- Thread starter
- #21
mkuu bajeti iko vizuri, nimeamua tu niachane na pombeAseme tu mrija wa pesa bajeti hairuhusu
mkuu bajeti iko vizuri, nimeamua tu niachane na pombeAseme tu mrija wa pesa bajeti hairuhusu
asante sana mkuuTwo weeks is a very good start .Hata mchicha ulianza kama mbuyu usiwasikilize wanao kukatisha tamaa
niko mzima wa afya, maamuzi tuAu ini limefeli Mkuu?
Mie nimeacha Mara ya mwisho nilikunywa tarehe 01/0/2019wanabodi
Kwangu mimi nimenuia kwa mwaka 2019 na kuendelea, kuacha kutumia kileo cha aina yoyote ile (ulevi)
vishawishi na kampani inanizonga sana tangu nilipotangaza azma hii lakini nimeridhiria mwenyewe kuwachana na ulevi maisha
ni wiki ya pili sasa baada ya mwaka mpya nimeitelekeza pombe kabisa
wale tulioacha pombe mwaka huu tukutane hapa, nichangamoto zipi zinatukuta na tutaziepuka vipi ili tusijikute tunarudi kwenye ulevi
natulia na papuchi moja tu but michepuko kwa mbaaaliUmeacha pombe una hamia wapi? Papussies?
Hii January tutaskia mengi sana sana mje na kauli jz may
mkuu hongera kwa hatua hiyo,,umefanikiwa we endelea hivyo hivyo kuzikataa pombeMara ya mwisho kunywa pombe ni
15.07.2018 je naweza kusema nimefanikiwa kuacha au nimepumzisha mwili tu!?
Maana mambo ni mengi na muda hautoshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika maisha yangu nilifanikiwa acha sigara, miaka hata nane sasa sijavuta..Cha ajabu nikaanza pombe muda huo huo..Najitahidi nisiirudie Mungu anisaidie tu, Maana ukiacha ndio kampani zinakua na maofa mengi na ya kuvutia ya kupiga gambe.mkuu hongera kwa hatua hiyo,,umefanikiwa we endelea hivyo hivyo kuzikataa pombe
Nimejikuta nacheka sana, niliwahi kutaka kuiacha pombe, aisee shetani alinirudisha haraka sana na kuniongezea kiwango cha kunywa, ili jambo siyo rahisi kama mleta mada anavyohisi
Sent from my iPhone using JamiiForums
pagumu sana hapoNilikua mnywaji sana tu na mara ya mwisho kubwia mibia ni 1 December 2018 tangu hapo nikanyoosha mikono now Mimi na maji na soda baridiiiiiii, vishawishi ni pale napokaa na kampan yangu ya ulevi huku nikishusha maji yangu makubwa baridi wao wakibwia bia huku hawaamini wakionacho, wengine wakifika mbali na kurusha shutuma kwa mamsapu kua kaniloga nisinywe tena pombe... Halafu shetani alivyo wa ajabu yaaan sasa hivi ndio idadi ya kufuru za wanywaji zimezidi na miofa yao ila kila mara nawaambia hela ya kunywa bia ninayo ila nimebadili mfumo wa maisha, sinywi pombe na wala sinunulii mtu pombe
Sent using Jamii Forums mobile app