dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,350
ndoa ikikosa maelewano haiwi ndoa tena!.........nina shogangu yupo veta yy amesarenda asbh nimejikuta namwambi aisee hongera uliweza kudivorce..mie sipend mtu anipangie maisha ya kuishi while najitambua[emoji57][emoji57]
mtu anaependa kujiamlia mambo yake mwenyewe bila kumshirikisha mwenzake basi ndoa haimfai (hafai kuoa/kuolewa)!!!