Tulionunua Hisa za Vodacom Tukutane Hapa

hujaona hapo ni tsh 12 ili upate angalau milioni 1 basi hisa zako zilitakiwa ziwe angalau 100,000 ambapo uwekezaji unatakiwa uwe zaidi ya milioni 85.......
hapo ndio naona hisa ni upuuzi maana haiwezekani uwekeze milioni 85 afu upate milioni 1 kwenye qt ya 1
 
Wakati mpunga kama huo ukiuweka kwenye fixed deposit kwa mwaka unakula riba moja tamu sana.. zaidi ya milion 5
 
hata hiyo nayo ni ujinga tu yaani uweke hela kwa miezi 12 afu uje kuchukua faida ya 8.5mil wakati waweza fanya biashara na ukapata zaidi ya hiyo
Hapo mzee nilikuwa nazungumzia utofauti wa kuweka kwenye hisa or kuweka fdr.. ni maramia ukaweka kwenye fdr kwa mtu anaetaka kuwekeza kuliko kuweka kwenye hisa kwa lengo la dividend
 
Salaam

Ni miezi sasa tangu nilipie hisa za vodacom na ukimya umetawala, walisema wangetupa taarifa walau ya cheti cha umiliki lkn pia kimya huku nikiamini fedha zetu zinazungushwa huko kwa mitaji na faida

naulizia wengine walio katika lindi langu ili tuunganishe nguvu za pamoja

Tangazo lilikua hili

View attachment 606158
Vyeti wametoa nenda kaulizie ulikonunulia hisa
 
Nauza hisa 1000 za voda anaezitaka aje PM bei hiyohiyo 850 @
 
hata hiyo nayo ni ujinga tu yaani uweke hela kwa miezi 12 afu uje kuchukua faida ya 8.5mil wakati waweza fanya biashara na ukapata zaidi ya hiyo
shule hii nayo
 
hujaona hapo ni tsh 12 ili upate angalau milioni 1 basi hisa zako zilitakiwa ziwe angalau 100,000 ambapo uwekezaji unatakiwa uwe zaidi ya milioni 85.......
hapo ndio naona hisa ni upuuzi maana haiwezekani uwekeze milioni 85 afu upate milioni 1 kwenye qt ya 1
aisee ni kuliwa huku labda kwenye kuuza
 
Back
Top Bottom