Pambana na Hali yakoNauza hisa 1000 za voda anaezitaka aje PM bei hiyohiyo 850 @
Pambana na Hali yakoNauza hisa 1000 za voda anaezitaka aje PM bei hiyohiyo 850 @
Usiuvagae mkenge hizo hisa ni usaniimauzo yanafanyikaje hapo au unanipa cheti chako
Kila jerojero, lake 5 yako safi nakuleteaNauza hisa 1000 za voda anaezitaka aje PM bei hiyohiyo 850 @
Imeshatoka hiyo mkuu. Hongera kwa kuichangia vodacomKwahyo tumeliwa ??
inaonesha huelewi au hauna uelewaHisa ndo mpango mzima kwa dunia ya leo
hv mwez wa kufunga hesabu n upi....nmexhamis buku buku zako hahahahaSalaam
Ni miezi sasa tangu nilipie hisa za vodacom na ukimya umetawala, walisema wangetupa taarifa walau ya cheti cha umiliki lkn pia kimya huku nikiamini fedha zetu zinazungushwa huko kwa mitaji na faida
naulizia wengine walio katika lindi langu ili tuunganishe nguvu za pamoja
Tangazo lilikua hili
View attachment 606158
Na mimi nilinunua hisa hizo. Nina hamu ya kujua developments. Mwenye taarifa atujuze.Salaam
Ni miezi sasa tangu nilipie hisa za vodacom na ukimya umetawala, walisema wangetupa taarifa walau ya cheti cha umiliki lkn pia kimya huku nikiamini fedha zetu zinazungushwa huko kwa mitaji na faida
naulizia wengine walio katika lindi langu ili tuunganishe nguvu za pamoja
Tangazo lilikua hili
View attachment 606158
[emoji23] [emoji23] hiyo itakua ni biashara kichaahujaona hapo ni tsh 12 ili upate angalau milioni 1 basi hisa zako zilitakiwa ziwe angalau 100,000 ambapo uwekezaji unatakiwa uwe zaidi ya milioni 85.......
hapo ndio naona hisa ni upuuzi maana haiwezekani uwekeze milioni 85 afu upate milioni 1 kwenye qt ya 1
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilinunia hisa 2000 gawio nililopata si zaidi ya 30000.
dah ni upuuzi sana kwa kipindi gani miezi sita au mwakaNilinunia hisa 2000 gawio nililopata si zaidi ya 30000.
Mm pia Ukpata utaratbu uni mp ,mm naziuza zangu staki ujinga bora kubet kulko ujinga wa hisaNataka kuuza zangu, naombeni kujua utaratibu unakuwaje.
Mwaka na kodi wamekata.dah ni upuuzi sana kwa kipindi gani miezi sita au mwaka