ya tukio hilo nikiwa nachomeka chaja ya simu kwa kubetua ( chaja ya pini mbili, socket matundu matatu) bila kujua kumbe nikashika kipini kimoja kwa kidole wakat kingine kimeshaingia (kimeshagusa umeme ndan ya socket) nikapigwa kashot kadogo tena
Ha ha ha ha ha , nouma san ila ndo ivo ukipona wanadamu wanasema siku yako ilikua haijafika , ukifika mungu kapanga mwanadam hawez kupangua

Ila ni kushukuru mungu tu kwa kila kitu
 
Forum statistics

Threads 1,336,276
Members 512,585
Posts 32,533,232
Top