monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,251
- 11,444
Hahaha
Hahaha
Kweli Mkuu!!, Hata Mimi naweza kutulia kwa miezi kadhhaa bila Kunywa halafu narejea kwa spidi ya 4 G.Mkuu amini usiamini hujaacha pombe:we sema umepumzika tu,pombe huwezi kaa week 2 hujanywa ukasema eti ndio umeacha no
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unamaanisha kuwa sisi wanywaji wa pombe ni Wadhambi?.Upinzani utaupata mkubwa sana,
Weka akilini tu kuwa nguvu za shetani kutaka kukurejesha Misri!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaha hatari kweli. sio vizuri kukaa na bia ndani labda wineMimi kwa kuwa nilikuwa napenda kwenda bar mwenyewe kuacha ilikuwa easy sana...pombe za makundi nilikuwa sizikubali kabisa...yani nikiona kwenye ma group ya WhatsApp wana leo wapo tabata Mimi naenda mbezi...wakihamia mbezi mimi naenda Tegeta...hapa nilipoteza marafiki wengi sana......ila kwako mtoa maada, pombe haichwagi ghafla hivyo inatakiwa ndani unakuwa na bia hata moja mbili za kutuliza alosto ikitokea...la sivyo kuna siku utarudi kwa kasi
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaahahaah wazeee wa nax (banana) hii pombe zamani ilikuwa kali sana yani kwanza kuifungua ni shida. ukigonga zako 3 basi wewe jembe maana kila unavyo zidi kupigwa na jua ndo inapandaDah kuacha ni ngumu sana aisee ila ni raisi pia mm nilianza pombee nikiwa form 2 aiseee nilikuwa napiga monde hatriii mlivyoanza kujitegemea ndyo ikawa bala nikikosa pesa ya pia nipiga banana aisee kile kipindi ctaki kukumbuka miaka7 yakibwege nawaza pombe2 ila nashukuru Mungu sana niliama mkoa ndyo ilikuwa pona yangu toka 2012 hadi sasa kwa mwaka naweza kunywa pombe mara mbili tu au tatu na sina mzuka nayo tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Matukio ya pombe ni aibu kusimlia..
Niliwai kutoa mshibobo nikamkojolea mdada wa watu usoni..
Niliwai kwenda bar na laki9 na40..nilipanga kutumia elfu30 tu cha ajabu nilijikuta nimehamia hapo bar kwa siku4 mana pana vyumba palepale..siku nayo ondoka nimeamka na elfu25 mfukoni nayo akaichukua maraya akaniachia elf5 ya bodaboda..
Mwanamke wangu siishi naye yupo mkoa akanipigia simu akaniambia mumewangu nakuomba uache pombe maana sio kwa matusi uliyokuwa unanitujana ukiwa huko bar..tokea sikuzile mpaka leo nina mwezi wa5 sijaonja pombe,kila nikitaka kunywa nakumbuka maneno yake maana aliongea mengi siwezi kusimlia hapa pia alilia sana kuhusu ulevi wangu..
Alafu leo hii uniambie single parent hawana mapenzi hapo sikuelewi kabisa yani mtanifanya nirudi kunywa pombe asee
Nipe somo kuhusu forex namimi nahitaji kuwekeza hukomkuu hujaa acha bado mimi hapa ni mwaka wa 3 japo kwenye x mass nilifanya makosa nika bugia bia kama siku 3 na zilinikataa moja kwa moja yani ni kutapika na kupata hangover ya hatari. hapana kwakweli bia na mimi basi, saizi ni mwendo wa forex tu.
DM
Kwa kampani hii utarudia tu unywaji pombe. Yaani ni sawa na mwana CHAPUTA anayesema ameacha puli ila anaangalia porn.Nilikua mnywaji sana tu na mara ya mwisho kubwia mibia ni 1 December 2018 tangu hapo nikanyoosha mikono now Mimi na maji na soda baridiiiiiii, vishawishi ni pale napokaa na kampan yangu ya ulevi huku nikishusha maji yangu makubwa baridi wao wakibwia bia huku hawaamini wakionacho, wengine wakifika mbali na kurusha shutuma kwa mamsapu kua kaniloga nisinywe tena pombe... Halafu shetani alivyo wa ajabu yaaan sasa hivi ndio idadi ya kufuru za wanywaji zimezidi na miofa yao ila kila mara nawaambia hela ya kunywa bia ninayo ila nimebadili mfumo wa maisha, sinywi pombe na wala sinunulii mtu pombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mkuu? Wine naona kama utakua hujaacha pombe maana ile ni kali...inatakiwa uwe na kabia kamoja au tuwili vya kutuliza alosto...hahahahahaha hatari kweli. sio vizuri kukaa na bia ndani labda wine
KikojoziPombe ishanishushia sana heshima,
Maana nilikua nikinywa tu inakimbilia chini (wanywaji washanielewa hapo) baada ya hapo siishi kujilaumu asubuhi..
Pombe niache mwenzio.
Sent using Jamii Forums mobile app