Tulioacha kunywa pombe 2019 tukutane hapa

Tulioacha kunywa pombe 2019 tukutane hapa

Siku hizi wamama walioachika ndio ulevi wake. Kwanza hawanaga makuu, hawawezi kukunyima mchezo maana atakunyima lea sababu gani?

Ila wewe 90% comments zako huwa ni comedy tupu nachekaga sana dah nimecheka sana..kwahyo tuloachika hatuna thamani🤣🤣🤣🤣
 
mimi nilijiapiza kuanzia tarehe 1 Jan 2020 kua sinywi tena pombe,ni kweli nilikaza kama mwezi na nusu bila kugusa pombe ya aina yoyote lakin baada ya hapo nikaanza taratibu kurud kwenye hayo maswala,ila ninachoshukuru mimi ni bia tu sigusi konyagi wala kvant wala spirit yoyote huu ni mwezi wa 5,hii ni hatua kubwa sana kwangu maana kipindi kile kunywa bila spirit nilikua naona kama nacheza vile,
ila nina mpango niache kila kitu
 
Wanabodi

Kwangu mimi nimenuia kwa mwaka 2019 na kuendelea, kuacha kutumia kileo cha aina yoyote ile (ulevi)

Vishawishi na kampani inanizonga sana tangu nilipotangaza azma hii lakini nimeridhiria mwenyewe kuachana na ulevi maishani

Ni wiki ya pili sasa baada ya mwaka mpya nimeitelekeza pombe kabisa

Wale tulioacha pombe mwaka huu tukutane hapa, nichangamoto zipi zinatukuta na tutaziepuka vipi ili tusijikute tunarudi kwenye ulevi
Bado umeendelea ku maintain status yako ya kuwa sober au umeishia njiani?wengi kale kaharufu ka bia ukiifungua halafu una kama wiki hujainywa ndio kanawarudisha kwenye unywaji,ka flavour flani hivi ka ngano pale unapoifungua kanaambatana na kama kamoshi flani hivi...
 
Aisee
Hapa tu najipigia zangu smirnoff sina habari
nilishavunja kiapo siku nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom