Franky
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 2,271
- 2,871
Andika kiswahili mkuuIt’s possible to leave without alcohol, New Year Resolute
#achapombe#
Sent using Jamii Forums mobile app
Andika kiswahili mkuuIt’s possible to leave without alcohol, New Year Resolute
#achapombe#
Angemalizia tu without because,hahah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Angemalizia tu without because,hahah.
Week 2 = 2days kama mnywaji wa week ends! Bado sana kujitangaza umesilimumkuu kwa kiwango nilichokuwa nimefikia naweza sema wiki mbili bila kunywa tena nashinda na kampani ya pombe, zipo muda wote sinywii hii kwangu ni hatua kubwa
nimedhamiri kuacha kabisa
Uko ndio unapotea kabisa maana hizo zinasifa ya kuzifanyia shoping utakuja jikuta jokofu nyumbani limejaa hizo mamboSweet wine
Hata louis figo akizungua utakunywa tu?Siku ambayo nitaacha kunywa pombe mimi nadhani viwanda vitakuwa vimefungwa nchini mwaka wa 38 huu mimi na pombe ni ndugu
Wenzio tunashi tukijua kifo kitakuja kwa namna ambayo ni kinyume na mazoea hayo mambo ya figo kufeli hayamo kichwani mwangu
Mkuu sigara uliweza kuiacha vipi maana mtihani wake naskia kuachika sio rahisi..na kwenye uvutaji wako ulikua unatumia ngapi kwa siku mpka unaenda kitandaniNilijitahidi sana kuacha ikashindikana, lakini nikawa natafuta sababu ya kuacha. NikiipataKatika maisha yangu nilifanikiwa acha sigara, miaka hata nane sasa sijavuta..Cha ajabu nikaanza pombe muda huo huo..Najitahidi nisiirudie Mungu anisaidie tu, Maana ukiacha ndio kampani zinakua na maofa mengi na ya kuvutia ya kupiga gambe.
Nishapiga bapa, mpaka zikakataa kunyweka..Chupu chupu nimtie aibu mke wangu ukweni, na ndio siku ya kwanza kwenda kwao..
Wife kwao kilimanjaro, na klm kwa gambe ndio mahala pake... Pombe niache Mwenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikaza wiki 3 nimerudi kwenye gameWanabodi
Kwangu mimi nimenuia kwa mwaka 2019 na kuendelea, kuacha kutumia kileo cha aina yoyote ile (ulevi)
Vishawishi na kampani inanizonga sana tangu nilipotangaza azma hii lakini nimeridhiria mwenyewe kuachana na ulevi maishani
Ni wiki ya pili sasa baada ya mwaka mpya nimeitelekeza pombe kabisa
Wale tulioacha pombe mwaka huu tukutane hapa, nichangamoto zipi zinatukuta na tutaziepuka vipi ili tusijikute tunarudi kwenye ulevi
KUACHA KUNYWA NI MAAMUZI MIMI HAPA NIMEACHA NA NILIWAHI KUWCHA FOR THREE YEARS ...NIKARUDI NA TANGU NIMEACHA MWAKA MPYA AMANI NYUMBANI BABU KUBWAAAAAA wife na watoto wanafurahi ...tunaweza ni kuendekeza tu na nalala kama baby na kuamka kwa kengere ya simu….na joto la dar na ka AC THANKS GOD FOR THIS BLESSINGS