rutegeramisi gwategera
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 446
- 496
Kwani hao wapo kwenye hii taasisi ngumu kupita maelezo?
Kwani hao wapo kwenye hii taasisi ngumu kupita maelezo?
Usiruhusu kukaa na kitu moyoni...usiruhusu mwenzako kutokua na furaha kwa sabab yako
Upendo
Ukweli
Msamaha
![]()
Kama haupo kwenye taasisi huwezi kujua yaliyomoSiko kwenye hiyo taasisi Ila sitakosa neno la kusema kwa niliyoyashuhudia kwa ndugu na Hamas. Uko humo kwa muda gani?
wana nn wasiwemo mkuuKwani hao wapo kwenye hii taasisi ngumu kupita maelezo?
Chaguo na ulivyoanza maisha ya ndoa ndio yanakufanya ukutane na changamoto hizo zisizoisha,
basi.ukitka mhesabu miaka bora ubaki na funda moyoni ukisema tu kosa utasema maneno elfu 6
Tunapoelekea hii kitu inaitwa ndoa itakuja isha kabisa maana nikitu kisichoeleweka ni full kuonyeshana ubabeMimi ninakaribia kuzishindwa..mtu analazimisha uishi atakavyohela yako
simu yangu
!kumaaaninaa
Mm ndo nnavoishi mwaka wa 7 now na tupo gado
Tunapoelekea hii kitu inaitwa ndoa itakuja isha kabisa maana nikitu kisichoeleweka ni full kuonyeshana ubabe
hasa hasa wanaume mmeshindwa kuwatake care wake zenu mmebaki kuonesha ubabe kwa wake zenu !poor u
Ndoa itakuja isha??Tunapoelekea hii kitu inaitwa ndoa itakuja isha kabisa maana nikitu kisichoeleweka ni full kuonyeshana ubabe
😂😂😂Hapana cku hizi majike yanatamaa kama sio wale waliokuaga wanawake
Heeeee!!!!! Imekuwaje tena jamani??Mimi ninakaribia kuzishindwa..mtu analazimisha uishi atakavyo😏😏hela yako😏😏😏simu yangu😏😏😏!kumaaaninaa
Ndoa itakuja isha??
Mkuu unapohitaji ushauri wa masuala muhimu ya maisha yako jaribu kukaa na watu unaowaona maisha yao yalivyo na wanavyoyaendesha. Humu kijiweni kila mmoja alishazamia meli State tunapajua.
Kuanzia neno mkuu hadi tunapajua..ni kwa niaba ya mtoa mada.
Wewe niliyekuqoute ni kale kasentensi ka-juu.
me ugomv8 ugomv siuwezi...kweli kbs..wala kunyenyekea jitu tu nimekutana nalo road siwez.aku!mradi napumua na nikigeuka huku naona masela wangu ah burudaniiii..hebu mwite demi..mie najilandukia imagi hapa
labda yy atatupa uzoefu






Hhhhaha.. Imagi imeanza kufanya kazi eehMimi ninakaribia kuzishindwa..mtu analazimisha uishi atakavyohela yako
simu yangu
!kumaaaninaa
Heeeee!!!!! Imekuwaje tena jamani??
Eeeh. Wapo huko wanaenjoyKwani hao wapo kwenye hii taasisi ngumu kupita maelezo?