Kumbukumbu hii ya Annex Mrina Arusha Miaka ya early 2000s Haijanitoka mpaka leo

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Asubuhi niliamka mapema saa saa 11 nilikuwa nimeamka nimeshaoga napata chai.Dereva ilikuwa aje anipitie home saa 11 kamili so nikawa namsubiria.Akaja saa 11:20 of course aliniona nimekasirika maana sikutaka kuuficha uso ambao ulishatengeneza makunyazi ya hasira.

Akajitetea na kuomba msamaha.sikusikiliza sana utetezi nlihisi utetezi huu kashatumia zaidi ya 100. Waswahili aargh.

Tukaenda tukawapitia jamaa wengine watatu jumla tukawa wa watano.mimi mbele na wenzangu watatu nyuma.mimi nlikuwa ndo nmeajiriwa hapo kazini nina miezi kadhaa tu.ila nlikuwa ndiye mkuu wa msafara ule.

Tuliondoka mimi CJ (chai jaba - huyu jamaa alikuwa ana uwezo wa kuongea nyie mkalala mkaamka mkakuta bado anasimulia stories.hata ukianza kumsimulia story yako anaweza akakukatisha halafu akaendelea nayo yeye kusimulia matukio yaliyotokea.nadhani sababu hiyo pia alifanikiwa kupewa mdomo mkubwa una lips nene....Mzaramo aliyesoma.

Pia alikuwepo Solisoli huu utampenda linapokuja suala la kula...anapenda sana kula hasa nyama. Hata akiwa anakula kwenye sahani yake huwa anaanza kula nyama kwanza halafu ndo atamalizia chakula kingine.jamaa anajikombea mboga yeye mwenyewe....hajiamini kabisa kwenye msosi.anasema ndo walikuwa hivyo home kwao.wanakula wote kwenye sinia.so kila mtu anashika nyama yake mkono wa kushoto mara waanzapo kula.halafu ndo wanaendelea kuufinya kila mtu akiwa ameshika chake.

Na huyu jamaa Dr. Love yeye nlikuwa namjua ni mzee wa watoto sana ..naye umri ulikuwa juu yetu kidogo lakini macho yake yalikuwa juu juu sana...yaani kama dereva anayetafuta parking town posta.anaangalia tu watoto...yeye pombe na mabinti.ukimwambia akupatie pesa ya kula hawezi kukupa ila mwambie kuna mademu wawili wewe mmoja na yeye mmoja atatoa pesa freshi tu mkawasugue (kwa maneno yake) yupo tayari hata kukopa....ila usije ukamwambia una matatizo una shida na pesa.hakupi.

Dereva walikuwa wanamwita Tank( nlikuja gundua ni sababu anakunywa sana ulabu anaweza kunywa bia kadhaa kama maji anasema anazimimina kwenye tank)...yeye alikuwa mtu mzima kuliko sisi sote...basi tukaanza safari kuelekea Arusha.muda ule wengi tulitumia kumalizia usingizi.wakati huo CJ alikuwa anasimulia jinsi ambavyo mwaka 2001 alivyokabwa na mateja wakakuta ana tsh 2500 tu mfukoni wakampa kichapo sana kwa hasira na kumvua nguo akabaki na chupi.hii story huwa anaisimulia sana....inabadilika tu idadi ya vibaka na maeneo.siku nyingine atasema sinza,siku nyingine temeke,siku nyingine kijitonyama...basi tushaizoea.siku nyingine husema yeye ndo aliwafukuza walikuwa 7.... Ukimcheki sasa....basi tu.

Mwendo ulikuwa mdogo sana na binafsi huwa sipendi mwendo wa kinyonga kufika chalinze ikaonekane tupate soup kidogo. CJ alinifuata na kunambia Dereva anataka kidogo achangamshe akili maana ni kama anajisikia uchovu.

Nikakumbuka excuse yake kuwa jana hakulala mtoto wake alikuwa anasumbua sana.nikasema sawa...sisi tunapata supu na wengine wkaagiza beer. Dereva yeye hakuwa pamoja nasi...alipotea kidogo.baada ya kama saa moja na nusu hivi akarudi...amelewa kinyama... Yaani hata kutembea tu ni shida.

Nikajua hapa safari ishavunjika. CJ na Dr Love wenyeji sana na yule dereva wakasema hamna shida wakamsaidia tu kupanda kwenye gari...Dereva aliomba tu asaidiwe akae kwenye kiti.halafu mengine tumwachie yeye.tulibishana karibia saa nzima.nikasema Dr.Love akae mbele mimi narudi nyuma.gari ya ofisi Land Cruiser "Shangingi" nikafunga mkanda nikatulia moyo ukiwa furaha kabisa.

