Tulionunua Hisa za Vodacom Tukutane Hapa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,153
13,223
Salaam

Ni miezi sasa tangu nilipie hisa za vodacom na ukimya umetawala, walisema wangetupa taarifa walau ya cheti cha umiliki lkn pia kimya huku nikiamini fedha zetu zinazungushwa huko kwa mitaji na faida

naulizia wengine walio katika lindi langu ili tuunganishe nguvu za pamoja

Tangazo lilikua hili

upload_2017-10-10_11-19-19.jpeg
 
wanunuaji wengi wa hisa huwa hawafatilii nini kinaendelea...
hisa za voda zilishuka hadi 770 na leo zimepanda hadi 850
 
Niishawishika sana kununua hisa Vodacom, lakini siku nilipo amua kwenda kulipia ndipo moyo wangu ulipo ingiwa na mashaka.
Baada ya kupata hofu, niliamua kuahirisha zowezi
uthubutu nao ni KIPAJI MKUU
 
uthubutu nao ni KIPAJI MKUU
kweli mkuu.... Na ukiwaona wengi walio fanikiwa, kwanza walithubutu.
Lakini kwa nguvu kubwa iliotumiwa na Vodacom kushawishi watanzania kununua hisa, na hata ilipo fikia tarehe ya mwisho wa kununua wakajikuta bado wamedorora na ikawabidi waongeze siku kwakuendekeza matangazo kwa ushawishi.......
mmhhhh.... hapo ndipo nilipoanza kupata mashaka
 
Back
Top Bottom