Juzi ulisema muandamane muende UBALOZI wa Marekani Dar……, baada ya swala ya ijumaa,,,!!! Hizi porojo kweli kweliKupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua
Unajua hizi picha kuna watu wanaona km utani ila kuna sehemu nilienda nikaona hali km hii aisee nilishtuka sana, yaan daah acha tu watu wanaishi maisha tafu sana aisee sitaki kukumbuka kabisa yaan ahh jiko humo humo pamebana meza kitanda nguo varaguvaragu kuchafu manguo machafu yaan hata kuvua viatu ni mtihani hakutamaniki humo ndani ni uvundo pananuka harufu za ajabu ajabu mpaka unashindwa kupumua ila yeye anaeishi yupo comfortable kabisa na hajali sikukaa sana niliomba kuondoka, oya kuna watu wanaishi mazingira ya ajabu sana sio uongo
Makobaz utawaweza wakat wanatumia kichwa kama mfuniko wa shingo 😂Juzi ulisema muandamane muende UBALOZI wa Marekani Dar……, baada ya swala ya ijumaa,,,!!! Hizi porojo kweli kweli
Tanzania ipeleke wale jamaa makomandoo wa kupasua tofali kwa kichwa. Tofali lililoshindiliwa kwa mkono. Ahha aaaha aahaaKupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua
UtanyookaKupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua
Anga ya Irani Imetekwa? Unafikiri Irani ni Venezuela?Mtu mmeambiwa anga lote limetekwa na Israel, sasa hao ATCL ndiyo wataingiaje
Kwani raia wote waliopo Iran wameuawa? Subirini vita viishe mje mchukuliwe
Khamenei yupo haiAnga ya Irani Imetekwa? Unafikiri Irani ni Venezuela?
Iran imefunga Ghuba ya Uajemi inayopitisha meli zote za mafuta hata Marekani Wameogopa kusindikiza meli, sembuse Anga yake?
Tuambie kwanza alikojificha Netanyau baada ya Ikulu yake kusambaratishwa tar 2 March.
Khamenei yupo hai
í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£ Muamsheni huyooo. atajinyea kitandani. Akatafute helaKobazi na akili ni sawa na maji na mafuta; Bakwata hapo inahusikaje?
Km vipi adandie kombora moja halafu ashukie njiani!Kaeni huko huko mumpiganie Allah wenu dhidi ya Israel na USA 😂
Ngoja tusubiri waliopo Iran na Israel walete ripoti ya moja kwa moja kutokea eneo la mapiganoAnga ya Irani Imetekwa? Unafikiri Irani ni Venezuela?
Iran imefunga Ghuba ya Uajemi inayopitisha meli zote za mafuta hata Marekani Wameogopa kusindikiza meli, sembuse Anga yake?
Tuambie kwanza alikojificha Netanyau baada ya Ikulu yake kusambaratishwa tar 2 March.