Tuliotoboa maisha kibishi tukutane hapa

Baada ya chuo niliingia kitaa...!!nikaanza biashara ya cd plus kuingza nyimbo na mazaga ya cm

Mtaji ulipukutika kwa 7b ya matumizi mabaya plus dem pia(nilikuw deep kweny love n girl flan) so nilkuwa najtoa sana kumjali

Then ikafuata break up...japo nliumia ila ilibidi nimuache

Ndipo nlpoanza kuzitafta pesa kwa udi na uvumba....niliweka vocha za kurusha kweny frem flan ambyo familia walliiacha baada ya kufilisi mtaji

Vocha zkakuuza mtaji...nkaongza bidhaa nyngne dkan na nlipanga kuamsha duka la reja

Nikaongeza juhud kwenye kazi za ufundi simu ili nipate mtaji zaidi...

Nakiri mwanzo ilikuw ngum...ila now liko vizuri....na nnaona njia mbele yngu

Kwa sasa wazo la dem na kuajiriwa nmepoteza kichwan....mitego inakuja mingi dukan ila naikwep
Pamoja mkuu komaaa
 
Dah hongera bab. Hiyo stake uliyoweka imenifanya na mm nianze kuwa na roho ngumu. Jmosi ntajaribu 50k
Hahaha....
Remember invest what you are willing to loose......

Mana niliweka stake hiyo kwa maana sina cha kupoteza sio unaweka ada au kodi ya gheto utalimia meno
 
Shida hujaelewa. ...

Pia hujafanya field ya kutosha huna facts tulia mkuu

Waulize watu mwaka 2015 ufuta bei gani

Mahindi

Mpunga


Then faida fanya investment kwenye other sector mkuu
Nunua
Mashine za kusaga nafaka

Sema hapa niliogopa kuandika riwaya la joka la mdimu


Unaweza ona mazingaumbwe ila ukijua ukweli hata usumbuki

Na kipato sio static kila mwezi big no Ila ina range from 3 million 4 , 5 ,6 and 7 per month not every month chief
Kaka Ontario lini utakuja na topic ya kutuibia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom