Wanabodi
Kwangu mimi nimenuia kwa mwaka 2019 na kuendelea, kuacha kutumia kileo cha aina yoyote ile (ulevi)
Vishawishi na kampani inanizonga sana tangu nilipotangaza azma hii lakini nimeridhiria mwenyewe kuachana na ulevi maishani
Ni wiki ya pili sasa baada ya mwaka mpya nimeitelekeza pombe kabisa
Wale tulioacha pombe mwaka huu tukutane hapa, nichangamoto zipi zinatukuta na tutaziepuka vipi ili tusijikute tunarudi kwenye ulevi