Tuliokwama Iran, tunahitaji ndege Ije kutuchukua

Tuliokwama Iran, tunahitaji ndege Ije kutuchukua

Unajua hizi picha kuna watu wanaona km utani ila kuna sehemu nilienda nikaona hali km hii aisee nilishtuka sana, yaan daah acha tu watu wanaishi maisha tafu sana aisee sitaki kukumbuka kabisa yaan ahh jiko humo humo pamebana meza kitanda nguo varaguvaragu kuchafu manguo machafu yaan hata kuvua viatu ni mtihani hakutamaniki humo ndani ni uvundo pananuka harufu za ajabu ajabu mpaka unashindwa kupumua ila yeye anaeishi yupo comfortable kabisa na hajali sikukaa sana niliomba kuondoka, oya kuna watu wanaishi mazingira ya ajabu sana sio uongo
Mkuu hua iko hivi mwili hua una kawaida ya kucopy mazingira yaliyopo(Yaani kuendana na Hali ya mazingira iliyopo)so wewe kwa kua ulikua mgeni wa hayo mazingira ilikuhitaji angalau wiki Moja ya kukaa na kufanya mwili uyazoee mazingira.Huyo/hao wenyeji wao tayari miili Yao ishacopy Hali ya eneo na kuendana nayo kwa hivyo wao hawapati shida kubwa kama ambavyo wewe unapata.
 
Jambo likiwahusu Wakristo linakuwa la Watanzania ila likiwa la hawa wenzetu la kwao. Ina maana hakuna wa Mtanzania wa imani tofauti aliyekwama huko? Kwanini ubinafsi hivi?
Mbona watu wamefatwa Saudia ambako ndiko kwenye Mji wa Hija ya Kiislamu!? Kwanini huwa mnajivika nafasi ya kuonekana mnaonewa tu Kila siku?
Na ndio kwanza mmnataka BAKWATA iwatumie ndege ya ATCL, kwahiyo ikifika huko mtafanya ukaguzi kuwaondoa Answari, Wakristo na wapagani ili mpande NJ yie tu BAKWATA!???
Tel Aviv Kuna waka moto, hakuna ndege iliyoenda, na hakuna makundi yaliyodai yametengwa.

Sisi tunata Serikali ihakikishe Usalama wa Kila Mtanzania, maana tunalipa Kodi kwa nafasi Yao hiyo kwetu.
 
Kupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua
Je nasi tulip kwamba Tanzania tuisubiri ndege kutoka Iran,Marekani ama Israel?
 
Anga ya Irani Imetekwa? Unafikiri Irani ni Venezuela?
Iran imefunga Ghuba ya Uajemi inayopitisha meli zote za mafuta hata Marekani Wameogopa kusindikiza meli, sembuse Anga yake?
Tuambie kwanza alikojificha Netanyau baada ya Ikulu yake kusambaratishwa tar 2 March.
Watu hawajui Iran imepigana vita miaka 8 na Iraq ambayo alikua inasaidiwa kila kitu na USA na UK na Ufarasa stili ikatoboa
 
Wabongo wengi wako Iran
Na wengi waliendaga kipindi kile cha mipango
Binsfsi na wajuwa watu kama 12 hivi wako huko

Ova
 
Back
Top Bottom