mmmhh hapo penye kutafuta hela kumzidi panaweza kuleta mgogoro mkubwa sana km haafikiani na wewe........ most likely ndoa inavunjika!.............
unaweza nunua gari bila kumshirikisha akakwambia ili ndoa ibaki uza gari hela leta mezani,........
ni vyema wakaishi km watu wazima, sit down and talk, take time out uongee we na mmeo mjue suluhu na sio mashindano,.........
kushindana haijawahi kuwa afya ya ndoa,........ ondokeni nyumbani hata kwa siku moja, mkaongee yote na kuombana misamaha huko..........
hakuna mwanaume anaeweza kuwa jeuri mbele ya mwanamke anaeshuka na kumtii..... unless huyo mme ni mlevi na mvuta bangi