Tukaanza kuondoka...dereva katoa macho mbele utadhani amebanwa korodani kwa koleo.jamaa alikamata usukani na kuanza kupiga mpini...ile safari ilikuwa imejaa mashaka makubwa sana kwangu.gari ilikuwa inakimbia sijapata kuona.tulinyamaza sana sisi wengine nadhani tukitafakari maisha yetu na kama tukifa siku ile tutakuwa wapi.

Nilianza kumkumbuka mola na kutubu dhambi zangu zote.sikuweza kulala wala kupepesa macho.CJ ndo alikuwa anaongea ile mbaya mwenzie hata simsikii.

Tukafika Moshi tukala na kupumzika sana, tukaelekea arusha saa 1 hivi tumefika arusha. Akatupeleka lodge jamaa wakaamua tukagonge beer kidogo kuondoa barid. Ndo kupelekwa ANNEX MRINA.

Tumefika jamaa amepaki gari hata halijasimama vizuri...wakaja wadada kama sita... Wanakuja kutangaza biashara zao... Mimi nikiwa sielewi vizuri kinachoendelea ulifunguliwa mlango dada mmoja mzuri akanishika mkono na kupandisha mguu wake kwenye gari " shika mwenyewe uone kavuuuu, njoo tuongee bro tufanye biashara" mkono wangu wa kushoto umegusishwa K.

Nlishtuka sana. Wakati huo Dr love yeye anakagua kila moja anafunuliwa na kugusa...anamwita na mwingine anachovya sijui na kupapasa...mi sijui.ila mwenyewe dr anajua anachotafuta huko ndani... Na ubora wake anaujua mwenyewe.akapata mbili alizopenda akasema anachukua hao wawili.CJ yeye anabembeleza bei ishushwe yaani jamaa ni mlalamishi sijapata kuona alishushiwa mpaka 8000 na bado akawa analalamika eti ana 2000 yule dada akamwambia kwa hiyo labda asubirie saa tisa tisa hivi ndo atapata.

Sisi wengine tukawa kama tunakwepa kukaaa naye maana jamaa anataka asikilizwe yeye tu na hapo sasa hana mtu basi atataka atupigie stories huku akisubiria muda wa fungulia mbwa ile mida late sana anasema angepata K kwa tsh 2000.

Mimi hapo nmechanganyikiwa tayari unagusishwa kwenye socket...unadhani akili inakaa sawa? Ni ngumu.kilanikikumbuka nlivyonyang'anywa mkono na kuchovyeshwa kwenye K kupima...na hata sijui nachopimishwa...nmeambiwa tu kuwa ile mashine kavu nihakikishe mwenyewe lakini nawaza maana sijawahi piga watu wa namna hiyo...nawaza itakuaje sasa na tumefikia Hotel moja standard huwezi peleka issues kama hizo?

Tukaenda kaa nao meza moja tunapiga nyama choma ndizi na kimiminika.mpaka saa saba watu wapo hoi....mimi nakunywa kimahesabu network isikate. Nikawaza hapo nisiende naye yule dada hotelin nlipofikia.tukaamua kwenda guest house moja ipo kwenye ki ghorofa hivi si mbali na pale.

Mfukoni nmebaki na tsh 20,000 .guest wakata 15,000 nikabaki na 5000.yule dada amelewa sana...tumefika tumeoga anataka nile mzigo...makubaliano ilikuwa kuanzia muda ule nmemkamata mpaka asubuh 15,000. Mtoto alikuwa mzuri sana.

Mimi nina 5000. Basi nikamwambia tulale then saa 11 ndo tuamke kupiga show yenyewe hadi saa tatu.nikiwa na wasiwas arusha mi mgeni na mambo hayo siyafaham kwa kina.yule dada akakubali alale...nakumbuka nlishtuka saa 9 yule dada kalala ile mbaya...nikanyanyuka taratibu nikavaa viatu nikatoka nje....

Nlitembea mpaka annex mrina nikachukua taxi nikarudi zangu Hotel.ni usiku ambao napoikumbuka arusha nakumbuka zaidi Annex Mrina...mara ya mwisho kwenda Arusha ni mwaka 2009.

Je ANNEX MRINA BADO IPO MA CHARLIEE WA ARUSHA?
 
Asubuhi nliamka mapema saa saa 11 nlikuwa nmeamka nmeshaoga napata chai.dereva ilikuwa aje anipitie home saa 11 kamili so nikawa namsubiria.akaja saa 11:20 of course aliniona nmekasirika maana sikutaka kuuficha uso ambao ulishatengeneza makunyazi ya hasira.

