Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

manengelo njoo huku umsikie Heaven Sent anavokomelea, teh!!

Ila kusema kweli sijawahi ona aliyeachika akawa na nuru. Awe na kazi nono au sijui mali lakini wapii sionagi kama wana furaha, yaan hadi lotion zinadundaga kwenye ngozi zao, teh!

So ni muhimu tuendelee kumshauri Manengelo aendelee kuvumilia tu akiwa huko huko ndoani. Kiukweli ndoa zote zinachangamoto, sababu kubwa nayoiona mimi kwenye ndoa sehemu kubwa tunafanya majukumu, yaan mapenzi yana sehemu ndogo sana. So ukielewa uhalisia huu wala ndoa haikupi shida, unavumilia tu maisha yanasonga.

😅😅😅mito niruhusu baadaye jion au usk nije piyemu kwako😐!huyu@heaven sent huyu hahhaa...kuna kipindi yalinifika hapa...may hii hii nikaomba ruhusa nikaenda sehem kupumzika for 3 wks..huez amini nimerudi kwangu na baby face shavu lainiii mororooooooooo... kila kiungo kiko pahala.pake..nikawa naambiwa na majiran we mbn umependeza hvyo?kidogo nirudi😏!kwahyo sio kweli unayosema..ila mie nikiamua kumuacha pampula hachukui round..na yy analijua hilo🙂
 
Me nimeona ambao wameachika na wanaishi kwa amani mno, japo wengine kimaendeleo ndo wameanza na moja tena; ila wanaenjoy maisha. Kuna ndoa kama usipotoka huko, basi umauti utakutoa kinguvu. Si vyema watu kuachana, but kuna wakati kwa ajili ya amani ya moyo na kulinda maisha ya mwanandoa; talaka ihusike tu. Amani ya moyo ni bureeee, ila ukiikosa unapoteza hadi purpose ya kuishi

Ila wajinga ni wale wanaoondoka kisa tu kadanganywa huko nje anapendwa sana, au kwa sababu tu she is financially independent, hata kosa la kuongea mkaonyana tu, anaondoka as anajua anaweza akahandle maisha on her own.
manengelo njoo huku umsikie Heaven Sent anavokomelea, teh!!

Ila kusema kweli sijawahi ona aliyeachika akawa na nuru. Awe na kazi nono au sijui mali lakini wapii sionagi kama wana furaha, yaan hadi lotion zinadundaga kwenye ngozi zao, teh!

So ni muhimu tuendelee kumshauri Manengelo aendelee kuvumilia tu akiwa huko huko ndoani. Kiukweli ndoa zote zinachangamoto, sababu kubwa nayoiona mimi kwenye ndoa sehemu kubwa tunafanya majukumu, yaan mapenzi yana sehemu ndogo sana. So ukielewa uhalisia huu wala ndoa haikupi shida, unavumilia tu maisha yanasonga.
 
mito niruhusu baadaye jion au usk nije piyemu kwako!huyu@heaven sent huyu hahhaa...kuna kipindi yalinifika hapa...may hii hii nikaomba ruhusa nikaenda sehem kupumzika for 3 wks..huez amini nimerudi kwangu na baby face shavu lainiii mororooooooooo... kila kiungo kiko pahala.pake..nikawa naambiwa na majiran we mbn umependeza hvyo?kidogo nirudi!kwahyo sio kweli unayosema..ila mie nikiamua kumuacha pampula hachukui round..na yy analijua hilo
Kuna ka kitu nimekanotice,; wanaume wengi wanaomistreat "wake wema", wakiachwaga; hawachukui round.
 
