Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,458
Kwajinsi mnavyonitisha na hizo ndoa, ndo nazidi kuongeza sababu ya kutofika hukoo!!!
Wala usiogope, kabla ya ndoa unapaswa kujua unataka kuishi maisha gani katika ndoa.
Baada ya hapo ndipo utafute mke kuendana na unavyotaka uwe!!
NB: Tunapokosea vijana ni katika kupata mke, huwezi kumpata mke mzuri kwa jicho lako pekee!! Shirikisha watu wako wa karibu hasa waliokuzidi umri na walio kwenye ndoa imara.
Wewe peke yako utaangalia jicho, takko, mguu, halafu utasema tabia mbaya unayoiona utaivumilia!! Never