Akajitetea na kuomba msamaha.sikusikiliza sana utetezi nlihisi utetezi huu kashatumia zaidi ya 100. Waswahili aargh.

Tukaenda tukawapitia jamaa wengine wawili jumla tukawa wa nne.mimi mbele na wenzangu wawili nyuma.ndo nmeajiriwa hapo nina miezi tu kadhaa kazini.ila nlikuwa ndiye mkuu wa msafara ule.

Tuliondoka mimi CJ (chai jaba - huyu jamaa alikuwa ana uwezo wa kuongea nyie mkalala mkaamka mkakuta bado anasimulia stories.nadhani kwa sababu hiyo pia alifanikiwa kupewa mdomo mkubwa una lips nene....Mzaramo aliyesoma.

Pia alikuwepo Solisoli huu utampenda linapokuja suala la kula...anapenda sana kula hasa nyama. Hata akiwa anakula kwenye sahani yake huwa anaanza kula nyama kwanza halafu ndo atamalizia chakula kingine.

Na huyu jamaa Dr. Love yeye nlikuwa najua ni mzee wa watoto...naye umri ulikuwa juu yetu kidogo lakini macho yake yalikuwa juu juu sana...yaani kama dereva anayetafuta parking town posta.anaangalia tu watoto...yeye pombe na mabinti.

Dereva walikuwa wanamwita Tank...yeye alikuwa mtu mzima kuliko sisi sote...basi tukaanzs safari kuelekea Arusha.muda ule wengi tulitumia kumalizia usingizi.wakati huo CJ alikuwa anasimulia jinsi ambavyo mwaka 2001 alivyokabwa na mateja wakakuta na tsh 2500 mfukoni wakampa kichapo sana kwa hasira na kumvua nguo akabaki na chupi.hii story huwa anaisimulia sana....inabadilika tu idadi ya vibaka na maeneo.siku nyingine atasema sinza,siku nyingine temeke,siku nyingine kijitonyama...basi tushaizoea.

Mwendo ulikuwa mdogo sana na binafsi huwa sipendi mwendo wa kinyonga kufika chalinze ikaonekane tupate soup kidogo. CJ alinifuata na kunambia Dereva anataka kidogo achangamshe akili maana ni kama anajisikia uchovu.

Nikakumbuka excuse yake kuwa jana hakulala mtoto wake alikuwa anasumbua sana.nikasema sawa...sisi tunapata supu na wengine wkaagiza beer. Dereva yeye hakuwa pamoja nasi...alipotea kidogo.baada ya kama saa moja na nusu hivi akarudi...amelewa kinyama... Yaani hata kutembea tu ni shida.

Nikajua hapa safari ishavunjika. CJ na Dr Love wenyeji sana na yule dereva wakasema hamna shida wakamsaidia tu kupanda kwenye gari...Dereva aliomba tu asaidiwe akae kwenye kiti.tulibishana karibia saa nzima.nikasema Dr.Love akae mbele mimi narudi nyuma.gari ya ofisi Land Cruiser "Shangingi"

Tukaanza kuondoka...dereva katoa macho mbele utadhani amebanwa korodani kwa koleo.jamaa alikamata usukani na kuanza kupiga mpini...ile safari ilikuwa imejaa mashaka makubwa sana kwangu.gari ilikuwa inakimbia sijapata kuona.

Nilianza kumkumbuka mola na kutubu dhambi zangu zote.sikuweza kulala wala kupelesa macho.CJ ndo alikuwa anaongea ile mbaya mwenzie hata simsikii.

Tukafika Moshi tukala na kupumzika sana, tukaelekea arusha saa 1 hivi tumefika arusha. Akatupeleka lodge jamaa wakaamua tukagonge beer kidogo kuondoa barid. Ndo kupelekwa ANNEX MRINA.

Tumefika jamaa amepaki gari hata halijasimama vizuri...wakaja wadada kama sita... Wanakuja kutangaza biashara zao... Mimi nikiwa sielewi vizuri kinachoendelea ulifunguliwa mlango dada mmoja mzuri akanishika mkono na kupandisha mguu wake kwenye gari " shika mwenyewe uone kavuuuu, njoo tuongee bro tufanye biashara" mkono wangu wa kushoto umegusishwa K.

Nlishtuka sana. Wakati huo Dr love yeye anakagua kila moja anafunuliwa na kugusa...akapata mbili alizopenda akasema anachukua hao wawili.CJ yeye anabembeleza bei ishushwe yaani jamaa ni mlalamishi sijapata kuona alishushiwa mpaka 8000 na bado akawa analalamika eti ana 2000 yule dada akamwambia kwa hiyo labda asubirie saa tisa tisa hivi ndo atapata.

