Dyf
Senior Member
- Feb 2, 2016
- 185
- 150
Nataka kuuza zangu, naombeni kujua utaratibu unakuwaje.
Kuuza hisa unatumia brokers ambao ndio wanapeleka kuuza ktK DSE
Piga simu kwa hawa brokers waeleze unahitaji kuuza ,utatuma details zako na kujaza forms ndan ya siku tatu unapewa pesa yako