Wakuu, itakumbukwa mapema mwaka huu ulipoanza tu January nilipanga kuacha na kutogusa pombe kwa huu mwaka wote wa 2019, nilileta uzi humu.
www.jamiiforums.com
Malengo yalikuwa mazuri lakini nilifaulu kwa muda wa miezi minne tu, nikawa nimerejea chamani japo speed ya unywaji imepungua.
Nowadays sishindi na kukesha bar, nakunywa mara moja mpaka tatu kwa mwezi, zaidi nimebadilisha mfumo tu wa unywaji.
Nimeachana na kampani nilizokunywa nazo pombe mwaka 2018, na hii ilinifikirisha na kuniaminisha kwamba kuwa nao mbali nitaepuka hiki kikombe, lakini wapi!
Wewe mwanaJf uliyepanga mwaka huu hunywi pombe, una hali gani mpaka sasa?
Mwaka 2020 tuendelee kuusubiri, pia malengo mapya tuyatarajie japo utekelezwaji wake ni mgumu.
Tulioacha kunywa pombe 2019 tukutane hapa
Wanabodi Kwangu mimi nimenuia kwa mwaka 2019 na kuendelea, kuacha kutumia kileo cha aina yoyote ile (ulevi) Vishawishi na kampani inanizonga sana tangu nilipotangaza azma hii lakini nimeridhiria mwenyewe kuachana na ulevi maishani Ni wiki ya pili sasa baada ya mwaka mpya nimeitelekeza pombe...