Mimi hapo nmechanganyikiwa tayari unagusishwa kwenye socket...unadhani akili inakaa sawa? Ni ngumu.lakini nawaza maana sijawahi piga watu wa namna hiyo...nawaza itakuaje sasa na tumefikia Hotel moja standard huwezi peleka issues kama hizo?

Tukaenda kaa nao meza moja tunapiga nyama choma ndizi na kimiminika.mpaka saa saba watu wapo hoi....mimi nakunywa kimahesabu network isikate. Nikawaza hapo nisiende naye yule dada hotelin nlipofikia.tukaamua kwenda guest house moja ipo kwenye ki ghorofa hivi si mbali na pale.

Mfukoni nmebaki na tsh 20,000 .guest wakata 15,000 nikabaki na 5000.yule dada amelewa sana...tumefika tumeoga anataka nile mzigo...makubaliano ilikuwa kuanzia muda ule nmemkamata mpaka asubuh 15,000. Mtoto alikuwa mzuri sana.

Mimi nina 5000. Basi nikamwambia tulale then saa 11 ndo tuamke kupiga show yenyewe hadi saa tatu.nina wasiwas arusha mi mgeni na mambo hayo siyafaham kwa kina.yule dada akakubali alale...nakumbuka nlishtuka saa 9 yule dada kalala ile mbaya...nikanyanyuka taratibu nikavaa viatu nikatoka nje....

Nlitembea mpaka annex mrina nikachukua taxi nikarudi zangu Hotel.ni usiku ambao napoikumbuka arusha nakumbuka zaidi Annex Mrina...mara ya mwisho kwenda Arusha ni mwaka 2009.

Je ANNEX MRINA BADO IPO MA CHARLIEE WA ARUSHA?
Unajua Sana kusimulia
nimebaki nacheka Hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK! OK! watu wote mliohusika na anasa za dunia mkiwa maeneo ya Mrina, Picnic " save water drink beer" hadi kigirofa cha Monjes tubuni, tena mjifanyie mahesabu ya pesa mlizotekeza hapo ikiwepo pesa za vinywaji na kununua binadamu wenzenu kama bidhaa na hao waliojiuza mkipata total kiasi kama hicho hicho mpeleke sadaka kanisani na msikitini kimiya kimiya na mjutie zambi zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chini yake hapo Annex Mrina siku hizi kuna Pub moja inaitwa Picknick ....hapo tena ni balaa tu ndugu ni mtaa wa pili tu kutoka Annex Mrina na hiyo Annex Mrina bado ipo na hao watoto wako pale pale ndugu......ila chunga sana kuibia maana watoto wote ni kinywaji na sigara sana na bangi sana.......
 
Naokumbuka Arusha nakumbuka Cafe la Azizi,Colabas,Triple A, bado pale hotel Mana,mianzini ile ya kuchanganya na mchicha.Asanteni sana Arusha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
we jamaa ni mwongo sana hahahahahahah yaani nasoma kama nayaona matendo ya wahusika. namuona mjomba dere akipandishwa kukaa kwenye kiti, nakuon na ww ukinyata kuwahi annex mrina

ila hapo pa dr. kuchambua punye nimecheka sana
 
Naokumbuka Arusha nakumbuka Cafe la Azizi,Colabas,Triple A, bado pale hotel Mana,mianzini ile ya kuchanganya na mchicha.Asanteni sana Arusha

Sent from my iPhone using JamiiForums
Naokumbuka Arusha nakumbuka Cafe la Azizi,Colabas,Triple A, bado pale hotel Mana,mianzini ile ya kuchanganya na mchicha.Asanteni sana Arusha

Sent from my iPhone using JamiiForums
Cafe la aziz nakumbukaga kipindi kile ilivyounguaga. Umenkumbusha kitambo sana mkuu.
 
Kwa sisi wenyeji wa arusha kukuaa mrina ni dalili ya kuwa mgeni ,nikama mjanja wadar asivyoweza kwenda uwanja wa fisi kule ,ukija arusha unataka mademu classic nenda ,double tout (njiro) ,the don,kokoliko ,kama pesa iko unataka kukutana na mademu wenye pesa yao nenda the east africa jirani na mkuu wa mkoa ,unakutana na manzi ya kimeru kaliii inarasta ndefu chini imevaa buti nje imepaki pick up lazima ukae
1063208
 
Back
Top Bottom