Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

Mmh. Ukisikia ya kwangu utazirai. Halafu bado nipo Kama boya vile.
😂😂😂😂pole... mimi ni zaid ya boya atleast nw naamka ss kuamka kwangu ndo anataka kunionesha ubabe...alafu mie ni muwaz sna kwake ila bado haamini anajua kuna mtu nyuma yangu..jaman nachoka mm mjue!pole
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole... mimi ni zaid ya boya atleast nw naamka ss kuamka kwangu ndo anataka kunionesha ubabe...alafu mie ni muwaz sna kwake ila bado haamini anajua kuna mtu nyuma yangu..jaman nachoka mm mjue!pole
Mimi sipewi uhuru hata wa kawaida. Nikianza kujishughulisha anaanza figisufigisu wivu wa kijinga, naona isiwe taabu nakaa kimya sifanyi chochote. Akiishiwa hela anaanza kuhaha nimsaidie kukopa hata kidogo tutarudisha, nikope kwa Nani kwa mfano, sina friends Wala jirani hataki marafiki. Nabaki kumcheck sina cha kumsaidia.
Ila ni mzuri kwa mambo mengine. Ni Hilo tu ananikeraaaaaaa
 
Me nimeona ambao wameachika na wanaishi kwa amani mno, japo wengine kimaendeleo ndo wameanza na moja tena; ila wanaenjoy maisha. Kuna ndoa kama usipotoka huko, basi umauti utakutoa kinguvu. Si vyema watu kuachana, but kuna wakati kwa ajili ya amani ya moyo na kulinda maisha ya mwanandoa; talaka ihusike tu. Amani ya moyo ni bureeee, ila ukiikosa unapoteza hadi purpose ya kuishi

Ila wajinga ni wale wanaoondoka kisa tu kadanganywa huko nje anapendwa sana, au kwa sababu tu she is financially independent, hata kosa la kuongea mkaonyana tu, anaondoka as anajua anaweza akahandle maisha on her own.
Hapo kwenye kutafuta amani ya moyo ndo ubinafsi unapoanzia sasa. Ni kweli utapata hiyo amani ya moyo wako kwa kuvunja ndoa, lakini ukweli ni kwamba umehamisha majonzi kwa watoto, ila ikiwa hamna watoto, ni sawa kutafuta amani na furaha yako huko kwingine
 
Hapo kwenye kutafuta amani ya moyo ndo ubinafsi unapoanzia sasa. Ni kweli utapata hiyo amani ya moyo wako kwa kuvunja ndoa, lakini ukweli ni kwamba umehamisha majonzi kwa watoto, ila ikiwa hamna watoto, ni sawa kutafuta amani na furaha yako huko kwingine
Hivi ushawahi ona situation inafikia watoto ndo wanaamua kuwatenganisha wazazi wao?
 
Hapo kwenye kutafuta amani ya moyo ndo ubinafsi unapoanzia sasa. Ni kweli utapata hiyo amani ya moyo wako kwa kuvunja ndoa, lakini ukweli ni kwamba umehamisha majonzi kwa watoto, ila ikiwa hamna watoto, ni sawa kutafuta amani na furaha yako huko kwingine
Watoto wanaathirika kutokana na maisha mnayoishi, mnagombana na kutukanana, mama au baba hana raha kila siku. Bora nini? Hata watoto wataona sawa mkiseparate ili mradi tu kila mmoja awe anawaona kwa wakati wake
 
[emoji28][emoji28][emoji28]mito niruhusu baadaye jion au usk nije piyemu kwako[emoji52]!huyu@heaven sent huyu hahhaa...kuna kipindi yalinifika hapa...may hii hii nikaomba ruhusa nikaenda sehem kupumzika for 3 wks..huez amini nimerudi kwangu na baby face shavu lainiii mororooooooooo... kila kiungo kiko pahala.pake..nikawa naambiwa na majiran we mbn umependeza hvyo?kidogo nirudi[emoji57]!kwahyo sio kweli unayosema..ila mie nikiamua kumuacha pampula hachukui round..na yy analijua hilo[emoji846]
Karibu sana manengelo, pyemu yangu iko wazi though sometimes inazingua kufunguka, ukiniPM ukaona kimya sana (say 2 days kimya) nistue huku ukumbini nikafukunyue vizuri
 
Bado nakula bata ila hua sipendi complications..,.. Akizingua namu ignore...naendelea na mishe zangu.....sipendagi kelele mm
 
Hakikisha mnaongea lugha moja,pesa yako ni ya familia na si ya kwako,tumia 99% ya pato lako kuijali familia yako,mpende mkeo/mumeo pamoja na watoto kama wapo,tatueni matatizo yenu wenyewe bila kushirikisha watu wa nje,ishi maisha halisi kutokana na vipato vyenu n.k
 
Back
Top Bottom