Wanaume wengi wanaringa wakiwa na wake zao, wakiachwa wananyodoroka mbaya. Usimuache baba watoto
 
Umeamka poa lkn jirani?
Au bado hangover zinatingisha serikali ya kitongoji?
😂😂😂😂hakuna mning'inio mkuu sijui kama mzee baba kesho atatupa salali zetu tuendelee kudumisha umoja na amani..vile vile tukumbuke maendeleo hYna chama😂
 
Kuna ka kitu nimekanotice,; wanaume wengi wanaomistreat "wake wema", wakiachwaga; hawachukui round.

sifichi..mie nilikua mke mwema sana sana sana ...ila ss hv ht siko huko.. nilikua mwema sana jaman...mapenzi tele mwenzangu akaniona mie lofa tu..kumbe sio lofa...huo wema nw nimeukabidhi kwa wanangu tu😊!huyu ht 2020 hatafika...na anajua hilo pia
 
Wanaume wengi wanaringa wakiwa na wake zao, wakiachwa wananyodoroka mbaya. Usimuache baba watoto

😂😂simuachi..nna moyo wa huruma sana sana..na ninajitahd nisisikize ushauri hata wa wazaz..la sivyo! dingi angu anavyonipe da sasa akianza nikomalia😅😅anasema tafuta chumba nitakusaidia kulipa even a year hama hapo jinga sana ww😂😂😂!mie nasema sawa tu baba!ila ipo siku
 
sifichi..mie nilikua mke mwema sana sana sana ...ila ss hv ht siko huko.. nilikua mwema sana jaman...mapenzi tele mwenzangu akaniona mie lofa tu..kumbe sio lofa...huo wema nw nimeukabidhi kwa wanangu tu!huyu ht 2020 hatafika...na anajua hilo pia
Tangu jana natamani kukuandikia kigazeti, naishia njiani.. Ntajitahidi, sitaki tukupoteze kwenye list yetu ya wife materials
 
simuachi..nna moyo wa huruma sana sana..na ninajitahd nisisikize ushauri hata wa wazaz..la sivyo! dingi angu anavyonipe da sasa akianza nikomaliaanasema tafuta chumba nitakusaidia kulipa even a year hama hapo jinga sana ww!mie nasema sawa tu baba!ila ipo siku
Nakuelewa sana manengelo . Wengi tunapitia situation kama yako. Bas tu
 
Nakuelewa sana manengelo . Wengi tunapitia situation kama yako. Bas tu

bwana mie nahis nmezidi...sijui nawazaga au kwaajili naangalia ndoa ya wazaz wangu naona kuna makologesheni kibao kwangu..au sijui naangalia ndoa in a postive way zaid ila mwenzangu yupo busy kukosoa tu jaman..!sijajua!nikiuliza hana sabab zaid ya kukuambia sitak uwe na marafiki..chaa
 
bwana mie nahis nmezidi...sijui nawazaga au kwaajili naangalia ndoa ya wazaz wangu naona kuna makologesheni kibao..au sijui naangalia ndoa in a postive way zaid ila mwenzangu yupo busy kukosoa tu jaman..!sijajua!nikiuliza hana sabab zaid ya kukuambia sitak uwe na marafiki..chaa
Sisemi mengi ila trust me haupo peke yako. Kuna wanaume wapo kubomoa hata ujishushe vipi hawaridhiki, washamba sana some people
 
Sisemi mengi ila trust me haupo peke yako. Kuna wanaume wapo kubomoa hata ujishushe vipi hawaridhiki, washamba sana some people
😂😂mie ni.mwanamke wa hustling..najua kuitafta heĺa km mchaga ila siku akicharuka..anakuambia kuna mtu amekufungulia ww biashara na anaenda kufunga..utamwambia nn .kuanzia tar10 ni full mikopo kwangu ya hela ila ss bas aheshim ht kabiashara mwenzako anaenda piga solex..unabak kusrma huyu mzima?!tired
 
mie ni.mwanamke wa hustling..najua kuitafta heĺa km mchaga ila siku akicharuka..anakuambia kuna mtu amekufungulia ww biashara na anaenda kufunga..utamwambia nn .kuanzia tar10 ni full mikopo kwangu ya hela ila ss bas aheshim ht kabiashara mwenzako anaenda piga solex..unabak kusrma huyu mzima?!tired
Mmh. Ukisikia ya kwangu utazirai. Halafu bado nipo Kama boya vile.
 
Back
Top Bottom